miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,104
poleni kwa wafiwa naa poleni abiria kwa kuharibiwa mali zenu ......
Hapo wa kuchomwa alikua ni Dereva. Sasa watafutwe hao boda boda nao wachomwe.
Huyo mtei ni mwingine na makazi yake ni babati mjini wala si huyo wa CHADEMA majina tu yamefanana washabiki wa siasa muwe makini.
Wananchi wenye hasira au wahuni wa bodaboda?
Mkuu weka picha
Picha atowe wapi? Ujasoma hapo juu source ni ya nani!
kwahiyo tuseme CHADEMA wana husika?
duu hii kali sasa gari linachomwa dreva anaachwa duu..