Basil Mramba tena!!

Sajenti

JF-Expert Member
Apr 24, 2008
3,651
412
Basil Pesambili Mramba, ambaye anatuhumiwa kwa matumizi mabaya ya ofisi na kusababishia serikali hasara ya mabilioni ya fedha, ameteuliwa kuwa makamu mwenyekiti wa bodi ya wakala wa barabara nchini (Tanroads) mkoani Kilimanjaro. Mramba anatuhumiwa na wenzake Daniel Yona na Grey Mgonja!!
 
Gooohssshh!!!....are my genitals functioning?!!..Hivi ni nani anafanya hii biashara ya kipumbavu hivi?...Mwingine juzi kafungua hoteli yake huko Arusha...!...iam mad and fully puzzled on a series of comedies about this man..
 
Kwenye ujenzi wa barabara nako ndiko kuna uvundo wa kifisadi.Iweje kiranja wake awe fisadi mtuhumiwa? Bodi inateuliwa na nani?Hata kama hajapatikana na hatia ya kutumia vibaya ofisi ,Shaka tu inatosha kutuondolea imani.
 
Basil Pesambili Mramba, ambaye anatuhumiwa kwa matumizi mabaya ya ofisi na kusababishia serikali hasara ya mabilioni ya fedha, ameteuliwa kuwa makamu mwenyekiti wa bodi ya wakala wa barabara nchini (Tanroads) mkoani Kilimanjaro. Mramba anatuhumiwa na wenzake Daniel Yona na Grey Mgonja!!
HONGERA MRAMBA!
kwa vyovyote kuna mambo mazuri ''uliwafanyia'' wa-rombo
 
PJ, haya ni maigizo kweli kweli nadhani ni zaidi hata ya akina zembwela na wenzake!! wenyewe wanasema Tanzania ni zaidi ya uijuavyo..
 
Babu Seya will win appeal soon and on acquittal to lead STATEHOUSE SOUNDS a new music band to entertain Magogoni residents.
 
Duh unawezadhani watazama movie sio kweli..
Hivi hamna watu wengine wakufanya hizo kazi zaidi ya hii mijamaa?
 
Back
Top Bottom