Basi la kwanza la mradi wa mabasi yaendayo haraka limewasili nchini

Mkuu, South Korea, London, USA kwote umekaa au Google inahusika? Kidding.. :msela:

Aisee, sensa ya mwaka gani inakuambia Dar kuna watu less than 3 million? Aisee, labda sensa ya mwaka 2002. Kwa sasa kuna population of 5,364,541 as of the official 2012 census mkuu.

Welcome Back mzee.

Ahsante kwa kunipa data hizo, but still fanya comparison ya 5million na ile ya 10million na still Dar ina ukubwa almost mara tatu ya Seoul, tatizo linabaki palepale kua dar ina miundo mbinu ya ovyo sana.....
Tembea uone dunia, utaona bongo bado ipo nyuma sana, kati ya step 100 tupo ya kwanza au 0.5 kabisa..
 
Shukrani kaka.
Kwahiyo lengo la serikali kuleta haya mabasi ili yapunguze foleni "Mission Failed"

Pia wenye madaladala kuna uwezekano biashara ikawa mbaya zaidi.

Na pia kuna dalili za zaidi ya vijana 100,000 waliokua makonda na wapiga debe wakakosa ajira. Sidhani kama watakubali kurudi kwao, zaidi watakomaa na jiji. Wizi nje nje.

mtu atakayeacha kupanda haya mabasi ambayo yatatumia 25-30 minutes kimara-posta na kukomaa na kigari chake ni limbukeni,lakini kama madereva wataona umuhimu wa kupanda haya mabasi foleni itapungua....wenzetu wamefanikiwa kupunguza foleni kwa kuondoa magari barabarani....wamefanikiwa vipi???kwa kuboresha public transport[tram,underground trains,brt]
 
Yap, yanatakiwa kama haya. Hata kama ni dogo muundo wake uwe hivyo, siyo ule mkweche ambao sioni tofauti na yale yale tunayoyatumia kwenda kwetu Mbagala, ujanja ujanja unatukwamisha sana. Siamini kama lile la jana ndo mfano wa yale yaliyoobyeshwa prototpye.

Ndo maana mwenyewe nilishangaa,atleast yanashawishi sio lile engine nyuma waliloonyesha jana na inavyoonekana hapa kuna watu wanataka kupiga sasa wanapima upepo kama tutaelewa au la.
 
Hivi turudi kwanza kwa mleta hoja.

Total magar mangapi yanakuja hivi? Usikute ndio ilo ilo hafu nitolee hadi 2015 june.
 
Mbona una papara watanzania bana sasa wewe unakosoa hata mradi haujaisha.

Haitaki Tochi kaatika kuangalia. Anzia kimara angalia vituo vyote barabarani, No easy option to make people crossing the road safely, kuna madaraja mawili yameongezwa. Sasa basi likifika kituoni abiria wakishuka, Si inabidi gari zisimame watu wavuke? ni mara ngapi yatafanyika? Japo waliotenda kazi ni wasomi sana waangalie na vichwa vya watanzania kama ni vyepesi kiasi hicho......Pole Ritz kama nimekuudhi kucomment..
 
lengo ni kupata kura nyingi 2015....but mimi hata walete meli kama titanic kura yangu haiendi ccm.
 
G+Mboto+Usafiri.JPG
 
Hayo mabasi yamekaa kama yale ya Amerika kabisa. Yanaafadhali kuliko matatu. Kazi nzuri hiyo.......
 
Back
Top Bottom