Bashe umekosea kwenye Food Security!

Bashe umekosea kwenye Food Security!

Nyie ndio mlitufikisha hapa na mawazo yenu duni... In fact Tzeba was the worst Minister of Agriculture ever! Food Security kwako wewe ni mahindi ghalani, pengine yasiyo na thamani hata kusolve mahitaji ya msingi ya mkulima kitu ambacho bashe anakipinga... Mahindi ni zao la chakula at the same time ni biashara kubwa.... Using cheap thinking una institute export ban at kwa kisingizio cha usalama wa chakula at the expense ya mkulima ambaye hukumsaidia chochote wakati analima ni ushamba wa karne
We have the potential ya kuwa top exporter katika ukanda huu tukiwa na majirani wenye deficit kila mwaka.. We should see tbat as the business opportunity.. All we think ni kuweka mahindi ghalani for what??
The only true definition ya Food Security ni pesa mfukoni sina shamba hata ekari moja kwenye fridge langu kuna kila kitu, farmers should be empowered the same... Mahindi wanayolima yawawezeshe kujenga na ku solve matatizo yao msingi...
NFRA should ensure tuna mahindi ya kutosha, wawe na capacity ya kununua stock ya kutosha kulisha nchi in times of shortage.. Lakini mkulima aachwe huru kuuuza kununua anavyotaka
Serikali inapaswa kuwa mstari wa mbele kuwatafutia masoko ya mahindi wakulima zipo nchi kama China wako tayari kununua mahindi na mkulima akauza kwa kg badala ya lumbesa.... Only serikali inapaswa kuanzisha mchakato... Mzee Sumri aliuza mabasi afanye kilimo cha mahindi alichokumbana nacho ni balaa la Tzeba 2 yrs export ban... Mwisho wa siku gunia lilifika elf 18...
Go Bashe............

Nimemsikiliza Bashe- Naibu waziri kilimo akielezea food security, well, amechemka sana!
Dhana ya food security haiko tu katika individual economic ability to purchase basic food stuffs kama alivyoielezea Bashe.

Food security imekuwa karibu na definitions 200 na zote zinabeba yafuatayo;
1.Physical, socia and economic ability to access and purchase basic food stuffs.
2.Availability of those basic food stuffs.
3.Ability to meet expanding food needs and offsetting fluctuations in production and prices.

Mpaka hapo nadhani atapata shule kidogo.
Pili, kumfananisha mkulima na mfanyabiashara ni kukosea sana.
Kilimo ni sekta inayopewa ruzuku sana na serikali. Umewahi kusikia mfanyabiashara akipewa ruzuku?
Unadhani ni kwanini ruzuku nyingi kutoka serikalini zinaenda kwenye kilimo?

Bashe yuko very confident but his understanding of issues is erratic at best!
 
Nyie ndio mlitufikisha hapa na mawazo yenu duni... In fact Tzeba was the worst Minister of Agriculture ever! Food Security kwako wewe ni mahindi ghalani, pengine yasiyo na thamani hata kusolve mahitaji ya msingi ya mkulima kitu ambacho bashe anakipinga... Mahindi ni zao la chakula at the same time ni biashara kubwa.... Using cheap thinking una institute export ban at kwa kisingizio cha usalama wa chakula at the expense ya mkulima ambaye hukumsaidia chochote wakati analima ni ushamba wa karne
We have the potential ya kuwa top exporter katika ukanda huu tukiwa na majirani wenye deficit kila mwaka.. We should see tbat as the business opportunity.. All we think ni kuweka mahindi ghalani for what??
The only true definition ya Food Security ni pesa mfukoni sina shamba hata ekari moja kwenye fridge langu kuna kila kitu, farmers should be empowered the same... Mahindi wanayolima yawawezeshe kujenga na ku solve matatizo yao msingi...
NFRA should ensure tuna mahindi ya kutosha, wawe na capacity ya kununua stock ya kutosha kulisha nchi in times of shortage.. Lakini mkulima aachwe huru kuuuza kununua anavyotaka
Serikali inapaswa kuwa mstari wa mbele kuwatafutia masoko ya mahindi wakulima zipo nchi kama China wako tayari kununua mahindi na mkulima akauza kwa kg badala ya lumbesa.... Only serikali inapaswa kuanzisha mchakato... Mzee Sumri aliuza mabasi afanye kilimo cha mahindi alichokumbana nacho ni balaa la Tzeba 2 yrs export ban... Mwisho wa siku gunia lilifika elf 18...
Go Bashe............
Nilitamaani nikujibu mimi ila JOHNKEKE hapo juu amekujibu!
Nachoweza kuongezea tu kwenye jibu lake ni kuwa wewe sio authority kwenye uwanja huu hivyo definition yako inabaki yakwako tu na kwa matumizi yako binafsi.
 
Nyie ndio mlitufikisha hapa na mawazo yenu duni... In fact Tzeba was the worst Minister of Agriculture ever! Food Security kwako wewe ni mahindi ghalani, pengine yasiyo na thamani hata kusolve mahitaji ya msingi ya mkulima kitu ambacho bashe anakipinga... Mahindi ni zao la chakula at the same time ni biashara kubwa.... Using cheap thinking una institute export ban at kwa kisingizio cha usalama wa chakula at the expense ya mkulima ambaye hukumsaidia chochote wakati analima ni ushamba wa karne
We have the potential ya kuwa top exporter katika ukanda huu tukiwa na majirani wenye deficit kila mwaka.. We should see tbat as the business opportunity.. All we think ni kuweka mahindi ghalani for what??
The only true definition ya Food Security ni pesa mfukoni sina shamba hata ekari moja kwenye fridge langu kuna kila kitu, farmers should be empowered the same... Mahindi wanayolima yawawezeshe kujenga na ku solve matatizo yao msingi...
NFRA should ensure tuna mahindi ya kutosha, wawe na capacity ya kununua stock ya kutosha kulisha nchi in times of shortage.. Lakini mkulima aachwe huru kuuuza kununua anavyotaka
Serikali inapaswa kuwa mstari wa mbele kuwatafutia masoko ya mahindi wakulima zipo nchi kama China wako tayari kununua mahindi na mkulima akauza kwa kg badala ya lumbesa.... Only serikali inapaswa kuanzisha mchakato... Mzee Sumri aliuza mabasi afanye kilimo cha mahindi alichokumbana nacho ni balaa la Tzeba 2 yrs export ban... Mwisho wa siku gunia lilifika elf 18...
Go Bashe............
Tanzania haina wasomi wazuri! Hivi bado wasomi wetu wanashindwa jua kuwa kilimo ni biashara? Eti mkulima alime mahindi halafu azuiwe kuuza nje? Kisa? Eti kuepusha njaa? What a no sense! Huwezi epusha njaa kwa kumgandamiza mkulima.

Nakusupport 100%. Food security ni pesa mfukoni! Wakulima wawe empowered! Yes.Serikali kupitia nfra wanunue mazao kwa ajili ya reserve in case Kama upungufu ukitokea.

Wasomi wetu njaa njaa hawataki mkulima atajirike! Wao wanahisi kilimo ndio kazi ya kijinga!
Hivi kuna nchi iliyoendelea inayozuia wakulima wao wasiuze nje mazao?

Bashe kaiona njia!
 
Dogo ni overrated sana!

We will see!

New Habari ilimshinda!

Pia biashara anayojitapa nayo eti anaijua sana,naona hana kitu alishafanya cha maana humo,case in point New Habari!
Kufuga kwenyewe pale Bagamoyo mapinga ameshindwa.
 
Bashe yupo sahihi. mkulima anategemea kilimo chake kujenga, kusomesha , matibabu etc. Hivyo ana haki ya kupata faida kwenye kazi yake. Na tukitaka uwekezaji kwenye kilimo uongezeke na kilimo kiwe ajira lazima tukiendeshe kibiashara. kutakuwa na ongezeko na upungufu kwa muda lakini baadaye uzalishaji utakuwa sana. Katika mawaziri wote wa kilimo naona Bashe ndiye anataka kuleta mabadiliko ya kweli.
Ndio.Njia pekee ya kumwokoa mkulima no kumtafutia solo LA uhakika na LA bei nzuri ya mazao.mambo mengine tote hufuata baadae
 
Maneno mazuri ni rahisi kusema lakini matendo yanahitaji ujasiri na busara,muda haudanganyi
Dogo ni overrated sana!

We will see!

New Habari ilimshinda!

Pia biashara anayojitapa nayo eti anaijua sana,naona hana kitu alishafanya cha maana humo,case in point New Habari!
 
Kufuga kwenyewe pale Bagamoyo mapinga ameshindwa.

Dogo anaongea sana...

As if anajua sana na ni mtendaji sana...kote huko kwenye field tunaona hakuna kitu!

Labda tusubiri tuone hapo alipopewa atafanyaje!

Lets wait and see!
 
Nimemsikiliza Bashe ambaye ni Naibu Waziri wa Kilimo akielezea food security, well, amechemka sana!

Dhana ya food security haiko tu katika individual economic ability to purchase basic food stuffs kama alivyoielezea Bashe.

Food security imekuwa karibu na definitions 200 na zote zinabeba yafuatayo:

1. Physical, socia and economic ability to access and purchase basic food stuffs.

2. Availability of those basic food stuffs.

3. Ability to meet expanding food needs and offsetting fluctuations in production and prices.

Mpaka hapo nadhani atapata shule kidogo.

Pili, kumfananisha mkulima na mfanyabiashara ni kukosea sana. Kilimo ni sekta inayopewa ruzuku sana na serikali. Umewahi kusikia mfanyabiashara akipewa ruzuku?

Unadhani ni kwanini ruzuku nyingi kutoka serikalini zinaenda kwenye kilimo?

Bashe yuko very confident but his understanding of issues is erratic at best!
Mfanya biashara pia hupeaa ruzuku mkuu. Rejea Precision Air na pia makampuni ya kununua Pamba enzi za awamu ya Nne.
 
Kimsingi hili uliloandika hapa ndicho nilichokua nawaambia jamaa zangu. Ukweli amechemka.
Nimemsikiliza Bashe ambaye ni Naibu Waziri wa Kilimo akielezea food security, well, amechemka sana!

Dhana ya food security haiko tu katika individual economic ability to purchase basic food stuffs kama alivyoielezea Bashe.

Food security imekuwa karibu na definitions 200 na zote zinabeba yafuatayo:

1. Physical, socia and economic ability to access and purchase basic food stuffs.

2. Availability of those basic food stuffs.

3. Ability to meet expanding food needs and offsetting fluctuations in production and prices.

Mpaka hapo nadhani atapata shule kidogo.

Pili, kumfananisha mkulima na mfanyabiashara ni kukosea sana. Kilimo ni sekta inayopewa ruzuku sana na serikali. Umewahi kusikia mfanyabiashara akipewa ruzuku?

Unadhani ni kwanini ruzuku nyingi kutoka serikalini zinaenda kwenye kilimo?

Bashe yuko very confident but his understanding of issues is erratic at best!
 
Nimemsikiliza Bashe ambaye ni Naibu Waziri wa Kilimo akielezea food security, well, amechemka sana!

Dhana ya food security haiko tu katika individual economic ability to purchase basic food stuffs kama alivyoielezea Bashe.

Food security imekuwa karibu na definitions 200 na zote zinabeba yafuatayo:

1. Physical, socia and economic ability to access and purchase basic food stuffs.

2. Availability of those basic food stuffs.

3. Ability to meet expanding food needs and offsetting fluctuations in production and prices.

Mpaka hapo nadhani atapata shule kidogo.

Pili, kumfananisha mkulima na mfanyabiashara ni kukosea sana. Kilimo ni sekta inayopewa ruzuku sana na serikali. Umewahi kusikia mfanyabiashara akipewa ruzuku?

Unadhani ni kwanini ruzuku nyingi kutoka serikalini zinaenda kwenye kilimo?

Bashe yuko very confident but his understanding of issues is erratic at best!
Yawezekana hayo ndo aliyopata kwenye Internet. He is not a scientist nor somehow of profession close to food or agriculture. That ministry is not a flip flop one would just put on and move forward.

Mwambieni ajipange. Jeuri ya kupewa dakika 10 za bunge na kuanza kuchangia bila criticism hana tena.Asipokomaza akili kabla ya uchaguzi atakuwa kama hao wenzake waliojidai kuwa ni best kumbe.....
 
This country is full of fools hivi mlisoma wapi nyie wasomi wa simbi za sua, tuliwanyima mahindi kenya two yrs umesikia kuna njaa kenya? Meli moja tu and they were ok,.... Food Security kwenu nyie ni vihenge sio?? Karne hii mtu unawaza mahindi?? Naah!
Mfugaji hapangiwi kutouza maziwa yake, au wanyama wake! Mfanyakazi hapangiwi matumizi ya mshahara wake?? Only baba yako mkulima asiyejua anachokifanya ndio amekuwa definition of food security.....mahindi yake ni nyara za serikali... That is some cheap politics.....! Shame on you wasomi wa kilimo nchi hii...
Yawezekana hayo ndo aliyopata kwenye Internet. He is not a scientist nor somehow of profession close to food or agriculture. That ministry is not a flip flop one would just put on and move forward.

Mwambieni ajipange. Jeuri ya kupewa dakika 10 za bunge na kuanza kuchangia bila criticism hana tena.Asipokomaza akili kabla ya uchaguzi atakuwa kama hao wenzake waliojidai kuwa ni best kumbe.....
 
Mkuu Paul Alex!...

Bandiko lako hili limenishawishi kuamini kuwa wewe una ufahamu mkubwa kwenye sekta ya kilimo ambayo kimsingi haiachani mbali sana na biashara pamoja na kwamba hakijawahi kufanya vizuri kiasi cha kulinufaisha nchi hii, achilia mbali wakulima wenyewe. Bashe ametoa mchango wake na kwa bahati nzuri yuko kwenye nafasi ya kutekeleza nadharia zote kwa vitendo mahali ambapo kuna uhitaji.....

Naamini kuwa palipo na Tafsiri na nadharia 200 ambazo wewe unazifahamu vizuri, yeye akitaja moja ni wajibu wako kama msomi umuongezee zile ambazo hakuzitaja ili aone umuhimu wa kuziweka maanani !!... Taifa hili linahitaji wasomi kama wewe watumie usomi wao kufanya mabadiliko yenye tija hasa kwenye kilimo ambacho ndio nguzo ya taifa hili....

kumbeza mtu kwenye hoja yake wakati wewe hoja yako hujaiwasilisha kwake rasmi ili ijadiliwe, inabaki kuwa hadithi tu zisizotusaidia kitaifa.
Hawa ni wasomi wa JF kazi kukosoa wenzao mpaka walimu wao waliowafundisha. Wamefikia hata kukiponda chuo walichomipitia. Tatizo hapa mtoa uzi si kweli kama anamponda Badhe bali alipenda Bashe abaki Bungeni kuisakama serikali ili wapumye wao kwa ukwasi waliowekewa na Jiwe.

Hapa JF wasomi wengi ni wsle uchwara wapo kama wapinzani wa Tanzania kazi kupinga mwaka mzima ikifika kuweka budget kivuli wanapeleka pumba.

Hii nchi wacha tusipate katiba mpya ili populist watuwrke sawa kwa katiba hii mpaka tunyooke ndipo tuipate mpya. Juzi Bashe alisifiwa hapa na hawahawa akiwa mmosoaji wa serikali leo wameanza kumkosoa.
Nape alipokua waziri walimtukana leo amekua kipenzi chao hawa ndiyo wasomi wa JF.
 
Mimi nimefurahi kapewa hiyo nafasi baada ya kuwa mstari wa mbele katika kuukosoa utawala wa Magufuli.

Nina shauku kubwa ya kuona atachokifanya sasa baada ya kuchonga sana [ingawa kusema ukweli sitarajii lolote lile lililo jipya au lililo tofauti].
Unamuonea Bashe pekee yake aliyekua anakosoa na kushauri. Sasa hao wengine kazi ilikua kukosoa nabkutukana. Ngosha ulitaka awe anasema ndiyo mzee hata kama kuna walaki ati sababu yeye ni ccm? Halafu ninyi na Bashe yupi mkoseaji ninyi ambao mnamkosoa baada ya wiki mbili kuteuliwa na hamujaona hata matokeo ya kazi yake?
 
Kwa sasa hivi toka amekuwa naibu Waziri, kwenu ninyi kila kitu ataonekana kachemka tu.
Hawa watu ni balaa. Leo kibajaji akianza kuikosoa serikali atasifiwa sana hapa na watapenda ahamie upinzani
 
Hawa ni wasomi wa JF kazi kukosoa wenzao mpaka walimu wao waliowafundisha. Wamefikia hata kukiponda chuo walichomipitia. Tatizo hapa mtoa uzi si kweli kama anamponda Badhe bali alipenda Bashe abaki Bungeni kuisakama serikali ili wapumye wao kwa ukwasi waliowekewa na Jiwe.

Hapa JF wasomi wengi ni wsle uchwara wapo kama wapinzani wa Tanzania kazi kupinga mwaka mzima ikifika kuweka budget kivuli wanapeleka pumba.

Hii nchi wacha tusipate katiba mpya ili populist watuwrke sawa kwa katiba hii mpaka tunyooke ndipo tuipate mpya. Juzi Bashe alisifiwa hapa na hawahawa akiwa mmosoaji wa serikali leo wameanza kumkosoa.
Nape alipokua waziri walimtukana leo amekua kipenzi chao hawa ndiyo wasomi wa JF.
Kabudi aliungwa mkono enzi za mchakato wa katiba mpya Leo ni adui namba moja.

Bashiru aliungwa mkono miaka ya nyuma Leo ni adui wa akili zao.

Membe alikuwa adui Yao enzi za kampeni za 2015, leo wanampigia debe awe rais.

JF imejaa wasomi wanafiki. Ni aibu ya taifa.
 
Unamuonea Bashe pekee yake aliyekua anakosoa na kushauri. Sasa hao wengine kazi ilikua kukosoa nabkutukana. Ngosha ulitaka awe anasema ndiyo mzee hata kama kuna walaki ati sababu yeye ni ccm? Halafu ninyi na Bashe yupi mkoseaji ninyi ambao mnamkosoa baada ya wiki mbili kuteuliwa na hamujaona hata matokeo ya kazi yake?
Wanataka kuona wakulima wakivaa nguo zenye viraka wakati na wao ni raia wa Tanzania.

Wanaendeleza wrong status quo. Kinacholimwa ni jasho la mkulima na hakipaswi kuingiliwa na mlolongo wa Madalali na ujanja wao.
 
Tatizo lake Bashe anafikiria mambo kwa mtazamo wa kibiashara and limited to understanding other economic factors.

Nchi ambayo ina GDP ya just above $1000 per capita (much of that is due to government expenditures) in addition to the fact wealth is not distributed equally kuna familia nyingi sana ambazo zinaishi kwa $1-$2 kwa siku ambao annual expenditure yao ni $300-$600 kwa mwaka.

Kutokana na low purchasing power ya jamii yetu serikari ikisema iache ku control volume ya chakula Tanzania especially vile vinavyotegemewa na watu wenye kipato cha chini a measure which helps maintaining low prices due to large supply.

Kesho uamke asubuhi useme wakulima tafuteni masoko wenyewe hata ya nje kitakachofuata mkulima atafaidika na bei nzuri kutoka kwa wanunuzi wa nje na wa ndani ambao wote watalazimika kununua kwa bei za soko la ushindani.

Sasa kama unauza bidhaa yenyewe kwenye nchi ambayo GDP yake ni kubwa au hata kwa majirani zetu ambapo walaji awawezi ona tofauti iwapo washazoea kununua kwa bei za soko la huria.

Tatizo lipo kwa mlaji wa Tanzania bei za soko kama kubwa kwao na bidhaa pia zinapanda bei watu wenyewe ndio sie tunaoishi kwa $1-$2 kinachofuata with price hike ni watu kupunguza volumes za manunuzi sio kwa kupenda bali uwezo, na kama ikitokea bei ikapanda zaidi itafikia hatua hata wafanyabiashara wa ndani watapunguza kununua kwa malengo ya kuuza ndani kwa sababu watanzania wengi watajikuta hawana uwezo wa kumudu bei ata kama bado awakidhi mahitaji yao.

Market economy is good lakini si swala la kuelewa concept tu inahitaji na creativity ya kuweka mambo kutokana mazingira yako kwa upande wa serikari.

Nchi zilizoendelea wanaweza afford kuacha soko huria kwa sababu bei za vyakula bado chini kwa level za GDP zao na kuna mabara yana average za $25000 wakati Tanzania ndio kwanza $1000.

Pamoja na kwamba serikari inawajibu wa kulinda watu wake but also you can’t dismiss the fact the current scenario is not ideal kwa mkulima wa Tanzania maana control ya kuuza inaonekana kuleta too much surplus ambayo inashusha bei mno unnecessarily wakati kuna watu wanaweza nunua kwa bei nzuri just out of the border.

Wachumi wanahitaji kukaa na kuja na solution yenye kulinda walaji wa ndani kutokana na low purchasing power na kuangalia namna sahihi ya kuhakikisha maslahi yamkulima yanaboreshwa, hila kuachia soko huru kwa kukurupuka ni recipe for disaster kwa walaji wa ndani.
 
Back
Top Bottom