Basi la Zuberi lapata ajali Singida

Ni Isuna ile ile tu sio mbali saana na pale ilikogonvwa Noah. Picha mkuu hazijachukuliwa kirahisi kwasababu pia ilikuwa mvua na patashika ilikuwa kubwa kiasi kwamba watu wataanza kukushangaa wewe unayeshughulika na picha badala ya kuokoa watu. Picha zitatayarishwa zitawekwa wakuu.
 
Naunga mkono wazo la kuwa na board ya kitaifa, itakayokuwa na jukumu la kufuatilia kwa kina kila ajari ya barabarani inayotokea, kwa lengo la kujua visababishi na kutoa taarifa / kuchukua hatua stahiki kwa lengo la kuzuia ama kupunguza mwendelezo wa ajari unao gharimu mali, nguvu kazi na uhai wa watz wengi. Sumatra wamejikita zaidi ktk leseni, bila shaka kwa lengo la kukusanya mshiko! Hili ni wazo zuri ambalo mkuu wa kitengo cha usalama barabarani anaweza kulichukua na kulifanyia kazi kwa kuishauri selikari..
 
Pole sana kwa wote. Mwanzo wa mwaka huu.Katiba imewapita mbali tulihitaji kura zao juu ya serikali tatu
 
Binafsi upendelea sana kusafiri na hzo gar za zuberi uwawanakwenda mwendo wakawaida kweli ajali haina kinga R I P wapendwa mlio tangulia mbele za haki
 
Lilikuwa linaelekea wapi mkuu?kama lilikuwa linaelekea Mwanza basi lilikuwa katika mwendo mkali sana maana ni mapema mno kuwa limeshavuka Singida zaidi ya km 60!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
umekimbizwa huje ku coment humu?????
 
Ndugu zangu watanzania jitahidini kusali sana mnaposafiri, kwani lucefer uko kazini.kwa taarifa yenu yule aliyekwepwa siyo bi kizee ni pepo mauti.tusipoteze muda kapiga simu na kuandika sms ni vizuri kumuweka mungu Mbele ya safari na kumuombea dereva na gari lenyewe.FAnyeni hivyo ajar zitapungua.
ushuhuda mimi nimewahi kubebwa na tax driver hapa Dar.tulipofika mnazi mmoja abiria mwenzangu a kapiga Kelele umegonga Mtu, yule tax driver hakusimama hadi tuliposhuka, akatuambia Yale mauzauza ya town, kama Angesimama dereva basi tungepata pata ajari kwa kumgonga.jamaa akatuasa sana msali bila kuchoka muwapo barabarani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom