Mradi wa BBT ulikuwa umelenga kuwatajirisha wanasiasa na sio kusaidia vijana

Mradi wa BBT ulikuwa umelenga kuwatajirisha wanasiasa na sio kusaidia vijana

Wasomali huwainua vijana?

Huu mradi ulikuwa na walakini, nakumbuka tuliomba zaidi ya vijana mia tunaofahamiana lakini hakupita hata mmoja kati yetu, inawezekanaje?
Baadhi ya waliofanikiwa walikuwa na mtu jikoni aliye wafanyia mpango.
Mambo ya connection, huna network nzuri huwezi kuwa connected.
Nalijua hili sababu nimebahatika kuwafahamu wachache waliopata nafasi na namna walivyo pata.
 
Hivi vyeo vikubwa wapewe wazawa wenye uchungu na nchi.
Wizara ya kilimo ni wizara nyeti sana.
Dogo kwa sababu hana uchungu na nchi aliwapa kampuni za simu kuagiza bidhaa za kilimo (sukari) we wadhani angekua mpare au mgogo angefanya hivyo?
 
Back
Top Bottom