Basi la kwanza la mradi wa mabasi yaendayo haraka limewasili nchini

My brother hayo hapo juu unataka uya implement Dar ? thubutu. Dar lazima makonda wawili na baunsa au polisi kuzuia wizi na uharibifu ndani ya gari. Hapa kuna wamasaai. wagogo. wakwere. wasukuma na wamakonde ambao hata kuflash choo tu ni kazi. itakua hayo uliyoandika ?
hawakawii kama walichofanya ndani ya uwanja wa taifa...''akumbukwe kibao''ila hapo kwenye kijani watake radhi ndg zetu hawa...
baada ya siku kadhaa utalikuta hivi
20130704_144534.jpg
 
ni mabasi mazuri na yanafanana kabisa na wakati tuliona sasa,yanaendana sawa kabisa na mabasi tuyaonayo na kuyapanda ktk nchi za wenzetu,hongera Tanzania,hongera serikali ya Rais Jakaya Kikwete,mwanzo mzuri,polepole tutafika tu na tutafanana nao tu,ni swala la muda.
cha msingi ni kwamba,wananchi wa Tanzania ni lazima waelewe,waelimike na watambue kuhusu ustarabu,si wakati sasa wa kuingia na viwembe,peni na kuanza kuharibu vitu vizuri tulivyonavyo.tumejionea uwanja mpya wa Taifa,watu hawafikirii,kazi kulaumu na kuharibu viti na kesho utasikia,"ooooooooooooh serikali hamna kitu,viti vimeng'olewa na hawajaweka vipya",huu ujinga ni lazima uwekwe pembeni,kama mtu unahasira rudi nyumbani kwako,chukua kitanda chako choma moto,choma nyumba yako moto na kila kitu.lakini sio mali ya umma
Tulinde mali za umma na tuwe na uchungu nazo
 
Sante kalesa!
 
MAN ni kampuni nzuri sana,mabasi yao yana uimara mkubwa na ndio yanayotumika sana huku ulaya
kwa hapo nawapa hongera kutuletea magari ya mjerumani..
cha muhimu sasa kuwe na utaratibu wa kulipia kwa mwezi kwa bei pungufu
na unapewa kadi utakayoitumia muda wowote unapotaka bila garama ya ziada,,mabasi hayo yana mashine maalumu za kulipia,,atakaetaka kulipia ,langoni anapewa risiti atakayodumu nayo kwa saa nzima anaweza kuitumia kupandia basi lingine bila kulipa tena..............kwa hili nawapongeza waliobuni huu mradi..
watoto chini ya miaka 4 waruhusiwe bure na wazee walipe nusu nauli kama wanafunzi
wekend iwe bure kwa watoto wote wa shule za msingi.
B_lions_city_01.jpg
B_lions_city_01~1_width_140_height_105.jpg
B_lions_city~1.jpg
 
Sasa sisi wapiga debe tukimbilie wapi..jamaniii...eeeh Mnyaazi Mungu fanya kila liwezekanalo mradi huu UFE..AMEN
 
salamu hizi ziwafikie wakenya.wanatukebehi sana na ile thika superhighway yao.jk anaenda kumaliza uraisi kwa kufunga midomo ya baadhi ya jirani zetu.kodos jk.
Lakini lazima tukubali kuna mengi tu wametuacha. Hilo halina ubishi
 
My brother hayo hapo juu unataka uya implement Dar ? thubutu. Dar lazima makonda wawili na baunsa au polisi kuzuia wizi na uharibifu ndani ya gari. Hapa kuna wamasaai. wagogo. wakwere. wasukuma na wamakonde ambao hata kuflash choo tu ni kazi. itakua hayo uliyoandika ?

Kwani huko yalikoanzia wote wanajua au wanaflash hivyo vyoo? usijishushe au kutushusha waTanzania kiasi hicho
 
Hao uliowaandika (kwa kumaanisha wa kutoka shamba) wala hawana maneno, ni wastaarabu wa kuzidi, tabu iko kwa watoto wanaojifanya wa mjini, wanajiona wajanja wajanja na wanajua kila kitu...hao ndio tatizo hasa, hawachelei kutokea dirishani, kuchora siti kwa markerpen, kumtukana dereva, kugonga bodi badala ya kubonyeza button na vituko kibao, hao unaowasema hawawezi hata kufungua kioo cha gari, anahofia kumuudhi jirani aliyekaa naye!! Watao haribu mambo ni hawahawa wasomi wa vyuo vya kata, lakini nadhani yatakuwa na camera ndani dereva ataona kinachoendelea, kuwe na utaratibu tu wa kupiga fine wajingawajinga kama hao!

Mkuu umenichekesha sana aiseee, loh mpaka mchozi
 
Kaka umenena. nilipitia UDSM kipindi kile kuna block la watu wa master's peke yao. kaka hutaamini wasomi sisi tulitokea makazini na tuliacha wake na watoto jumbani. cha ajabu ukiingia vyooni unakuta hawa mabosi hawaflash. hawa mabosi wakiingia chumba cha chai wanakiacha ovyo. Imagine hao ni mabosi. nikapitia bweni la kina mama wa masters nilipoingia vyooni mwao. mama yangu bora kwa men. hawa ni wazazi tena mabosi niambie watoto wao wakiingia kwenye hata mabasi baada ya wiki si kutakua kama uwanja wa taifa. polisi ffu ni muhimu kwenye BRT
 
mkuu kwa nini umtukane mleta mada wakati hata itv wameripoti.?

nadhani ungewalaum wahusika kwa kuleta magari unayoyaona hayana standard..!!

lakini kwa kashfa zako umedhihirisha upumbavu ulionao.!!!!

Wewe kila kinachoropokwa ITV unataka uwe unakimwaga huku hatakama ni mavi by the name of source. lazima ukiwajibishe kichwa chako na na taarifa-inzi kabla ya kuiweka jamvini. majamvi haya nduguyangu sio vibao vya matangazo ya upuuzi. hao wenyewe huja huku kutafuta source za kazi zao wewe tena unataka kuziruDIsha humu..
 
Kwa kuliangalia hilo basi na kuangalia kituo cha morogoro road pale mjini kuna kitu kimekosewa, platform ya kituo ipo juu sana itakuwa inakaribia katikati ya huo mlango.
 
Linafanana na mabasi ya ulaya lakini sina imani na tabia zetu za kiswahili
 
Back
Top Bottom