Gama
JF-Expert Member
- Jan 9, 2010
- 13,264
- 4,747
wachina wamekaba kila kona, nimo ndani ya basi la kampuni ya NEWFORCE kutoka Kahama-Dar,
naona mhakiki tikiti ni mchina, nadhani hizi ndo zile ajira 10000 alizosema JK, sisi zimetuzidi, wenzetu toka mashariki ya mbali wameamua kuja kutusaidia ili tuzimalize kabla ya 2015. Ila basi linaviwango, it's spaceous, clean and laxurious, nitaendelea kuwajuza kadri tunavyokata mbuga. enjoy your day.