Basi linawaka moto sasa hivi Vigwaza

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,483
54,845
Vyombo vinavyo husika vikayoe msaada sababu hakuna msaada wowote na magari hayapiti. ni kamuni ya kbs. Mungu awasaidie. mia
=====
Gari inayowaka moto ni KVC ya DAR-ARUSHA, ilikuwa safarini kuelekea ARUSHA, madhara kwa abiria na mali zao bado tunafuatilia!
 
Tualia kwanza kisha lete habari kwa ufasaha uweleweke. Enhee! Ajali hiyo imesababishwa nanini? Ikibidi mwekua hata picha moja.
 
Tualia kwanza kisha lete habari kwa ufasaha uweleweke. Enhee! Ajali hiyo imesababishwa nanini? Ikibidi mwekua hata picha moja.

Mkuu, Kipi kinaanza, kuokoa roho za watu au kujua chanzo cha ajali? Mleta hoja katoa taarifa ya ajali, waokolewe waliomo kwanza ndo tuanze kutafuta chanzo cha ajali.
 
Habari Mpasuko yako Mkuu haieleweki
Nadhani ungeandika kwa utulivu ueleweke.
 
Tulia kwanza au una povu kichwani?Basi la kampuni gani?Linatoka wapi na kwenda wapi?Tulia kwanza au kapige supu!

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Vyombo vinavyo husika vikayoe msaada sababu hakuna msaada wowote na magari hayapiti. ni kamuni ya kbs. Mungu awasaidie. mia

Gari inayowaka moto ni KVC ya DAR-ARUSHA, ilikuwa safarini kuelekea ARUSHA, madhara kwa abiria na mali zao bado tunafuatilia!
 
Duu Jf kiboko,ni kweli ajali hiyo imetokea ila magari yanatembea sasa!hakuna abiria aliyekufa majeruhi kidogo.Moto hakuna cha kuokoa
 
Tulia kwanza au una povu kichwani?Basi la kampuni gani?Linatoka wapi na kwenda wapi?Tulia kwanza au kapige supu!

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

Mkuu, jamaa katoa taarifa ya kuomba msaada, na kataja jina la basi....Rejea kwenye taarifa yake ya msingi!
 
Hichi = hiki

Matamshi ya kiswahili yanatofautiana kutokana na eneo mtu analotoka.... Kwa mfano:- Zanzibar wanasema mwengine, nyengine na Bara usema mwingine, nyingine.

Hichi na hiki yote ni sahihi kulingana na eneo unalotoka mkuu!
 
da aliyeleta huu uzi cjui alikuwa na hangover maana sasa hata husemi liko wapi sasa watu wakaokoe maisha wapi??
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom