My Honest Book
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 1,418
- 2,275
Point yako sijaielewa Mkuu,kumaanisha ni figisu za kampuni za nyumbani kwa wageni?! Na kwa namna gani wanafanya izo figisu wakat sababu za ajali zinafahamika?!Kampuni za wazawa zimeamua kuwalia collabo hawa wageni. Ila nao siwahurumii maana wamezidi, wanataka kuwekeza kwenye kila kitu? Sisi tule wapi sasa na kwao hatuwezi kwenda kuwekeza?
Acha tuendelee kupunguza Trafiki barabarani,tupunguze faini maana zinawatesa madereva na wamiliki wa magari, hawa abiria hata wakifa kwa uzembe wa madereva na uzembe wa mamlaka zinazohusika hakuna hasara yeyote,maana tulishaamua iwe hivyo,Hiki ndicho hutokea mamlaka husika ya usimamizi inapokuwa legelege.
Acha wivu wa kijinga sauli toka ameanza biashara ya usafirishaji haijawahi kuua
Kampuni hii ifungiwe, ni kampuni ya machinjioBaada ya juzi kupata ajali mbaya na kuua watanzania wengi japo Serikal imeficha ukwl na kusema ni abiria watano
Leo tena kampuni ya newforce imepAta ajali maeneo ya Kibaha
Hii itakua ajali ya 6 ndani ya siku 21
Chanzo kikuu cha ajali hizo ni kile kile mwendokasi na kufanya overtaking za ovyo
Sasa ni wakati wa Serikal kuipiga Rungu kampuni hii ya mwekezaji kama ilivyofnya kwa kampuni za wazawa
View attachment 2666040
Nakazia.New force pamoja na magumu wanayo pitia nikampuni iliyo saidia Sana kuondoa mabasi mabovu kwenye ruti nyingi hapa Tanzania Hao jamaa Kila baada ya miezi 6 wanaleta mabasi mapya yasiyo pungua 20 kwa Hilo nawakubali sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimeenda kusoma comments kwa page zao mitandaoni.... huwezi amini wasafiri ndio wanaohamasisha na kusifia mwendo.
KUna comment wanataka gari za saa9 alfajiri lunch wakale mbeya na kugeuza kurudi Dar [emoji1][emoji1]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na wanajua ratiba zote za gari??
Wapo humo wanawajua hadi madereva wa gari hizo na kuwasifia [emoji1][emoji1]
Kuna mmoja anaitwa Tito hadi wafuasi anao humo
Mbna Golden Deer yapo? Kuna zinazoenda Songea.Msijali mabasi mapya yanayo kuja yatapewa jina la Golden Deer kupunguza taharuki
Mbna Golden Deer yapo? Kuna zinazoenda Songea.