Bashiru Ally: Vyama vya siasa Vya Maslahi

Bashiru Ally: Vyama vya siasa Vya Maslahi

Mhadhiri wa Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam Bw. Bashiru Ally amesema upinzani hauongezeki nchini kwa sababu hakuna uwajibikaji ndani vyama na kwamba wananchi wamekata tamaa.
Amesema vyama vinaweza kuahidi katiba ndani ya siku 100 na wananchi wakakimbilia hayo matumaini hewa kumbe lengo lao na kuingia Ikulu.

Anaendelea kusema mgogoro wa Chadema umewakatisha tamaa wananchi kwani wapo watu waliowekeza nguvu,muda na fedha wakidhani wamepata chama Mbadala.Kwamba kilichotokea ni kama mimba imetoka.

Source: jamhuri jan.13-20,2014

My take:Huyu eti ni msomi.

Kinachomtia upofu ni udini au mapenzi ya uccm?
Wasomi wa siku hizi ni issue,unasikia fulani ni Dr ,tena wa political science,lakini uwezo wake wa kuchambua mambo ndio hivyo,tulitegemea kwa vile yeye ni kijana awe na upembuzi wa kiundani usio angalia ukada[BASHIRU NI KADA WA CCM TOKA PRIMARY SCHOOL HAPO KANAZI] inatakiwa aitendee haki taaluma yake na ujana wake awe na hoja zitakazo mtofautisha na Dr Bansen Bana
 
Hivi hapo udini upo wapi kwani kilichotokea Chadema ni uongo mtu hakiwa Muislam akiwakosoa Chadema anaitwa mdini.

Akuu.
Nafasi ya kumbakiza chuo kikuu alipendelewa na profesor Othman kwa sababu anazozijua huyo profesor
 
Hivi huwezi kujadiliana na mtu kistaarabu? Why unapenda kuwa tusi watu pasina msingi? Btw hii ni post tu ya mtu, how far unauhakika maneno yaliyo andikwa kwenye post aliyasema Bashiru? Punguza kukurupuka kijana.una bore.

FYI: kuna kufuata sheria,kanuni na katiba na ukashinda,lakini kumbuka siasa ni zaidi ya hivyo vitu. Chadema ni chama cha siasa,sio chombo cha kusimamia sheria...
1.Adrew chenge alishinda (kisheria) kesi ya mauaji, nani mtaani anaamini hakumpamia yule dada na kumsababishia kifo?
2.Zombe kashinda kesi ki sheria kuhus mauaji ya wachimba madini, nani mtaani ana muona zombe ni mtu mwema asiye na hatia?
3.Bungen wapunge wa ccm hupitisha mambo na kuwashinda wapinzani either kwa kutumia kanuni HALALI kabisa au wingi wao.Lakini je wananchi wanawaelewa? Wanafurahishwa?

siasa ni zaidi ya sheria,katiba,kanuni,etc....ni USHAWISHI!...chadema ni chama cha siasa kina anza kukosa huo ushawishi,kinapoteza mvuto wa kisiasa,hata kama hatua zilizo chukuliwa ni "sahihi" lakini ukweli huu pia wa kupoteza mvuto ni lazima usemwe.

NB: I caution you Ben Saanane wewe ndo msingi wa kuvurugika cdm,tokana na aina ya siasa unazofanya...kama kweli sio pandikizi la ccm,pls jaribu kubadilika uwe mtu mzima.Think mature,act wisely,..the demage u hv caused to the party has no repair,but water under the bridge. Grow up!

Maslahi yako yameguswa.Nitaacha kufanya siasa hizi unazotaka niache pale itakapotokea wewe na wasaliti wenzio mtakapoacha tabia yenu.Ingia kwa ile ID yako halisi akma mimi.Acha kutishia watu.Wewe unadhani maturity ni kuingia na ID fake JF kuchafua watu?

Eti siasa ni zaidi ya katiba na sheria?Kivipi? Siasa ni pamoja na katiba na Sheria.Nje ya hapo sio siasa bali ni vurugu na uhuni .Sijui hiyo mentality unaitoa wapi

Kama mimi ni msingi wa kuvurugika CHADEMA kwa kusema ukweli basi let me be!

Suala la uhakika wa kilichosemwa linanihusu nini?JF ni sehemu ya kujadili hoja iliyoletwa.Punguza hasira na mihemko.Huu ni muda unaotakiwa kutulia na kujitathmini

Kuhusu kutumiwa na CCM,tena bora unyamaze kabisa;

-Maana sio mimi niliyehongwa magari na Nimrod Mkono

-Sio mimi nilieandaa waraka wa mapinduzi

-Sio mimi niliewatukana viongozi na kusambaza tuhuma huku kwenye mitandao kuchafua watu kinyume na katiba ya chama.Ndio maana kumbe unasema siasa ni zaidi ya katiba na sheria? Mnaamini ushirikina kuliko katiba na sheria katika siasa?

-Sijawahi kutumika na CCM kukipakazia chama changu sakata la ugaidi na kutaka chama kimtose mkurugenzi wake wa ulinzi na usalama ili chama kifutwe

-Sijawahi kuwa na mawasiliano ya Siri na Naibu mkurugenzi wa TISS

Rejea kumbukumbu sahihi zilizopo kwenye maandishi.Acha utoto!
 
hapo ndipo mshangao wa wengi ulipo ndugu yangu! yaani wao ili wakuone wa maana inabidi uwasifie tu hata kwahoja za kijinga kama kutengeneza gongo!!!! pia ufanye kazi ya kumsifia tu mwenyekiti na katibu hata kwa mambo ya aibu katika jamii. mtu ana kesi mahakamani ya kuchukua mke wa mtu basi tusiseme wala kukosoa, kikomo cha uongozi kinaondolewa na mwanasheria anakuja majibu ya kiuwendawazimu kabisa, tusiseme. nina hofu kwamba kwa jinsi hali ilivyo watu kama huyu mleta mada wanaweza kuambiwa na mwenyekiti au katibu, ''inama kama unachuma mboga!'' kwa hakika watainama!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Lugha za kijinga kama hizi unatakiwa umwambie yule aliyesema "UKITAKA KULA LAZIMA ULIWE" na ndio maana nchi imemshinda ila siamini kila anapoenda nje ya nchi anaenda kula na kuliwa. Bila shaka wewe ni mtoto wa NYUMBA NTOBHU.
 
Ukiangalia kwa haraka haraka sifa kuu za kuwa mwenyekiti wa CHADEMA ni tatu tu!
1) kuwa mwanachama wa CHADEMA!
2) kufanya kazi BOT!
3) Kuwa mwanafamilia au mtu mwenye uhusiano wa kifamilia na familia ya mzee Mtei!

Hizi ni sifa ambazo wote waliowahi kuwa wenyeviti wa CHADEMA wanazo!!! Na wote tumeaminishwa hivi!

Je katiba ya chama Imeainisha ni sifa zipi mtu anapaswa awe nazo ili achaguliwe kuwa mwenyekiti na kama zipo ni sifa zipi hizo?!
 
Mhadhiri wa Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam Bw. Bashiru Ally amesema upinzani hauongezeki nchini kwa sababu hakuna uwajibikaji ndani vyama na kwamba wananchi wamekata tamaa.
Amesema vyama vinaweza kuahidi katiba ndani ya siku 100 na wananchi wakakimbilia hayo matumaini hewa kumbe lengo lao na kuingia Ikulu.

Anaendelea kusema mgogoro wa Chadema umewakatisha tamaa wananchi kwani wapo watu waliowekeza nguvu,muda na fedha wakidhani wamepata chama Mbadala.Kwamba kilichotokea ni kama mimba imetoka.

Source: jamhuri jan.13-20,2014

My take:Huyu eti ni msomi.

Kinachomtia upofu ni udini au mapenzi ya uccm?
HAKIKA WEWE NDO MDINI NA MNAFIKI. JE? KILICHOTOKEA CHADEMA NI MARA YA KWANZA? ILIKUWAJE CHACHA WANGWE ALIPOHOJI KUHUSU MATUMIZI YA RUZUKU YA CHAMA, je? WANGWE ALIKUWA MUISLAMU? UNAJUA KWA NINI KIPENGELE CHA UKOMO WA UONGOZI KILIONDOLEWA KINYEMELA KWENYE KATIBA??
 
Wewe kwa akili zako katiba ingeandikwa kwa siku 100?
 
Maslahi yako yameguswa.Nitaacha kufanya siasa hizi unazotaka niache pale itakapotokea wewe na wasaliti wenzio mtakapoacha tabia yenu.Ingia kwa ile ID yako halisi akma mimi.Acha kutishia watu.Wewe unadhani maturity ni kuingia na ID fake JF kuchafua watu?

Eti siasa ni zaidi ya katiba na sheria?Kivipi? Siasa ni pamoja na katiba na Sheria.Nje ya hapo sio siasa bali ni vurugu na uhuni .Sijui hiyo mentality unaitoa wapi

Kama mimi ni msingi wa kuvurugika CHADEMA kwa kusema ukweli basi let me be!

Suala la uhakika wa kilichosemwa linanihusu nini?JF ni sehemu ya kujadili hoja iliyoletwa.Punguza hasira na mihemko.Huu ni muda unaotakiwa kutulia na kujitathmini

Kuhusu kutumiwa na CCM,tena bora unyamaze kabisa;

-Maana sio mimi niliyehongwa magari na Nimrod Mkono

-Sio mimi nilieandaa waraka wa mapinduzi

-Sio mimi niliewatukana viongozi na kusambaza tuhuma huku kwenye mitandao kuchafua watu kinyume na katiba ya chama.Ndio maana kumbe unasema siasa ni zaidi ya katiba na sheria? Mnaamini ushirikina kuliko katiba na sheria katika siasa?

-Sijawahi kutumika na CCM kukipakazia chama changu sakata la ugaidi na kutaka chama kimtose mkurugenzi wake wa ulinzi na usalama ili chama kifutwe

-Sijawahi kuwa na mawasiliano ya Siri na Naibu mkurugenzi wa TISS

Rejea kumbukumbu sahihi zilizopo kwenye maandishi.Acha utoto!

Una maanisha kuwa FRINGE ni Kabwe? maana ndo tuhuma za siku zote
 
Kweli huyu Prof. nadhani analeta mashaka na huo Uprof. wake. Kasomea nini?? Au ni ule wa akina maji marefu? Anajikomba angalao Mwikulu amkumbuke kabla ya giza kuingia. Huenda akamweka nafasi ya Migiro. Bwana wanasema; Mgaa gaa na upwa... Prof. mzima unathubutu kusema ati Watz. tumekata tamaa kwa sababu tu ya kufukuzwa ZZK? We ni kichwa maji kabisa. Ubongoni mna tope tu.
Mbona wengine wamekufa wakiwa kazini, Serekali ilisimama? Kesho tutasikia waziri mpya wa fedha au sio? ZZK hana nafasi hata ya kuwa mwanachama tu CDM na tutaendelea na kwa taarifa yako; 2015 tutakuwa wapangaji wapya jengo lile la Magogoni.
Kweli kabisa; Ni mimba imetoka. Lakini si kwa matumaini ya Watanzania kama unavyotaka kutuaminisha. Kwa Maccm kama weye. Nawasilisha

Well said Mkuu,
Ndio tatizo la wasomi wetu wananunuliwa kiurahisi Na kwenda kinyume Na maadili Yao.

Sasa hapo huyu professor amechambua nini, Utumbo mtupu!

Na hiyo mimba ya Zito ni halali kutoka kwa sababu ni mimba haramu
 
wamekataa tamaa kww uongozi uliopo au kwa vyama pinzani?huyu bashiru si mweledi wa mambo lazima kutofautisha busara na elimu.
 
Kwa akili zako ulidhani ilisemekana kuwa Katiba itaandikwa kwa siku 100 au mchakato utaanza ndani ya siku 100?

Mzee wengine tunafuatilia kwa makini sana haya mambo, version ya kusema mchakato na sio katiba yenyewe ilikuja baada ya wenye akili zao ku-hoji... mkakuta heri ku-edit,

Mfano wa uongo wenu ni cement TZS 5000/-,Masanduku ya Kura Mbeya etc... kuhakikisha nyumbaz zote za majani za wananchi zinaelekwa mabati...

Lakini mimi mkuu silaumu sana maana nani mwenye experience ya kuongoza (taasisi) actively kwenye viongozi wa chama chako ni Mwenyekiti wenu tu? don't tell me as board member b'se board meet only 4 times a year.

Nipe mtu aliyoongaza taaisi kama Lowasa (AICC), Sita(TIC) etc... give me from you leaders... nikuamini munayosema! Mengi yenu mnasema tu mkipewa hamuwezi... mambo mengi yenu ni ya kufikirika tu kama vile mtoto anaposema nikiwa mkubwa nataka kuwa Dr, Engineer etc.
 
hIZI ZINAWEZA KUWA CHUKI BINAFSI KWA BASHIRU....KANJANJA KWENYE NIN SASA?KWA SABABU HANA PhD?MI NAAMINI HATA WEWE UNAJUA KWAMBA NI MIONGON MWA WACHAMBUZI MAHIRI WA SAYANSI YA SIASA AMBAYE SI TU HUTAACHA KUMSKIA KWENYE HADHARA NYINGI ZA WANAZUONI HAPA NCHINI ILA HATA RADIO ZA NJE YA NCHI.....ZAIDI YA HAO pHD HOLDERS UNAOWAJUA.....DISCUSS ISSUES AND NOT PERSONS

Siwezi kuwa na "chuki binafsi" kwa mtu niliyemzidi kila kitu maishani kuanzia elimu, cheo mpaka fedha. Na ni ujinga kumtukuza mtu kwasababu tu kwa mawazo yako ni mchambuzi mzuri eti kwa kuwa anahojiwa na Channel Ten au BBC. Anyone mwenye muda wa kupoteza anaweza kwenda huko. Lakini muulize pamoja na u-lecturer wa kupewa (narudia tena hastahili kuupata maana hana PhD) ameandika papers ngapi? Lini amepata consultancy binafsi bila kuwa kwenye migongo ya wengine. Jibu rahisi ni sifuri. Narudia tena, mimi sio CCM wala CHADEMA na kama yeye ni CCM ni sawa manake kama rational being lazima akumbatie bwana zake wanaomuweka hapa mjini. Ila kitu ambacho siwezi kuruhusu ni kumuita mtu Prof ambaye hastahili hata kuwa lecturer yaani vyeo vitatu chini ya uProf. Labda kama unazungumzia wale kama Maji marefu au PhD kama za akina Mary Nagu, Nchimbi na Makongoro Mahanga. Nyie pigeni siasa kwenye redio na mitandaoni lakini acheni wataalamu tuseme nani kanjanja na nani feki.
 
Mzee wengine tunafuatilia kwa makini sana haya mambo, version ya kusema mchakato na sio katiba yenyewe ilikuja baada ya wenye akili zao ku-hoji... mkakuta heri ku-edit,

Mfano wa uongo wenu ni cement TZS 5000/-,Masanduku ya Kura Mbeya etc... kuhakikisha nyumbaz zote za majani za wananchi zinaelekwa mabati...

Lakini mimi mkuu silaumu sana maana nani mwenye experience ya kuongoza (taasisi) actively kwenye viongozi wa chama chako ni Mwenyekiti wenu tu? don't tell me as board member b'se board meet only 4 times a year.

Nipe mtu aliyoongaza taaisi kama Lowasa (AICC), Sita(TIC) etc... give me from you leaders... nikuamini munayosema! Mengi yenu mnasema tu mkipewa hamuwezi... mambo mengi yenu ni ya kufikirika tu kama vile mtoto anaposema nikiwa mkubwa nataka kuwa Dr, Engineer etc.

Kasheshe,
We ni kasheshe kweli. Yaani kwa akili zako zilivyo dumazwa huoni huo ufisadi unaofanywa kwamba kama kodi ingelipwa kihalali mpaka hayo makampuni makubwa mnayo wapa hati ya kutunyonya kuwa wangelilipa kodi stahiki Tz tungeweza kuuza cement mfuko shs 5000/=?
Huoni kwamba tungeweza kuwa na elimu bure tangu bushi mpaka hata A level? Huoni kuwa tungeweza kuwa na Hospitali nzuri hata moja tu Tanzania ya kuwatibu viongozi wetu hata baada ya miaka 50 tukiwa huru? Uliisikia ile bajeti ya kununua uanja wa kuzikia viongozi Dodoma? Tunajali kuzika badala ya kujali kutengeneza/kuzalisha viongozi kwa mikopo ya kweli kwa vyuo vikuu?
Kasheshe, punguza mapenzi yako kwa hilo lichama. Limeshajifilia lenyewe. Ingia hata TCA. Ujichanganye akili kidogo uchanganye na za kwako.
 
Siamini kwamba Bashiru anaweza kuwa na upeo mdogo namna hii. Labda sio Bashiru ninayemjua kabisa.
Kwamba haelewi nini maana ya 100 days baada ya kuingia Ikulu? kwamba haelewi walichosea CHADEMA kuhusu katiba?

Kwamba ameshasahau kwamba CHADEMA walisema ndani ya 100 daya Mchakato wa katiba mpya utakuwa umeshaanza?
Kwani CCM walichofanya ni nini? ndani ya 100 daya tayari Kikwete alitanganza kwamba anaazisha mchakato wa katiba mpya.
Kama huyu ndio Bashiru, basi tumekwisha....Wasomi MAJALALA.
Amesema vyama vinaweza kuahidi katiba ndani ya siku 100 na wananchi wakakimbilia hayo matumaini hewa kumbe lengo lao na kuingia Ikulu.
 
Well said Mkuu,
Ndio tatizo la wasomi wetu wananunuliwa kiurahisi Na kwenda kinyume Na maadili Yao.

Sasa hapo huyu professor amechambua nini, Utumbo mtupu!

Na hiyo mimba ya Zito ni halali kutoka kwa sababu ni mimba haramu
Bashiru Professor?
Are you kidding or what?!
Bashiru kama Mzee Mwanakijiji tu....njaanjaa nyingi.
Mara CHADEMA, mara CCJ.
 
Kasheshe,
We ni kasheshe kweli. Yaani kwa akili zako zilivyo dumazwa huoni huo ufisadi unaofanywa kwamba kama kodi ingelipwa kihalali mpaka hayo makampuni makubwa mnayo wapa hati ya kutunyonya kuwa wangelilipa kodi stahiki Tz tungeweza kuuza cement mfuko shs 5000/=?
For sure utakuwa hujui biashara; hakuna namna yoyote Cement yaweza kuwa elfu 5. Viwanda vya mtu binafsi, usafiri wa watu binafsi etc... it is only a political/unreliastic person can think of this.!

Huoni kwamba tungeweza kuwa na elimu bure tangu bushi mpaka hata A level?
Hakuna kitu kinaitwa elimu bure au afya bure, ukisikia umepewa bure ujue umelipiwa na wengine na walipa kodi wengine... indeed umekuwa kama omba omba, mimi natamani chama kitakachoweka mazingira watu wajitafutie hela zao wenyewe na wasomeshe watoto wao wenyewe!.

Huoni kuwa tungeweza kuwa na Hospitali nzuri hata moja tu Tanzania ya kuwatibu viongozi wetu hata baada ya miaka 50 tukiwa huru? Uliisikia ile bajeti ya kununua uanja wa kuzikia viongozi Dodoma? Tunajali kuzika badala ya kujali kutengeneza/kuzalisha viongozi kwa mikopo ya kweli kwa vyuo vikuu?
How much are we talking up here!!! hao masuala ya pesa yanakupitia mbali ndugu yangu... naunga mkono kuwa na hospital zetu tena zuri sana... lakini najua twaweza kuwa tunatumia assume Bil. 8 kwa mwaka kwa matibabu nje... wanafunzi mikopo ni Zaidi ya Bil. 350 je kwa hesabu hiyo unaweza toa elimu bure?

Kasheshe, punguza mapenzi yako kwa hilo lichama. Limeshajifilia lenyewe. Ingia hata TCA. Ujichanganye akili kidogo uchanganye na za kwako.
Mungu amenijalia nimesoma na nasoma maandiko ya watu mpaka wale wanaofikiria tofauti na mimi.... ambacho sitafanya ni kufikiri sawa na mtu anafikiri one dimension.
 
Mzee wengine tunafuatilia kwa makini sana haya mambo, version ya kusema mchakato na sio katiba yenyewe ilikuja baada ya wenye akili zao ku-hoji... mkakuta heri ku-edit,

Mfano wa uongo wenu ni cement TZS 5000/-,Masanduku ya Kura Mbeya etc... kuhakikisha nyumbaz zote za majani za wananchi zinaelekwa mabati...

Lakini mimi mkuu silaumu sana maana nani mwenye experience ya kuongoza (taasisi) actively kwenye viongozi wa chama chako ni Mwenyekiti wenu tu? don't tell me as board member b'se board meet only 4 times a year.

Nipe mtu aliyoongaza taaisi kama Lowasa (AICC), Sita(TIC) etc... give me from you leaders... nikuamini munayosema! Mengi yenu mnasema tu mkipewa hamuwezi... mambo mengi yenu ni ya kufikirika tu kama vile mtoto anaposema nikiwa mkubwa nataka kuwa Dr, Engineer etc.

Umesahau kuwa hata hoja ya Elimu bure ni uongo kabisa haiwezekani(kwa mujibu wa chama chako).Leo Lowassa anaiunga mkono hoja hiyo ya ilani ya CHADEMA mwaka 2010

-Halafu unapojadili mtu kuongoza Taasisi ni lazima uonyeshe na mafanikio maana anybody can manage an institution.Ni lazima uonyeshe mafanikio na ushiriki wa Sitta na TIC kwenye ubinafsishaji holela.Ni lazima uonyeshe ufanisi wa msomi huyo wa Arts na Theatre Lowassa katika kuongoza AICC

-Maana kama ni watu wanaoongoza Taasisi tunao wengi tu tena kwenye kanda.Tunao viongozi wa kanda walioongoza mashirika makubwa

-Hiyo TIC waliokuja kuongoza akina Sitta imepita katika evolution mbalimbali.Na wapo makada wa CHADEMA waliopita huko

-Leo hii unabeza uwezo wa watu waliosimamisha biasahara na kuongoza makampuni makubwa kwa kulinganisha na watu waliokosa ubunifu walioongoza taasisi kama TIC kwa udhaifu mkubwa?Siasa zetu zinavyosonga mbele huko baadae itakua nadra sana kwa mtu fresh kutoka University kushawishi watu.Labda uwe mfanyabiashara mkubwa sana,uwe na experience ya kufanya kazi kwenye taasisi n.k.Huko ndiko walikofikia Marekani sasa hivi

-Kuna watu wengi wapo kwenye idara nyeti kabisa nchini wapo CHADEMA na wanafanya kazi kwa karibu na CHADEMA kuliko unavyofkiria.

Hakuna mwenye uwezo wa kuizuia CHADEMA sasa maana kwa sasa tuna 'pooling' of ideas kutoka kwa watu wa kada zote. Leo unatuletea habari za watu waliolifilisi taifa kwa ubinafsishaji holela na wengine kushindwa kusimamia hata mradi mmoja wa RICHMOND?
 
Umesahau kuwa hata hoja ya Elimu bure ni uongo kabisa haiwezekani(kwa mujibu wa chama chako).Leo Lowassa anaiunga mkono hoja hiyo ya ilani ya CHADEMA mwaka 2010

-Halafu unapojadili mtu kuongoza Taasisi ni lazima uonyeshe na mafanikio maana anybody can manage an institution.Ni lazima uonyeshe mafanikio na ushiriki wa Sitta na TIC kwenye ubinafsishaji holela.Ni lazima uonyeshe ufanisi wa msomi huyo wa Arts na Theatre Lowassa katika kuongoza AICC

-Maana kama ni watu wanaoongoza Taasisi tunao wengi tu tena kwenye kanda.Tunao viongozi wa kanda walioongoza mashirika makubwa

-Hiyo TIC waliokuja kuongoza akina Sitta imepita katika evolution mbalimbali.Na wapo makada wa CHADEMA waliopita huko

-Leo hii unabeza uwezo wa watu waliosimamisha biasahara na kuongoza makampuni makubwa kwa kulinganisha na watu waliokosa ubunifu walioongoza taasisi kama TIC kwa udhaifu mkubwa?Siasa zetu zinavyosonga mbele huko baadae itakua nadra sana kwa mtu fresh kutoka University kushawishi watu.Labda uwe mfanyabiashara mkubwa sana,uwe na experience ya kufanya kazi kwenye taasisi n.k.Huko ndiko walikofikia Marekani sasa hivi

-Kuna watu wengi wapo kwenye idara nyeti kabisa nchini wapo CHADEMA na wanafanya kazi kwa karibu na CHADEMA kuliko unavyofkiria.

Hakuna mwenye uwezo wa kuizuia CHADEMA sasa maana kwa sasa tuna 'pooling' of ideas kutoka kwa watu wa kada zote. Leo unatuletea habari za watu waliolifilisi taifa kwa ubinafsishaji holela na wengine kushindwa kusimamia hata mradi mmoja wa RICHMOND?[/QUOTE] Mkuu Ben, Kama huyu Kasheshe anatumia akili kwa uhuru bila shaka ameelewa .Lakini wasiwasi nilionao ni kwamba mtu huyu anawaza na kufikiri kwa hisani ya Mwigulu Mchemba.

Back
Top Bottom