Basi la Mtei lachomwa moto

Basi la Mtei lachomwa moto

ah...hawa .ni kama wale waliompiga mawe mabina mwanza au....?
 
Inawezekana pia tatizo likawa kwa huyo dereva wa Bodaboda kwa maana kwamba pikipiki hiyo haina uwezo wa kubeba abiria zaidi ya mmoja ukiukwaji wa kanuni hizi ndiyo chanzo kwa dereva kushindwa kuimudu pikipiki na hatimaye kutokea kwa hiyo ajali iliyowagharimu jamaa zetu.
 
Kwahiyo, mizigo yote, parcel zilizotumwa kwa ndg, jamaa na rafiki vyote ni majivu sasa! Wananchi wenye hasira bwana?!! balaa, ila unaweza kuta mwenye bodaboda (pikipiki ndiye aliyechemsha", poleni wote

na kwa nn apakie watt wote watau kwenye pikipiki moja?alafu ni baba alipakia wanae jamani..yy kapona..loo...
 
Hizi ajali sasa zinapaswa kutangazwa kuwa janga la kitaifa kama ulivyotangazwa UKIMWI.Ukweli ni kvwa kwa sasa AJALI zinaua kuliko UKIMWI!poleni ndugu na jamaa wa watoto waliopata ajali.
 
na bado ,ndiyo kwanza asubuhi, pole sana wafiwa


Poleni wafiwa, wananchi wameamua kufanya maamuzi maana wanajua kabisa kwamba hakuna haki kwa hawa jamaa. Kulikuwa na minong'ono kwamba wamiliki wamechoma magari mengi tu watu hasa waliokuwa wanaanzisha biashara ya mabasi kwenye hizo routes! So, naona ni dalili tu kwamba what goes arround comes arround! It is just matter of time soon true business freedom will be coming in Manyara and Singida regions!

mwananchi paper.jpg
 
Km ndio huyo Mtei Mkwe wake Mzinzi MBOO.we wacha wachome tu...
 
wajinga utawajua tuu mtei siyo wa chadema acheni ujinga watumwa wa ccm..
 
Ziko wapi picha za ajali Inna lilahi wa inna ilaihi rrajiuun
 
Waliopewa mamlaka ya kuongoza nchi wako busy na kutengeneza picha za kuihujumu CDM, nasikia kiwalani kuna jeshi kama M23 wanatangaza ufalme na watu wanalala saa1 jioni lakini bodaboda upande wa pili wanakamata,wanahukumu na bado wanaua na mali za watu pia na mizigo vinateketezwa
TZ!!??
 
Back
Top Bottom