The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,666
- 98,993
Yah mkuu ni jambo la kumshukuru MunguKwa kifupi tuna representatives kutoka uraisi wa kwanza hadi wa tano
Na sisi yetu hii Mv Likoni[emoji3][emoji3][emoji116][emoji116][emoji116]
Tunachowazd Wakenya ni quality ya vitu vyetuhii ubungo kwao wangeita CBD [emoji23][emoji23][emoji116]
View attachment 1463924
Utadhani kontuaYn hz flyover za kenya ni zina mabonde hatari
[emoji3][emoji3][emoji3]Utadhani kontua
Hii ndiyo proposed?Mwenge Mabey Flyover:
Angalia bajeti ya wizara ya ujenzi kuna mabey flyover zitaanza kuwa designed kwa ajili ya dar, Dom na mza.Hii ndiyo proposed?
Sina uhakika ila cheki hii plan:Hii ndiyo proposed?
Hili dude hata kwa nini hunipandishi aisee.Na sisi yetu hii Mv Likoni[emoji3][emoji3][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1463920View attachment 1463921View attachment 1463923
C mhezo mkuu ina page 260 madini tupu, aisee cc kiboko.Sina uhakika ila cheki hii plan:
View attachment 1463931
https://www.parliament.go.tz/uploads/budgetspeeches/1588591331-HOTUBA YA BAJETI 4 MEI.pdf
Karai hilo mkuu[emoji3][emoji3][emoji3]Hili dude hata kwa nini hunipandishi aisee.