Hii sekta watawala wamefail sana,juzi nikitoka Arusha nimemtumia muda wa zaidi ya saa 3 kutoka Chalinze kuingia Dsm licha ya kwamba hakukuwepo foleni.Na kwa mwendo wa sahivi wa tochi ni lazima upige magoti kwenye gari, safari ya masaa 6 sahivi ni masaa 10
Kama CCM itashinswa uchaguzi,uongozi ujao watatue na kumaliza kero hizi za barabarani. Mfano nilijiuliza kwa nini vijiji na umachinga unafanywa kan dit