Bashiru Ally: Vyama vya siasa Vya Maslahi

Bashiru Ally: Vyama vya siasa Vya Maslahi

Udini ni pamoja na kuingiza mambo ya mahakama ya kadhi kwenye ilani ya uchaguzi..usini ni pamoja na ku create vyeo kupendelea wasiokuwa na sifa lakjbi kwa shinikizo la bakwata
Nashukuru kwa kunijuza.
 
Kweli huyu Prof. nadhani analeta mashaka na huo Uprof. wake. Kasomea nini?? Au ni ule wa akina maji marefu? Anajikomba angalao Mwikulu amkumbuke kabla ya giza kuingia. Huenda akamweka nafasi ya Migiro. Bwana wanasema; Mgaa gaa na upwa... Prof. mzima unathubutu kusema ati Watz. tumekata tamaa kwa sababu tu ya kufukuzwa ZZK? We ni kichwa maji kabisa. Ubongoni mna tope tu.
Mbona wengine wamekufa wakiwa kazini, Serekali ilisimama? Kesho tutasikia waziri mpya wa fedha au sio? ZZK hana nafasi hata ya kuwa mwanachama tu CDM na tutaendelea na kwa taarifa yako; 2015 tutakuwa wapangaji wapya jengo lile la Magogoni.
Kweli kabisa; Ni mimba imetoka. Lakini si kwa matumaini ya Watanzania kama unavyotaka kutuaminisha. Kwa Maccm kama weye. Nawasilisha
 
Hivi kuna msomi anayeshindwa kutofautisha kauli hizi 'Tutawapatia katiba mpya ndani ya siku 100'' na "Tutaanza mchakato wa katiba mpya ndani ya siku 100' na akaendelea kukubalika kuwa ni msomi?

Halafu ni wananchi gani waliokatishwa tamaa na CHADEMA kusimamia nidhamu kupitia katiba yake? Aseme amekata tamaa yeye binafsi na maswahiba wake waliokiuka katiba kwa utovu wa nidhamu kisha wakaadhibiwa.Aache kuwatumia watanzania kufikisha ujumbe wake binafsi na kikundi cha watu wachache.Unafiki wawasomi nchi hii ni usaliti mkubwa kwa taifa
Umewapa za uso
 
Unapoleta maada unapaswa kuwa neutral ili upate wachangiaji wengi yaan ulivyo onyesha tu kwamba uko upande wa mbowe na babu nilisikia harufu mbaya kama umefunja yai viza.

umefunja yai viza? wewe na walioku-like ndo mna harufu mbaya!
 
Kweli huyu Prof. nadhani analeta mashaka na huo Uprof. wake. Kasomea nini?? Au ni ule wa akina maji marefu? Anajikomba angalao Mwikulu amkumbuke kabla ya giza kuingia. Huenda akamweka nafasi ya Migiro. Bwana wanasema; Mgaa gaa na upwa... Prof. mzima unathubutu kusema ati Watz. tumekata tamaa kwa sababu tu ya kufukuzwa ZZK? We ni kichwa maji kabisa. Ubongoni mna tope tu.
Mbona wengine wamekufa wakiwa kazini, Serekali ilisimama? Kesho tutasikia waziri mpya wa fedha au sio? ZZK hana nafasi hata ya kuwa mwanachama tu CDM na tutaendelea na kwa taarifa yako; 2015 tutakuwa wapangaji wapya jengo lile la Magogoni.
Kweli kabisa; Ni mimba imetoka. Lakini si kwa matumaini ya Watanzania kama unavyotaka kutuaminisha. Kwa Maccm kama weye. Nawasilisha

Likely, mbona yule aliyependekeza division 5 alipewa ukatibu mku wizara ya elimu?
 
Mara nyingi nimesikiliza chambuzi za Bashiru katika mada mbalimbali na mara nyingi anaongeza utata badala ya kuelekeza ufumbuzi!
 
Huyu prof kila siku yeye ni kukosoa tu wala hatoi solution. Juzi nmeona channel ten akikosoa serikali tatu.

mkuu soma vzr uzi wa mleta mada, amemwita Bw(Mr), yaani ana master, hajapata phd, hivyo sio profesa!
 
Mhadhiri wa Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam Bw. Bashiru Ally amesema upinzani hauongezeki nchini kwa sababu hakuna uwajibikaji ndani vyama na kwamba wananchi wamekata tamaa.
Amesema vyama vinaweza kuahidi katiba ndani ya siku 100 na wananchi wakakimbilia hayo matumaini hewa kumbe lengo lao na kuingia Ikulu.

Anaendelea kusema mgogoro wa Chadema umewakatisha tamaa wananchi kwani wapo watu waliowekeza nguvu,muda na fedha wakidhani wamepata chama Mbadala.Kwamba kilichotokea ni kama mimba imetoka.

Source: jamhuri jan.13-20,2014

My take:Huyu eti ni msomi.

Kinachomtia upofu ni udini au mapenzi ya uccm?

Hivi Chadema bado ipo, au chagadema!
 
Eti! CHADEMA imepata miscarriage?!

Prof? Huyu mpuuzi hana hata PhD uprof kautoa wapi? For the record, alikuwa admitted kufanya PhD 2004 ila mpaka leo status yake ni no-PhD. Majuzi kapandishwa cheo kuwa lecturer thanks to his good religion na connections za kihaya kwa Mukandala maana kwa sheria mpya huwezi kupata u-lecturer bila PhD (zamani akina Wamba dia Wamba waliruhusiwa). KWa kifupi huyu jamaa ni kanjanja na kumfananisha na Haroub Othman ni kutukana watu bila sababu. KWanini asiisifu CCM inayom-promote to the highest level of incompetency? By the way mie sio CHADEMA wala CCM. Tofauti na wajinga wengi, nimejifunza kukataa ushabiki wa vyama wakati wanaokula ni akina Mbowe na Kikwete. Watanzania futeni tongotongo ndipo mtaendelea vinginevyo mtabaki ivyo mlivyo hoe hae au mtabaki na option moja aliyochukua Bashiru Ally ya kuwimbia mashairi watawala ili wampe vyeo asivyostaili. I am out!!!
 
Mhadhiri wa Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam Bw. Bashiru Ally amesema upinzani hauongezeki nchini kwa sababu hakuna uwajibikaji ndani vyama na kwamba wananchi wamekata tamaa.
Amesema vyama vinaweza kuahidi katiba ndani ya siku 100 na wananchi wakakimbilia hayo matumaini hewa kumbe lengo lao na kuingia Ikulu.

Anaendelea kusema mgogoro wa Chadema umewakatisha tamaa wananchi kwani wapo watu waliowekeza nguvu,muda na fedha wakidhani wamepata chama Mbadala.Kwamba kilichotokea ni kama mimba imetoka.

Source: jamhuri jan.13-20,2014

My take:Huyu eti ni msomi.

Kinachomtia upofu ni udini au mapenzi ya uccm?

Weye ndo huna lolote ulijualo juu ya SIASA,

Maana ya ukomavu wa SIASA dalili kuu ua kwanza ni kukubali kupokea kukosoleka.

Kwa hiyo ulitaka asdme nini sasa au ndo yale maneno ya kuekewa mdomoni?

Udini upo wapi au kitwani umeenda likizo?!

Kwanini usilete mawazo mbadala wa mawazo kuliko kutaka tuaminisha UDINI?!

Nawe usomi wako ndo umeuonesha kwa mfumo huo?

Haya ngojelea wenye mawazo kama yako waje wakugeiye hiyo PhD kwa makorokoro yako.
 
Hivi kuna msomi anayeshindwa kutofautisha kauli hizi 'Tutawapatia katiba mpya ndani ya siku 100'' na "Tutaanza mchakato wa katiba mpya ndani ya siku 100' na akaendelea kukubalika kuwa ni msomi?

Halafu ni wananchi gani waliokatishwa tamaa na CHADEMA kusimamia nidhamu kupitia katiba yake? Aseme amekata tamaa yeye binafsi na maswahiba wake waliokiuka katiba kwa utovu wa nidhamu kisha wakaadhibiwa.Aache kuwatumia watanzania kufikisha ujumbe wake binafsi na kikundi cha watu wachache.Unafiki wawasomi nchi hii ni usaliti mkubwa kwa taifa

Hivi huwezi kujadiliana na mtu kistaarabu? Why unapenda kuwa tusi watu pasina msingi? Btw hii ni post tu ya mtu, how far unauhakika maneno yaliyo andikwa kwenye post aliyasema Bashiru? Punguza kukurupuka kijana.una bore.

FYI: kuna kufuata sheria,kanuni na katiba na ukashinda,lakini kumbuka siasa ni zaidi ya hivyo vitu. Chadema ni chama cha siasa,sio chombo cha kusimamia sheria...
1.Adrew chenge alishinda (kisheria) kesi ya mauaji, nani mtaani anaamini hakumpamia yule dada na kumsababishia kifo?
2.Zombe kashinda kesi ki sheria kuhus mauaji ya wachimba madini, nani mtaani ana muona zombe ni mtu mwema asiye na hatia?
3.Bungen wapunge wa ccm hupitisha mambo na kuwashinda wapinzani either kwa kutumia kanuni HALALI kabisa au wingi wao.Lakini je wananchi wanawaelewa? Wanafurahishwa?

siasa ni zaidi ya sheria,katiba,kanuni,etc....ni USHAWISHI!...chadema ni chama cha siasa kina anza kukosa huo ushawishi,kinapoteza mvuto wa kisiasa,hata kama hatua zilizo chukuliwa ni "sahihi" lakini ukweli huu pia wa kupoteza mvuto ni lazima usemwe.

NB: I caution you Ben Saanane wewe ndo msingi wa kuvurugika cdm,tokana na aina ya siasa unazofanya...kama kweli sio pandikizi la ccm,pls jaribu kubadilika uwe mtu mzima.Think mature,act wisely,..the demage u hv caused to the party has no repair,but water under the bridge. Grow up!
 
Last edited by a moderator:
Sijaona mahali amabapo BASHIRU KAZUNGUMZIA UDINI hila mleta mada kaileta atakavyo na kuchomrka neno UDINI. Bashiru ni msomi makini I admire the guy, hana nonsense kama za bavicha. Maana wengi hawa-reason
 
Kweli huyu Prof. nadhani analeta mashaka na huo Uprof. wake. Kasomea nini?? Au ni ule wa akina maji marefu? Anajikomba angalao Mwikulu amkumbuke kabla ya giza kuingia. Huenda akamweka nafasi ya Migiro. Bwana wanasema; Mgaa gaa na upwa... Prof. mzima unathubutu kusema ati Watz. tumekata tamaa kwa sababu tu ya kufukuzwa ZZK? We ni kichwa maji kabisa. Ubongoni mna tope tu.
Mbona wengine wamekufa wakiwa kazini, Serekali ilisimama? Kesho tutasikia waziri mpya wa fedha au sio? ZZK hana nafasi hata ya kuwa mwanachama tu CDM na tutaendelea na kwa taarifa yako; 2015 tutakuwa wapangaji wapya jengo lile la Magogoni.
Kweli kabisa; Ni mimba imetoka. Lakini si kwa matumaini ya Watanzania kama unavyotaka kutuaminisha. Kwa Maccm kama weye. Nawasilisha

mangatara elimu yako tafadhali! Au ndo standard seven kubishana na prof
 
Baadhi ya watu kama huyu ndio wanaofanya kauli za udini zitoke, hapo anamaanisha tamaa imekatwa kwa ajili ya zzk kuondolewa? Hivi mbona kafulila hakushabikiwa kiasi hiki! Tena basi yeye hatukuona taarifa zake zozote za kupewa mapesa na kuhongwa ili asaliti chama chake au akae kimya kwenye maswala ya madini kama huyu aliyezoa mapesa kwenye machimbo na serikalini? naanza kufikiri kuwa wengi wanaomshabikia zzt au ni udini ama wale washabiki wa chama tawala, kama zuberi angekuwa na dini ya kafulila usingeona wengi wakifoka na kutoa conculusion kama za huyu anayejiita mhadhiri wa chuo, nawasifu na kuwaheshimu waislam wanaosimamia kweli na haki daima. Haya ni mawazo yangu mimi

Hivi ni kwa nini utamaduni wa kuvumiliana kutofautiana unakuwa mgumu sana kwa wanachadema? Ni kweli mnafikili kwamba itatokea watu wote/wasomi wote wataunga mkono yanayotokea CDM?.

Pindi mtu akitofautiana na mawazo na mitazamo yenu basi elimu yake yote inakuwa haina maana ni kweli? Yani mtu anakosa credibility kwa sababu tu eti hakubaliani na mitazamo ya wanachadema! Kama hivo ndivo basi uongozi wa chuo uliompa dhima ya kufundisha nao ni wadini basi.
 
mangatara elimu yako tafadhali! Au ndo standard seven kubishana na prof

Martinde Nchembi,
Nakushangaa sana, weye unajua wa kumwuliza elimu yake?? Hapa weye ukisoma habari za huyu mdudu anayejiita Prof. ati Mimba ya Watz. imetoka premature!! Gosh! Niko wapi? Unajitokeza na kuniuliza elimu. Man, yu can be a Prof. but empty in the head. Kisomo hiki cha alifa, ba, te, mwalimu kavaa msurupwete. Hiyo siyo elimu tunayoihitaji man. Elimika uwaone wengine, elimika uwasaidie wengine, elimika uwathamini watu. Usiwaone ati ni wenye akili viza uwafumbie fumbie mafumbo.
Anataka kutuambia kuwa kwa kuwa ati ZZK kafukuzwa CDM Watanzania tujue kuwa sasa hakuna tena ukombozi. Tell him Shame on him.
Tumeshafunguka macho pamoja na hayo mamisukosuko mnayo tuletea ili kutuchanganya. Tutashinda HAKIKA.
 
Hivi ni kwa nini wafuasi wa Mbowe wanauchukia ukweli?

hapo ndipo mshangao wa wengi ulipo ndugu yangu! yaani wao ili wakuone wa maana inabidi uwasifie tu hata kwahoja za kijinga kama kutengeneza gongo!!!! pia ufanye kazi ya kumsifia tu mwenyekiti na katibu hata kwa mambo ya aibu katika jamii. mtu ana kesi mahakamani ya kuchukua mke wa mtu basi tusiseme wala kukosoa, kikomo cha uongozi kinaondolewa na mwanasheria anakuja majibu ya kiuwendawazimu kabisa, tusiseme. nina hofu kwamba kwa jinsi hali ilivyo watu kama huyu mleta mada wanaweza kuambiwa na mwenyekiti au katibu, ''inama kama unachuma mboga!'' kwa hakika watainama!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Wanachama,wafuasi &mashabiki wa CHADEMA wanapaswa kujifunza kuheshimu na kuvumilia hoja kinzani kwa sababu haiwezekani watu wote ndani na nje ya taasisi hiyo ya kisiasa kuwa na fikra,mawazo na mitazamo inayofanana.
Usibomoe mtu,badala yake,boma hoja.
 
Prof? Huyu mpuuzi hana hata PhD uprof kautoa wapi? For the record, alikuwa admitted kufanya PhD 2004 ila mpaka leo status yake ni no-PhD. Majuzi kapandishwa cheo kuwa lecturer thanks to his good religion na connections za kihaya kwa Mukandala maana kwa sheria mpya huwezi kupata u-lecturer bila PhD (zamani akina Wamba dia Wamba waliruhusiwa). KWa kifupi huyu jamaa ni kanjanja na kumfananisha na Haroub Othman ni kutukana watu bila sababu. KWanini asiisifu CCM inayom-promote to the highest level of incompetency? By the way mie sio CHADEMA wala CCM. Tofauti na wajinga wengi, nimejifunza kukataa ushabiki wa vyama wakati wanaokula ni akina Mbowe na Kikwete. Watanzania futeni tongotongo ndipo mtaendelea vinginevyo mtabaki ivyo mlivyo hoe hae au mtabaki na option moja aliyochukua Bashiru Ally ya kuwimbia mashairi watawala ili wampe vyeo asivyostaili. I am out!!!
hIZI ZINAWEZA KUWA CHUKI BINAFSI KWA BASHIRU....KANJANJA KWENYE NIN SASA?KWA SABABU HANA PhD?MI NAAMINI HATA WEWE UNAJUA KWAMBA NI MIONGON MWA WACHAMBUZI MAHIRI WA SAYANSI YA SIASA AMBAYE SI TU HUTAACHA KUMSKIA KWENYE HADHARA NYINGI ZA WANAZUONI HAPA NCHINI ILA HATA RADIO ZA NJE YA NCHI.....ZAIDI YA HAO pHD HOLDERS UNAOWAJUA.....DISCUSS ISSUES AND NOT PERSONS
 
Back
Top Bottom