SHERRIF ARPAIO
JF-Expert Member
- Aug 25, 2010
- 9,539
- 5,898
Hata abiria nao pia ni wa kulaumiwa. Ilitakiwa abiria wanaozidi nao wapigwe fine
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
jamani tusipende sana kuwalaumu wamiliki wa magari kwani wao wanafanya biashara ila tatizo ni kwa abiria wenyewe kwani hata wakiambiwa gari imejaa bado wanagombea kuingia ili wasimame, Jambo la msingi serikali yetu ichukue hatua kali za kinidhamu kwa abiria aliyesimama pamoja na mmiliki wa gari aliyesimamisha abiria sio kusubiri ajali zitokee kwanza
<br />Na barabara nzima toka Tanga mpaka Dar wamejaa askari wa Usalama barabarani jee wanafanya nini huko barabarani na hali kama hii tunaiona?
<br />Tutapeperusha bendara nusu mringo kwa sana tu