Mzee wengine tunafuatilia kwa makini sana haya mambo, version ya kusema mchakato na sio katiba yenyewe ilikuja baada ya wenye akili zao ku-hoji... mkakuta heri ku-edit,
Mfano wa uongo wenu ni cement TZS 5000/-,Masanduku ya Kura Mbeya etc... kuhakikisha nyumbaz zote za majani za wananchi zinaelekwa mabati...
Lakini mimi mkuu silaumu sana maana nani mwenye experience ya kuongoza (taasisi) actively kwenye viongozi wa chama chako ni Mwenyekiti wenu tu? don't tell me as board member b'se board meet only 4 times a year.
Nipe mtu aliyoongaza taaisi kama Lowasa (AICC), Sita(TIC) etc... give me from you leaders... nikuamini munayosema! Mengi yenu mnasema tu mkipewa hamuwezi... mambo mengi yenu ni ya kufikirika tu kama vile mtoto anaposema nikiwa mkubwa nataka kuwa Dr, Engineer etc.