Na barabara nzima toka Tanga mpaka Dar wamejaa askari wa Usalama barabarani jee wanafanya nini huko barabarani na hali kama hii tunaiona?
Tutapeperusha bendara nusu mringo kwa sana tuMitanzania hiyo, haijali maisha yao, inachagua crap for their leaders, inapanda malori na magari yaliyojaa, meli zilizozidisha cargo, halafu tunategemea kuomboleza kutakwisha?
Yep. Zaidi abiria waliokuwepo ndani ya basi waliona ni sawa tuu.
Mitanzania hiyo, haijali maisha yao, inachagua crap for their leaders, inapanda malori na magari yaliyojaa, meli zilizozidisha cargo, halafu tunategemea kuomboleza kutakwisha?
<br />Mitanzania hiyo, haijali maisha yao, inachagua crap for their leaders, inapanda malori na magari yaliyojaa, meli zilizozidisha cargo, halafu tunategemea kuomboleza kutakwisha?
Haohao abiria ndiyo wa kwanza kulalamika pindi ajali ikitokea
Tanzania unauliza sheria?Ile sheria ya level seats bado ipo au walishaifanyia amendments? Huwa nashangaa hata najishangaa mwenyewe, tunapenda shida au tumezoea shida kiasi kwamba hata haki zetu tunaamua kuachana nazo na kuona hazina maana? Kama huna haraka, yanini kujibana sana kwenye mabasi kama ndizi?