Walikuwepo Mawaziri wa Fedha wabobevu wa uchumi, ila hawakuwahi kuwa kama Mwigulu Nchemba

goroko77

JF-Expert Member
Jul 9, 2019
8,799
12,845
Moja kwa moja niende kqeny hoja yangu

Tanzania tumepita vipindi vingi sana Toka enzi za kina Daniel Yona na kina marehemu Basil Pesambili Mramba .
Pamoja na Mramba kutuambia sisi wananchi kuwa tutakula nyasi Ila liwalo na liwe ndege ya Rais itanunuliwa na kweli ilinunuliwa na ajabu ktk kipindi hcho hajaguza account za watu Wal kuwanyangaya watu pesa kwa nguvu kama alivyofanya Waziri Philip Mpango ambaye kwa sasa ndio Makamu wa Rais

Mramba alibana matumizi ya Serekali na akanunua ndege ya Rais leo hii Mwigulu yeye anakuja kichwa kichwa na mikwara juu kusema kuwa yeye ndio alishauri tozo ziwepo halafu mbaya zaidi ni tozo kiupendeleo na kutowaadhiri walicho nacho.

Mfano awali mimi nilidhani kuwa tuwe wazalendo kulipa tozo hizo kumbe sikupata hesabu kamili ndipo sasa nimekuja na kuona kuwa Waziri huyu hatufai ni bora aondoke kama msaidizi wa Rais mama tafuta msaidizi mwingine huyu anataka kukugombanisha na wananchi tu

Mbona hawa Mawaziri na Magavana waliopita hawakuwai kuwashauri marais upuuzi huu
✓ Daud Balali pamoja na elimu yake kubwa hajawahi kuleta vitu hv ktk uchumi wetu
✓ Professor Beno Ndulu hakuwahi kufikiria kuchochoa Jambo hili litokee ktk uchumi wetu. Leo hii Gavana wa sasa yeye ameruhusu uchumi kuchezewa na Mwigulu anaujua kweli uchumi huyu mzee Luoga ?

✓Wiliam Mgimwa pia nae aliwahi kuwa Waziri japo hakuwa kuwaumiza wananchi kiasi hiki kwa double taxation za ovyo
✓Jeremia Sumari nae pia alipata kuhudumu kama Waziri wa Feza na mipango ila hajapitisha upuuzi wa tozo na na ni Mawaziri waliokwenda shule haswa huyu mzee wa Iramba ametoa wapi haya mawazo bila kumsahau
✓ Mustafha Mkulo ni Waziri mzuri pia aliweza kusimamia uchumi ukachanua pasipo kuwaudhi wananchi

Sasa kwa taarifa yake tu hawa Mawaziri niliowataja hapo juu pamoja na Magavana baadhi wameshafariki. Kuna waliofariki wakiwa madarakani kama Jeremia Sumari na William Mgimwa so mzee angali sana hatma yako kisiasa na umafia unaotufanyia wananchi

Ondoka haraka sana ktk ofisi ya umma
 
Hahahaaaa, huyo jamaa elimu yake ni ya Desa tu, hakuna mchumi hapo.Tumepigwa mchana kweuperee
 
Inasikitisha Sana viongozi wa nchi hii kutojali wananchi wa Hali ya chini, wao wanaishi kwa mshahara minene hivyo hawaoni kama Tozo zinatuumiza. Katika vitu maza kaniumiza ni kugukuza wamachinga bila huruma. Wala utaratibu mahsusi na Tozo, hasira yangu ni 25, Nita hakikisha kila ninae mjua anashawishika kufanya ntachofanya, ili wakiamua kuiba waibe wakija hatuwataki Maana ukiongoza huku ukijua hupendwi.. Utaishi na inferiority ambacho ni kifungo Tosha hata kama unatembelea ndege.
 
Bado kidogo wataanzisha tozo ya kutumza pesa banki shabaha ni kukwapua amana za walala hoi
 
Binafsi nmeshangaa sana nilipofanya manunizi kwenye duka moja hv,Kisha nikaomba ya huduma ya lipa Ili nifanye malipo yangu

Weeeeeeeeee nilichokutana nacho mng pekee ndo anaweza hisi Yale Maumivu yake,Kila fedha niliyoingiza kulipa iligoma Mpaka pale nilipo ongeza kiasi kingine Kwa juu ndo malipo yakafanyika Kwa njia ya mtandao, meseji inaingia ndo nikagundua kmbe miamala ilikua inafeli kwaajili ya TOZO jamani.

Yaaaaani sasa hv Hadi kulipia bidhaaa unakatwa tozo jmn.
 
Moja kwa moja niende kqeny hoja yangu

Tanzania tumepita vipindi vingi sana Toka enzi za kina Daniel Yona na kina marehemu Basil Pesambili Mramba .
Pamoja na Mramba kutuambia sisi wananchi kuwa tutakula nyasi Ila liwalo na liwe ndege ya Rais itanunuliwa na kweli ilinunuliwa na ajabu ktk kipindi hcho hajaguza account za watu Wal kuwanyangaya watu pesa kwa nguvu kama alivyofanya Waziri Philip Mpango ambaye kwa sasa ndio Makamu wa Rais

Mramba alibana matumizi ya Serekali na akanunua ndege ya Rais leo hii Mwigulu yeye anakuja kichwa kichwa na mikwara juu kusema kuwa yeye ndio alishauri tozo ziwepo halafu mbaya zaidi ni tozo kiupendeleo na kutowaadhiri walicho nacho.

Mfano awali mimi nilidhani kuwa tuwe wazalendo kulipa tozo hizo kumbe sikupata hesabu kamili ndipo sasa nimekuja na kuona kuwa Waziri huyu hatufai ni bora aondoke kama msaidizi wa Rais mama tafuta msaidizi mwingine huyu anataka kukugombanisha na wananchi tu

Mbona hawa Mawaziri na Magavana waliopita hawakuwai kuwashauri marais upuuzi huu
✓ Daud Balali pamoja na elimu yake kubwa hajawahi kuleta vitu hv ktk uchumi wetu
✓ Professor Beno Ndulu hakuwahi kufikiria kuchochoa Jambo hili litokee ktk uchumi wetu. Leo hii Gavana wa sasa yeye ameruhusu uchumi kuchezewa na Mwigulu anaujua kweli uchumi huyu mzee Luoga ?

✓Wiliam Mgimwa pia nae aliwahi kuwa Waziri japo hakuwa kuwaumiza wananchi kiasi hiki kwa double taxation za ovyo
✓Jeremia Sumari nae pia alipata kuhudumu kama Waziri wa Feza na mipango ila hajapitisha upuuzi wa tozo na na ni Mawaziri waliokwenda shule haswa huyu mzee wa Iramba ametoa wapi haya mawazo bila kumsahau
✓ Mustafha Mkulo ni Waziri mzuri pia aliweza kusimamia uchumi ukachanua pasipo kuwaudhi wananchi

Sasa kwa taarifa yake tu hawa Mawaziri niliowataja hapo juu pamoja na Magavana baadhi wameshafariki. Kuna waliofariki wakiwa madarakani kama Jeremia Sumari na William Mgimwa so mzee angali sana hatma yako kisiasa na umafia unaotufanyia wananchi

Ondoka haraka sana ktk ofisi ya umma
R.I.P Kighoma Ali Malima na Stephen Kibona
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom