Bashiru Ally: Vyama vya siasa Vya Maslahi

Bashiru Ally: Vyama vya siasa Vya Maslahi

naona umejitia upofu kwenye maelezo ambayo yapo straight forward. maneno haya haya ameyasema prof. beregu (VOA), Dr. Kitila na sasa Dr. Ally, bila kumsahau Mh. Zitto (uhafidhina vs democrasia). hao ni wasomi, sio waganga njaa kama wewe. na bado nasubiria mtu mmoja hapo. Prof. Safari.
kwa kifupi, huo ndo ukweli mweupi. siku zote unaweza kuficha mengi lakini yaukweli hujitenga in short time.

Mhadhiri wa Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam Bw. Bashiru Ally amesema upinzani hauongezeki nchini kwa sababu hakuna uwajibikaji ndani vyama na kwamba wananchi wamekata tamaa.
Amesema vyama vinaweza kuahidi katiba ndani ya siku 100 na wananchi wakakimbilia hayo matumaini hewa kumbe lengo lao na kuingia Ikulu.

Anaendelea kusema mgogoro wa Chadema umewakatisha tamaa wananchi kwani wapo watu waliowekeza nguvu,muda na fedha wakidhani wamepata chama Mbadala.Kwamba kilichotokea ni kama mimba imetoka.

Source: jamhuri jan.13-20,2014

My take:Huyu eti ni msomi.

Kinachomtia upofu ni udini au mapenzi ya uccm?
 
Mkuu, kwanza utambue kuwa suala la udini halojaelezwa na Bashiru Ali bali limewekwa kama swali na mleta uzi. Tatizo la wafuasi wengi wa bavicha wanakimbilia kuchangia badala ya kusoma na kuelewa kwanza.

Hata bila mchangiaji kujiuliza mimi binafsi nimeona na kufikiri hivyo ila huwa hampendi kuambiwa hivyo na wala sio kuwa eti bavicha wanakimbilia huko. Hata wewe moyoni mwako unajua ukweli ila unapindisha useme unayoyapenda wewe
 
Hivi hapo udini upo wapi kwani kilichotokea Chadema ni uongo mtu hakiwa Muislam akiwakosoa Chadema anaitwa mdini.

Akuu.
Ritz jiweke mbali na ishu za udini
 
Last edited by a moderator:
naona umejitia upofu kwenye maelezo ambayo yapo straight forward. maneno haya haya ameyasema prof. beregu (VOA), Dr. Kitila na sasa Dr. Ally, bila kumsahau Mh. Zitto (uhafidhina vs democrasia). hao ni wasomi, sio waganga njaa kama wewe. na bado nasubiria mtu mmoja hapo. Prof. Safari.
After all, ni wapi Dr. Ally amezungumzia suala la udini? au wewe ndo mdini kwa hisia zako za kidini na kila kitu unadinilize?
Badilka, otherwise utapata shida sana kuishi nchi hii kwa chuki zako za kipuuzi.
hiyo dini yenyewe umeletewa tu na hao waliokuletea hawana hata habari/time nayo.

Baadhi ya watu kama huyu ndio wanaofanya kauli za udini zitoke, hapo anamaanisha tamaa imekatwa kwa ajili ya zzk kuondolewa? Hivi mbona kafulila hakushabikiwa kiasi hiki! Tena basi yeye hatukuona taarifa zake zozote za kupewa mapesa na kuhongwa ili asaliti chama chake au akae kimya kwenye maswala ya madini kama huyu aliyezoa mapesa kwenye machimbo na serikalini? naanza kufikiri kuwa wengi wanaomshabikia zzt au ni udini ama wale washabiki wa chama tawala, kama zuberi angekuwa na dini ya kafulila usingeona wengi wakifoka na kutoa conculusion kama za huyu anayejiita mhadhiri wa chuo, nawasifu na kuwaheshimu waislam wanaosimamia kweli na haki daima. Haya ni mawazo yangu mimi
 
naona umejitia upofu kwenye maelezo ambayo yapo straight forward. maneno haya haya ameyasema prof. beregu (VOA), Dr. Kitila na sasa Dr. Ally, bila kumsahau Mh. Zitto (uhafidhina vs democrasia). hao ni wasomi, sio waganga njaa kama wewe. na bado nasubiria mtu mmoja hapo. Prof. Safari.
kwa kifupi, huo ndo ukweli mweupi. siku zote unaweza kuficha mengi lakini yaukweli hujitenga in short time.

Toka Dr.Kitila Mkumbo mwenye PHD ya kusomea akubali kupelekwa puta na Zitto kabwe mwenye Kadigrii Kamoja tena ambako hajawahi kukafanyia Kazi,nawaona Wasomi wa Tanzania kwa Jicho la Mashaka Makubwa.

Tusimsahau na Le Professeri Kapuya.

Namshauri huyu Bashiru Ally aende kumshauri J.K.aelewe kwa nini Tanzania ni Maskini.
 
Hata bila mchangiaji kujiuliza mimi binafsi nimeona na kufikiri hivyo ila huwa hampendi kuambiwa hivyo na wala sio kuwa eti bavicha wanakimbilia huko. Hata wewe moyoni mwako unajua ukweli ila unapindisha useme unayoyapenda wewe
Prof. beregu ameyasema hayo juzi akiongea na VOA, Dr. kitla aliyasema hayo-hakuna udini hapo. Amesema Dr. Ally maneno yaleyale hapo tayari udini. najua hata Prof. safari akiyasema hayahaya, utakuwa udini. na maneno hayahaya akiyarudia Prof. Mahigi hautakuwa udini.
Badilikeni jamani mnatia aibu kwa kweli.
 
Mkuu, unaweza kunieleza japo suala moja tu ambalo unadhani kuwa Bashiru amesema uongo? Au kwa vile mmesemangwa

Haya MACHADEMA chumbani yanatia aibu kabisa , Bashiru kasema ukweli mtupu
 
Huyu prof kila siku yeye ni kukosoa tu wala hatoi solution. Juzi nmeona channel ten akikosoa serikali tatu.
Kwenye kipindi chao cha 'je tutafika?'. Eti wanasema serikali 3 ni UBAGUZI. Na kumshushua mzee Warioba. Siwaelewi wasomi wetu siku hizi. Wamekaririshwa neno moja, MABEBERU

tragedy of the commons
 
Zubaa hapo hapo. Zitto ni PhD candidate huko Ujerumani. we unafikiri wanalingana na DJ au mini kabaang!? unachekesha.

Toka Dr.Kitila Mkumbo mwenye PHD ya kusomea akubali kupelekwa puta na Zitto kabwe mwenye Kadigrii Kamoja tena ambako hajawahi kukafanyia Kazi,nawaona Wasomi wa Tanzania kwa Jicho la Mashaka Makubwa.

Tusimsahau na Le Professeri Kapuya.

Namshauri huyu Bashiru Ally aende kumshauri J.K.aelewe kwa nini Tanzania ni Maskini.
 
Kama mtu hakupendezwa na na maoni ya mtu, dawa n8 kumpuuza au kutoyatia maanani hayo maneno. Lakini kumtusi mtu ni kosa. Hili Jamvi ni la kidemokrasi kila member ana haki ya kuleta fikra zake, ukipenda kuchangia basi ni vizuri bila matusi
 
Ni bora akashike chaki ache kubwabwaja tu siasa awachie wenyewe.
 
Zubaa hapo hapo. Zitto ni PhD candidate huko Ujerumani. we unafikiri wanalingana na DJ au mini kabaang!? unachekesha.
Ameifanyia wapi Kazi?Tunataka tuone manufaa yake kwa Jamii.Kama alishindwa kuelewa kwamba kumtoa Mwenyekiti aliyepo madarakani ni Ngumu kuliko kutembea juu ya Maji ana tofauti gani na Profesa Majimarefu?.Kwa Makampuni makini Zitto hawezi hata kutajwa kwenye Shortlist.
 
hawa ndio wale wasomi tumbo! amejidharirisha sana kwa kauli zake za kishabiki huyu mchumia tumbo!
 
Ishu kama zipi? Halafu naomba unifahamishe udini ni nini.

Udini ni pamoja na kuingiza mambo ya mahakama ya kadhi kwenye ilani ya uchaguzi..usini ni pamoja na ku create vyeo kupendelea wasiokuwa na sifa lakjbi kwa shinikizo la bakwata
 
Mhadhiri wa Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam Bw. Bashiru Ally amesema upinzani hauongezeki nchini kwa sababu hakuna uwajibikaji ndani vyama na kwamba wananchi wamekata tamaa.
Amesema vyama vinaweza kuahidi katiba ndani ya siku 100 na wananchi wakakimbilia hayo matumaini hewa kumbe lengo lao na kuingia Ikulu.

Anaendelea kusema mgogoro wa Chadema umewakatisha tamaa wananchi kwani wapo watu waliowekeza nguvu,muda na fedha wakidhani wamepata chama Mbadala.Kwamba kilichotokea ni kama mimba imetoka.

Source: jamhuri jan.13-20,2014

My take:Huyu eti ni msomi.

Kinachomtia upofu ni udini au mapenzi ya uccm?

Hivi kuna msomi anayeshindwa kutofautisha kauli hizi 'Tutawapatia katiba mpya ndani ya siku 100'' na "Tutaanza mchakato wa katiba mpya ndani ya siku 100' na akaendelea kukubalika kuwa ni msomi?

Halafu ni wananchi gani waliokatishwa tamaa na CHADEMA kusimamia nidhamu kupitia katiba yake? Aseme amekata tamaa yeye binafsi na maswahiba wake waliokiuka katiba kwa utovu wa nidhamu kisha wakaadhibiwa.Aache kuwatumia watanzania kufikisha ujumbe wake binafsi na kikundi cha watu wachache.Unafiki wawasomi nchi hii ni usaliti mkubwa kwa taifa
 
Back
Top Bottom