Basi la kwanza la mradi wa mabasi yaendayo haraka limewasili nchini

Embu Acheni upumbavu , toeni sred hii humu jamvini Bus Rapid Transit (BRT) Ina viwango Na Standard Hilo Basi Kwenye picha halina Standard hata Moja. stratabg wameleta kibasi Cha kukusanyia wafanyakazi wake Nyie mnafanya promo Za politic..!
 
My brother hayo hapo juu unataka uya implement Dar ? thubutu. Dar lazima makonda wawili na baunsa au polisi kuzuia wizi na uharibifu ndani ya gari. Hapa kuna wamasaai. wagogo. wakwere. wasukuma na wamakonde ambao hata kuflash choo tu ni kazi. itakua hayo uliyoandika ?[/QUOTE]
 
My brother hayo hapo juu unataka uya implement Dar ? thubutu. Dar lazima makonda wawili na baunsa au polisi kuzuia wizi na uharibifu ndani ya gari. Hapa kuna wamasaai. wagogo. wakwere. wasukuma na wamakonde ambao hata kuflash choo tu ni kazi. itakua hayo uliyoandika ?

Heehehee jf kiboko
 
subir waamke,,,,,
 
Embu Acheni upumbavu , toeni sred hii humu jamvini Bus Rapid Transit (BRT) Ina viwango Na Standard Hilo Basi Kwenye picha halina Standard hata Moja. stratabg wameleta kibasi Cha kukusanyia wafanyakazi wake Nyie mnafanya promo Za politic..!

basi weka picha ya basi la kweli la BRT
 
Embu Acheni upumbavu , toeni sred hii humu jamvini Bus Rapid Transit (BRT) Ina viwango Na Standard Hilo Basi Kwenye picha halina Standard hata Moja. stratabg wameleta kibasi Cha kukusanyia wafanyakazi wake Nyie mnafanya promo Za politic..!

mkuu kwa nini umtukane mleta mada wakati hata itv wameripoti.?

nadhani ungewalaum wahusika kwa kuleta magari unayoyaona hayana standard..!!

lakini kwa kashfa zako umedhihirisha upumbavu ulionao.!!!!
 
Kuna magari ya serikali yako kibao yameharibika kidogo sana lakini jinsi yakuyatengeneza ni ishu kwa iyo haya yatafanya kazi mwaka mmoja tu chali ni kama uda muda wowte yanapaki
 
Vijana wa Bavicha mbona mko TOO negative?!!!
 
Serikali hapa bado kuna kitu imechemsha. Mabasi haya yapo kati kati ya barabara.na movement za watu kupanda na kushuka zitakuwa juu.ina maana kila kituo watu watakuwa wanakatiza barabara hata kama kuna zebra na foleni itakuwepo tena...tafakari makini
 
My brother hayo hapo juu unataka uya implement Dar ? thubutu. Dar lazima makonda wawili na baunsa au polisi kuzuia wizi na uharibifu ndani ya gari. Hapa kuna wamasaai. wagogo. wakwere. wasukuma na wamakonde ambao hata kuflash choo tu ni kazi. itakua hayo uliyoandika ?

Kuflash choo kunategemea kabila kumbe? kwa mawazo kama haya ni ngumu sana chembe chembe za ukabila kuisha, mtu kama wewe ukishajua huyu anayeomba kazi ofisini kwako ni kabila fulani hutamwajiri kwa kuhofia kutoflash choo cha ofisi yenu.
 
Hata mimi niliwaza hilo, mgeni hawezi kujua vituo. Nadhani kutakuwa na led display inayoscroll majina ya vituo, kila basi linapoondoka kituo kimoja display inaonesha kituo kinachofuata!

Waweke tu hizo display kwa kweli,maana!!!!
 
Serikali hapa bado kuna kitu imechemsha. Mabasi haya yapo kati kati ya barabara.na movement za watu kupanda na kushuka zitakuwa juu.ina maana kila kituo watu watakuwa wanakatiza barabara hata kama kuna zebra na foleni itakuwepo tena...tafakari makini
Mbona una papara watanzania bana sasa wewe unakosoa hata mradi haujaisha.
 
My brother hayo hapo juu unataka uya implement Dar ? thubutu. Dar lazima makonda wawili na baunsa au polisi kuzuia wizi na uharibifu ndani ya gari. Hapa kuna wamasaai. wagogo. wakwere. wasukuma na wamakonde ambao hata kuflash choo tu ni kazi. itakua hayo uliyoandika ?[/QUOTE]

Kutaja makabila ya watu kuwa hawajui kuflash vyoo ni matusi yasiyovumilika. Tutake radhi fasta vinginevyo nitabonyeza kitufe cha 'Report Abuse'.
 
Inakuwaje abiria hataweza kuzuga anashuka magomeni kumbe anashuka kimara na sasa hapo upande wa nauli utabalansi vip ukizingatia ni mpaka apende kushuka mwenyewe si konda hayupo? ama nauli itakuwa itakuwa ni ya ruti nzima haijalishi unashuka mwanzo,kati ama mwisho?
 
dah I wish iwe hivyo huwa naumia sana kuona watu wamesimama tena wana safari ndefu

Kusimama hakuepukiki lakini watu wachache wanatakiwa kusimama siyo mnajazana kama kuni, jambo la mhimu isisitizwe uwepo wa AC zinazofanya kazi na jambo hili likiwezekana utaona hata wenye magari binafsi wanafurahia kupanda daladala na automatic foleni inaweza kupunguwa kwa style hii.
 
Inakuwaje abiria hataweza kuzuga anashuka magomeni kumbe anashuka kimara na sasa hapo upande wa nauli utabalansi vip ukizingatia ni mpaka apende kushuka mwenyewe si konda hayupo? ama nauli itakuwa itakuwa ni ya ruti nzima haijalishi unashuka mwanzo,kati ama mwisho?

Kwa kawaida tumeshazoea nauli ni kituo hadi kituo na ili kurahisisha hili itabidi iwe nauli ya mwanzo mwisho maana sisi wabongo kwa kupenda kuzuga sijuwi itakuwaje, ila suala la kutokuwepo kondakta ni mhimu sana na wakati huo huo madereva lazima wawe smart yaani wavae suti na tai kabisa na si walivyo sahivi.
 
Ila tusianze kukata seats na viwembe na kuanza kuchora chora.
 
Hili bus nilikutana nalo barabarani...mpaka nikashtuka basi zuuri ndani lina wazungu tupu...kuangalia limeandikwa BRT....nkasema ok nimewasoma
 
Back
Top Bottom