Inanambo
JF-Expert Member
- Jun 26, 2011
- 4,063
- 2,872
Kwenye kipindi chao cha 'je tutafika?'. Eti wanasema serikali 3 ni UBAGUZI. Na kumshushua mzee Warioba. Siwaelewi wasomi wetu siku hizi. Wamekaririshwa neno moja, MABEBERu
Siku hiyo sikupenda mawazo ya huyu msomi wa UDSM hasa aliposema Rasimu ya katiba Siyo kesi ya Babu Seya kwamba haisemwi tena labda kwa msamaha wa Rais. Nikaona huyu anafundisha jamii nini Kuoanisha Katiba na kesi hiyo? Mara oh serikali tatu ni Ubaguzi na mengineyo nikakosa hamu ya kumsikiliza Nikatune Channel nyingine nikaachana naye