Nataka kusafiri wiki ijayo kutoka mwanza kwenda mbeya, napenda mnisaidie basigani zuri na lenye bei ya kati au nafuu, pia unijuze linafika mbeya saa ngapi, natanguliza shukrani
Asante mkuu, yanafika mda gani?
Usisemee usichokijua.Mza-Mby kunamabasi kama matatu hivi, Kuna Super Shem,Mbeya Express,Summry na Mara chache linakuwepo Upendo bus. Gari ambayo kila siku ipo toka Mza-Mby na Mby-Mza ni Super Shem.hanuana basi linalotoka mwamza mbeya lazima uunge tu aidha ufike dodoma au moro au dsm . mabasi mazuri ni ndenjela Rungwe , New force , JM na zingine lakini kwa kiasi kikubwa mabasi ya mbeya dar ni mazuri na ni masaa 11 au kumi na mbili unafika mbeya kutoka dsm nauli ni 350000 hadi 40000
Mabasi yapo siku hizi yanapita barabara ya Dodoma -iringa bahati mbaya sikumbuki majina sababu si kuwa na interest nayo nilipoyaona Mbeya.hanuana basi linalotoka mwamza mbeya lazima uunge tu aidha ufike dodoma au moro au dsm . mabasi mazuri ni ndenjela Rungwe , New force , JM na zingine lakini kwa kiasi kikubwa mabasi ya mbeya dar ni mazuri na ni masaa 11 au kumi na mbili unafika mbeya kutoka dsm nauli ni 350000 hadi 40000