Paul Alex
JF-Expert Member
- Jul 14, 2012
- 4,240
- 9,527
Nimemsikiliza Bashe ambaye ni Naibu Waziri wa Kilimo akielezea food security, well, amechemka sana!
Dhana ya food security haiko tu katika individual economic ability to purchase basic food stuffs kama alivyoielezea Bashe.
Food security imekuwa karibu na definitions 200 na zote zinabeba yafuatayo:
1. Physical, socia and economic ability to access and purchase basic food stuffs.
2. Availability of those basic food stuffs.
3. Ability to meet expanding food needs and offsetting fluctuations in production and prices.
Mpaka hapo nadhani atapata shule kidogo.
Pili, kumfananisha mkulima na mfanyabiashara ni kukosea sana. Kilimo ni sekta inayopewa ruzuku sana na serikali. Umewahi kusikia mfanyabiashara akipewa ruzuku?
Unadhani ni kwanini ruzuku nyingi kutoka serikalini zinaenda kwenye kilimo?
Bashe yuko very confident but his understanding of issues is erratic at best!