Basi gani zuri la Mwanza - Mbeya?

Basi gani zuri la Mwanza - Mbeya?

Naona mmeamua kumdanganya....Mwanza Mbeya basi mi moja tu SUPERSHEM;Mbeya express na Isamilo wamewahi ibia mara mbili tu...nauli ni 51000 hadi 55000....kuingia Mbeya ni kuanzia saa saba kama hakuna police njiani.....NIMEINGIA MWANZA JUMAMOS ILIYOPITA NIMEFIKA SAA KUMI ALFAJIRI...NMIMEINGIA MBEYA LEO KUTOKA MWANZA SAA TISA NA ROBO.....kwa usalama wa viungo vyako kama makalio na miguu PANDA GARI YA DODOMA lala hapo;kesho yake PANDA GARI YA MBEYA....la sivyo itaichukia Mbeya au mwanza kabla hata hujafika Mbeya...na utamtukana sana dereva ila SUPERSHEM sio gari ni guta utafika umenyooka.OVER

Ulipanda gari gani mkuu?
 
super shem ila anazo aina mbili zhongtong Caesar na za kawaida mbeya saa sita hivi unaingia. kwa maelezo zaidi tembelea page moja FB inaitwa WASAFIRI TANZANIA utapata info zote. na picha za hizo basi.

Hapa nazani atapata zaidi
 
Panda mmt,mbogos,kajoi,rundugai,hindocha,Sinai yote yako vizuri
 
Mwanfupe yuko sahihi mi kwetu ni mwanza mbeya nafanya kaz hilo super shem ni zaid ya guta kama vp lala dodoma Kisha panda kimbinyiko au shabiby kuja huku mbeya
 
Itanigarim bei gani kuzungukia dodoma?
 
Acheni maneno mengi.panda ulamaa.ndama jeuri.mbogo akamuliwi maziwa.cost. line
 
hanuana basi linalotoka mwamza mbeya lazima uunge tu aidha ufike dodoma au moro au dsm . mabasi mazuri ni ndenjela Rungwe , New force , JM na zingine lakini kwa kiasi kikubwa mabasi ya mbeya dar ni mazuri na ni masaa 11 au kumi na mbili unafika mbeya kutoka dsm nauli ni 350000 hadi 40000

Acha basi, mbona mabasi ya mwanza mbeya yapo...
 
Mwanfupe yuko sahihi mi kwetu ni mwanza mbeya nafanya kaz hilo super shem ni zaid ya guta kama vp lala dodoma Kisha panda kimbinyiko au shabiby kuja huku mbeya

Itilo,ipilili,nyasa,nhonge,kashishi .
 
Na kwa mwendo wa sahivi wa tochi ni lazima upige magoti kwenye gari, safari ya masaa 6 sahivi ni masaa 10
 
hanuana basi linalotoka mwamza mbeya lazima uunge tu aidha ufike dodoma au moro au dsm . mabasi mazuri ni ndenjela Rungwe , New force , JM na zingine lakini kwa kiasi kikubwa mabasi ya mbeya dar ni mazuri na ni masaa 11 au kumi na mbili unafika mbeya kutoka dsm nauli ni 350000 hadi 40000
Labda kama limeachia route,lakini lilikuwepo Super sami,shahidi ni baba yangu mzazi,alisafiri nalo vizuri mpaka mbeya,aliingia saa 5 usiku.
 
hanuana basi linalotoka mwamza mbeya lazima uunge tu aidha ufike dodoma au moro au dsm . mabasi mazuri ni ndenjela Rungwe , New force , JM na zingine lakini kwa kiasi kikubwa mabasi ya mbeya dar ni mazuri na ni masaa 11 au kumi na mbili unafika mbeya kutoka dsm nauli ni 350000 hadi 40000

Unapotosha
 
Back
Top Bottom