Kwani zipo za mwanza mbeya? vipi bei yake?
Usisemee usichokijua.Mza-Mby kunamabasi kama matatu hivi, Kuna Super Shem,Mbeya Express,Summry na Mara chache linakuwepo Upendo bus. Gari ambayo kila siku ipo toka Mza-Mby na Mby-Mza ni Super Shem.
Safari njema usikose kutembelea Mwanjelwa ni Kariakoo ya Mbeya.
hanuana basi linalotoka mwamza mbeya lazima uunge tu aidha ufike dodoma au moro au dsm . mabasi mazuri ni ndenjela Rungwe , New force , JM na zingine lakini kwa kiasi kikubwa mabasi ya mbeya dar ni mazuri na ni masaa 11 au kumi na mbili unafika mbeya kutoka dsm nauli ni 350000 hadi 40000
Mabasi yapo siku hizi yanapita barabara ya Dodoma -iringa bahati mbaya sikumbuki majina sababu si kuwa na interest nayo nilipoyaona Mbeya.
MWANZA via shy via singida via dom via mtera via iringa to MBEYA, mabasi ni 1. mbeya express, 2. networking, 3. supershem na mengne. nauli ni elfu 50 to elfu 60 (bargaining power) na utafika mda kuanzia saa 6 usiku up to saa 8 ucku. Ni bora amuombe kondakta ili awasiliane na watu walioko mby ili wamsaidie kupata gesti mapema.
pia kuna route ya MWANZA via tabora via chunya to MBEYA, basi ni moja tu la sabena km bado lpo. Karibu sana home kwetu mby the green city
Guest house nianchie mm utalala kwangu? Au unataka guest ya bei gani ktk hizi? Kuna 4,000/7,000/10,000/12,000/15,000/20,000/25,000/30,000/40,000/50,000/ na kuendelea usalama ktk hizi guest umezingatiwa pia shikia nanenane au stand mpya utanipata kirahisi karibu Mbeya.
Asante sana mkuu hilo basi la sabena nalo linafika mda huohuo linalopita mwanza - tabora - chunya - mbeya mjini?

Panda kisesa