Bata mzinga Bata bukini

Kwa hapo hata mimi nakubali kitomari2
 
Pata bata mzinga wenye kukua haraka na wenye kuvumilia magonjwa pia wanauwezo wa kua mpk na kg 15 bata bukini wanapatikana karibu 0757662401

Mkuu bukini ni wale wenye meno km msumeno, I need that
 
Mkuu bukini ni wale ambao mwizi akija hupiga kelele niliwai kuskia hata mchawi akija hupiga kelele hadi ndoa hulinda
 
baadhi huonyesha kweli kama kicheche nyoka huwakimbiza
 
Pata bata mzinga wenye kukua haraka na wenye kuvumilia magonjwa pia wanauwezo wa kua mpk na kg 15 bata bukini wanapatikana karibu 0757662401

Samahani Mkuu,
hawa ndege ni wageni kiasi kwangu, unaweza kutupia picha kadhaaa, au kunipa majina yao ya kitaalam nijaribu kugoogle, umenivutia mkuu!
 
Goose ndio bata bukini tafuta mzinga ni turkey
 
Mfano nikinunua hao wwenye mwezi mmoja kutoka kwao itachukua muda gani mpaka na wangu waanze kutaga mayai?
Na ni chakula gani hasa ambacho wanakula, mimi nafuga na kuku wa kienyeji, je nikiwachanganya ina madhara?
 
haina madhara ukiwachanganya nafanya ivyo pia mimi utakaa nao miezi 3 nanusu tu
 
Una Bata aina gani zingine kitomari?
 
Kwa wale waliotaka picha za Bata bukini (goose) na bata mzinga (turkey) hizo hapo
 
Attachments

  • Goose.jpg
    80.2 KB · Views: 412
  • domestic-turkey.jpg
    88 KB · Views: 235
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…