Uwekezaji unataratibu zake, ikiwa ni pamoja na some percent ya ku- create job for locals, sasa Kama mchina n konda wa basi la kichina, huyo c mwekezaji,n mchuuzi ambaye hatakiwi kabisa kufanya kill ambacho anakifanya.
Chukulia kwamba n mwekezaji,alitakiwa kuwa na system ya kuendesha hiyo business , ikiwa n pamoja na online ticketing( c kufunga computer Ofc ya ticket), to record every ticket number purchased,it means hakuna haja ya kurudia rudia uhakiki, then Kama huyo huyo mchina n fundi, alitakiwa akae garage ambako ndo ufundi hufanyika, I don't see the reason kwa nn awepo rodini kuhakiki ticket, harafu mnashabikia, Yuko sahihi, the management structure haifanyi kazi hivyo , ikizingatiwa mnamwita an investor , kama n mchuuzi, sawa, hata akiwa dereva wa Hilo basi poa tu, c ndo tulivyo, just remember you can not do that in their country under the umbrella of investing.