Fadhili Paulo
JF-Expert Member
- Sep 1, 2011
- 3,211
- 988
Sio mchezo MAN?Me nilidhani wataleta Yutong,spare parts sio mchezo za mjerumani
kidogo nikuulize picha plz.angalau umeambatanisha moja.teh teh teh.
kidogo nikuulize picha plz.angalau umeambatanisha moja.teh teh teh.
mkuu mbona ukitazama kwa haraka haraka halina tofauti na haya magobore ya kichina tunayopanda kila siku hapa dar?!ni kweli la mjerumani hilo.mmh!
dah I wish iwe hivyo huwa naumia sana kuona watu wamesimama tena wana safari ndefuYanafanana kidogo na magobore haya ya kichina ila lazima kuwe na tofauti, kwa ninavyojuwa mabasi haya ni full AC hivyo haitakiwi kuona vioo vya madirisha vipo wazi namna hii, pili mabasi haya huwa hayawi na kondakta, ni dereva tu ndiye anakuwemo humo na kwa tiketi zitatakiwa kuuzwa dukani kama unavyonunua vocha madukani ukifika mlangoni una-validate tu tiketi hiyo kwa machine maalum yenye alarm, kama ukitaka kununua tiketi kwa dereve mlangoni tiketi itagharimu mara 2 zaidi ya bei ya dukani, tatu abiria hatakiwi kupiga kelele nashuka kituo gani, hapana pembeni yako kuna button ya alarm ukiona kituo kinachofuatia unashuka unaibonyeza tu na dereva anasimama next, pili kunakuwa na ratiba ya basi linatoka kituo A saa fulani itapita kituo B saa fulani mpaka mwisho pasipo kuchelewa wala kuwahi hata dakika moja.
JE YATAKUWA NDIYO HAYA? Tusubiri.
Sio mchezo MAN?Me nilidhani wataleta Yutong,spare parts sio mchezo za mjerumani
Yanafanana kidogo na magobore haya ya kichina ila lazima kuwe na tofauti, kwa ninavyojuwa mabasi haya ni full AC hivyo haitakiwi kuona vioo vya madirisha vipo wazi namna hii, pili mabasi haya huwa hayawi na kondakta, ni dereva tu ndiye anakuwemo humo na kwa tiketi zitatakiwa kuuzwa dukani kama unavyonunua vocha madukani ukifika mlangoni una-validate tu tiketi hiyo kwa machine maalum yenye alarm, kama ukitaka kununua tiketi kwa dereve mlangoni tiketi itagharimu mara 2 zaidi ya bei ya dukani, tatu abiria hatakiwi kupiga kelele nashuka kituo gani, hapana pembeni yako kuna button ya alarm ukiona kituo kinachofuatia unashuka unaibonyeza tu na dereva anasimama next, pili kunakuwa na ratiba ya basi linatoka kituo A saa fulani itapita kituo B saa fulani mpaka mwisho pasipo kuchelewa wala kuwahi hata dakika moja.
JE YATAKUWA NDIYO HAYA? Tusubiri.
My brother hayo hapo juu unataka uya implement Dar ? thubutu. Dar lazima makonda wawili na baunsa au polisi kuzuia wizi na uharibifu ndani ya gari. Hapa kuna wamasaai. wagogo. wakwere. wasukuma na wamakonde ambao hata kuflash choo tu ni kazi. itakua hayo uliyoandika ?
lina video...?

kama ni hivyo mbona tutapotea wengi, sisi wengine ni wageni kwenye baadhi ya vituo..... kelele za kondakta ndio mwongozo wetu itakuaje sasa.?Yanafanana kidogo na magobore haya ya kichina ila lazima kuwe na tofauti, kwa ninavyojuwa mabasi haya ni full AC hivyo haitakiwi kuona vioo vya madirisha vipo wazi namna hii, pili mabasi haya huwa hayawi na kondakta, ni dereva tu ndiye anakuwemo humo na kwa tiketi zitatakiwa kuuzwa dukani kama unavyonunua vocha madukani ukifika mlangoni una-validate tu tiketi hiyo kwa machine maalum yenye alarm, kama ukitaka kununua tiketi kwa dereve mlangoni tiketi itagharimu mara 2 zaidi ya bei ya dukani, tatu abiria hatakiwi kupiga kelele nashuka kituo gani, hapana pembeni yako kuna button ya alarm ukiona kituo kinachofuatia unashuka unaibonyeza tu na dereva anasimama next, pili kunakuwa na ratiba ya basi linatoka kituo A saa fulani itapita kituo B saa fulani mpaka mwisho pasipo kuchelewa wala kuwahi hata dakika moja.
JE YATAKUWA NDIYO HAYA? Tusubiri.
My brother hayo hapo juu unataka uya implement Dar ? thubutu. Dar lazima makonda wawili na baunsa au polisi kuzuia wizi na uharibifu ndani ya gari. Hapa kuna wamasaai. wagogo. wakwere. wasukuma na wamakonde ambao hata kuflash choo tu ni kazi. itakua hayo uliyoandika ?
kama ni hivyo mbona tutapotea wengi, sisi wengine ni wageni kwenye baadhi ya vituo..... kelele za kondakta ndio mwongozo wetu itakuaje sasa.?