Kila stendi konda /dereva wa kibongo ana nyumba ndogo kwa staili hiyo ya maisha ndo maana lazima wale mpaka mtaji wa tajiri. Lakini wahindi/wachina staili ya maisha yao ni kinyume ya ya kwetu wabongo kama kula wanakula percent ndogo ya faida na hivyo kumuachia tajiri percent kubwa ya faida na mtaji wa tajiri unaongezeka. Mwisho wa mwaka tajiri ana mpatia gawio la nyongeza (bonus) mchina juu ya mshahara wake kwa kufurahia kazi nzuri. Wabongo tubadilishe staili ya maisha tuache kuwa na nyumba ndogo kibao, pombe kwa wingi na starehe kupita kiasi.
Halafu mkuu ukumbuke haya mabasi yao mapya luxurious siyo YUTONG bali ni ZHONGTONG,walishaachana na zile YUTONG.Hata kwetu border Tunduma zinapishana,mbili zinaenda na mbili zinarudi,ila sijawahi kujua kama kuna makonda wa ki-CHING CHONG!nadhani hapa unaniunga mkono kuwa "wanakaba kila kona".Read btn the lines of your post, ningefurahi iwapo unge-aknowledge appreciation niliyoitoa kwenye ubora wa basi, kunatofauti kubwa kati ya mabasi tuliyozoea na hili basi aina na YUMTONG.
Aaaahh wapi!
Halafu mkuu ukumbuke haya mabasi yao mapya luxurious siyo YUTONG bali ni ZHONGTONG,walishaachana na zile YUTONG.Hata kwetu border Tunduma zinapishana,mbili zinaenda na mbili zinarudi,ila sijawahi kujua kama kuna makonda wa ki-CHING CHONG!
On this I can't possible.
hawa wachina nawaona na benki ya crdb wengi wengi tu wakifungua milango ile yenye funguo ya siri