Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hautatuona sisi tukifwata fwata vitongoji duni vya huko Tanzania kila tukishindwa cha kusema kwa forum......
Kwahiyo kama ninyi hamfuati vitongoje basi mnataka hata sisi tufanye kama ninyi?, ukweli ni kwamba, hatuna vitongoji vya hovyo kama huko kwenu.
 
picha moja zile zingine mbona hukuziona au 😂😂😂😂 nikikwambia watu wanamiliki na kujenga nyumba za ndoto zao huamini au😂😂😂
Kuna wakati flani nilikwambia uniletee ushahidi kwamba Dar nzima watu wanamiliki mashamba yao, kama kawa ukabaki kuongea kiushabiki, sasa ninakuletea ushahidi uone vile hua CCM inawazengua nyinyi wakaazi wa nchi ya maziwa na asali!




----------------------------------------------------------------------
Tanzanians pay dearly as tenants in flood-prone slum
But for Mageni and other residents of Jangwani and nearby slums, the threat of flooding, lack of services and insecure tenancy are just part of life in Tanzania’s biggest city.

One of the fastest-growing cities in East Africa, Dar es Salaam has seen a huge influx of rural migrants in recent years, putting extra pressure on its strained housing supply and forcing poorer residents like Megani to move to the periphery.

The steep cost of building a home, the shortage of houses to rent and lack of a legal mechanism to regulate rent have allowed landlords to charge exorbitant rents in a city where almost 75 percent of residents are tenants, according to a 2011 housing study by the government.
....
....

Mageni, who moved to Dar es Salaam from the drought-hit central region of Singida in search of work, is one of around 800,000 residents forced to live in slums in the city because they cannot pay high rents charged elsewhere.

Mageni pays 70,000 shillings ($32) a month for a small, two-bed roomed house in Jangwani.

“Most house owners charge on an annual basis, which most people find very hard (as they can’t) accumulate the money,” he said.

“Some families opt to stay in single rooms because they can’t afford to pay for a whole house. I don’t like staying here (Jangwani), but it is too expensive to rent a good house.


--------------------------------------------------------------------------------------




Naweza kutabiri kile ambacho utasema next, kwamba who is "reuters", wewe hauwatambui , au tangu hio habari ichapishwe hadi sasa mlishatatua shida zote na sasa kila mtu anamiliki shamba.... bla bla... yani ushabiki tu ndio wenu, kazi kujenga nyumba za makaratasi
 
😂 😂 😂 😂 Atakuambia ni Dar ya 90s kama ilivyo kawaida yake
 
Mbona unajichanganya?, slums ni dalili ya "inequality & poverty", South Africa sababu ya kuwepo kwa inequality and poverty among black people is well known.
But in Kenya the reason is not known.
Kwa hivyo Tanzania nchi ya asali na maziwa haina poverty? Wewe umeishiwa hoja
 
😂 😂 😂 😂 Atakuambia ni Dar ya 90s kama ilivyo kawaida yake
Ngoja uone vile hio story itakanwa hadi unanze kuamini hii dunia tunayoishi ni video game na sisi binadamu si watu wa ukweli.... Yani reality yote itatupiliwa mbali!
 
Usisumbuke sana na hawa watu. Saa zingine ni vizuri kuwapa tu macho
 
Acha kuaribia Dar mpya jina😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…