Basi la Mtei lachomwa moto

Basi la Mtei lachomwa moto

ni ndugu wa damu na mte wa chadema, mtoto wa baba mkubwa na baba mdogo,.....polen abiria wote kwa hasara kubwa mlio ipata.
 
East Africa Radio ‏@earadiofm BREAKING NEWS: Watu wenye hasira mkoani Singida wamechoma moto basi la Mtei baada ya kugonga pikipiki na kuuwa watu watatu na kujeruhi mmoja
 
Oooohh Mungu tuepushe na siasa chuki.
Ila nadhani ni hasira za wananchi tu kwa ajali iliyosababishwa na hilo basi la mtei.
Post picha tujionee
 
Na bado wakimaliza mabasi watamchoma yeye,jifunzeni kwa mabina.
 
Duuuu,naona jamaa walikuwa na hasira kweli kweli,wakaamua kulimaliza kabisa,lakini wakati mwingine hawa madereva wetu wa mabasi wanafanya makusudi sn,ingawa wananchi nao hawakupaswa kujichukulia sheria mikononi,kweli watanzania wamechoshwa na mengi
 
mmliki wa mtei express ni mzee mtei wa chadema....?nauliza.
Hapana. Majina ya ukoo yamefanana, wote ni wana asili ya Kilimanjaro. Aliyechomewa basi ni mfanyabishara ya usafirishaji abiria. Alianza name ufundi cherehani(kushona nguo) miaka ya 70,enzi za maduka ya ushirika katika kijiji kidogo cha Bee`rmi,kata ya Dareda,wilaya ya Babati(V),mkoa mpya wa Manyara.
 
Basi lenyewe hili hapa

1525480_385298418272128_891743066_n.jpg
 
Hizi rangi zinafanana na za chama kipi Tanzania?
View attachment 131041

attachment.php


Kama naona vizuri rangi za gari hili kuna:
NYEUPE,
BLUU,
NJANO,
KIJANI, NA
NYEKUNDU.
Maandishi ya basi ni NYEKUNDU NA NYEUSI. Tueleze wewe ni chama gani chenye hizo rangi ZOTE zinazoonekana kwenye basi hili?
 
Unauliza ndevu kwa Osama?Mzee ni business man hata CHADEMA ni njia ya kumuingizia pesa!

Acha kujifanya unajua wewe sio kila kitu lazima ujifanye na wewe upo mtei ni ukoo mkubwa sana na umegawanyika edwin mtei wa cdm hahusiki na hii kampuni wala hana shea.
 
Back
Top Bottom