Linamo
JF-Expert Member
- Jan 12, 2011
- 9,976
- 24,494
Muda mfupi Bashe ametoka kuhojiwa hapa azam TV akiwa viwanja vya ofisi ya ccm Dodoma kuhusu kushikiliwa kwake. Amesema majibu yote kuhusu yeye na wenzake atayatoa Katibu Mkuu wa CCM Kinana.
Wakuu,
Nimepata kusikia audio Musukuma akihojiwa kuhusu taarifa zilizosambaa jana kuwa yeye na wengine niliowataja kwenye title hapo kuwa wamefukuzwa uanachama.
Nimejaribu ku share iyo audio but imeshindikana kuja. Nitanukuu maneno ya Musukuma
"Uongo Mtupu, wameandika mimi na Bashe na malima tumefukuzwa uanachama, hapa nilipo nimepiga kijani na mi ni mwanachama na kesho watazungumza, itaonyeshwa live. Ni maneno tu ya propaganda. "