figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,492
- 54,895
Gari inayowaka moto ni KVC ya DAR-ARUSHA, ilikuwa safarini kuelekea ARUSHA, madhara kwa abiria na mali zao bado tunafuatilia!
Tualia kwanza kisha lete habari kwa ufasaha uweleweke. Enhee! Ajali hiyo imesababishwa nanini? Ikibidi mwekua hata picha moja.
Vyombo vinavyo husika vikayoe msaada sababu hakuna msaada wowote na magari hayapiti. ni kamuni ya kbs. Mungu awasaidie. mia
basi linawaka moto barabarani. mia
Tualia kwanza kisha lete habari kwa ufasaha uweleweke. Enhee! Ajali hiyo imesababishwa nanini? Ikibidi mwekua hata picha moja.
Vyombo vinavyo husika vikayoe msaada sababu hakuna msaada wowote na magari hayapiti. ni kamuni ya kbs. Mungu awasaidie. mia
Hichi = hikiVikayoe, ni kamuni ya kbs. (kiswahili cha wapi hichi ?) 120.
Vyombo vinavyo husika vikayoe msaada sababu hakuna msaada wowote na magari hayapiti. ni kamuni ya kbs. Mungu awasaidie. mia
Tulia kwanza au una povu kichwani?Basi la kampuni gani?Linatoka wapi na kwenda wapi?Tulia kwanza au kapige supu!
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Hichi = hiki
Kwenye Heading si ameshasema VIGWAZA.da aliyeleta huu uzi cjui alikuwa na hangover maana sasa hata husemi liko wapi sasa watu wakaokoe maisha wapi??