Bashe na Msukuma wakanusha kufukuzwa CCM

Bashe na Msukuma wakanusha kufukuzwa CCM

f24bce6a7b0f08ea43009f4104d1eb5a.jpg
4343ac5db86a040515e08d2bae82a0b2.jpg
2f3e60435177fe921fcf205811cd1f62.jpg
238dca7eb89580508d01dba054efaaf3.jpg
 
Kwa hiyo keshanyenyekea! Ila huyu jamaa hata wasipomfukuza kama ilivyodhaniwa jana wataendelea kuwa na wasiwasi na loyalty yake kwa chama. this guy is a great and indipendent thinker!
 
si rahis ABSHE KUVULIWA U CCM
 
Hata Mama Sophia ilikuwa hivi hivi kukata kobe shingo inahitajika timingi.

Na washawasha!
 
Mtukufu M/kiti aachwe agombee mwenyewe. mtukufu hatakiwi kushindana na makanjanja. tena Mtukufu akimaliza kwenye lichama lake atahamia kwenye likatiba la Injii ili nako akawaige akina Nkurunzinza na M7
 
Sema badala ya kujenga chama huyu mzee anatengeneza makundi mapya kabisa.

Na watakuja kustuka tayari its too late

Ila poa adui muombee njaa

Hakuna makundi ila wasaliti wanafukuzwa na kama bado wanataka siasa waende chadema au waunde chama chao.
 
CCM wamekua waoga kama kunguru

Hakuna chama chenye viongozi waoga kama CHADEMA. Yako matukio mengi yanayothibitisha kauli yangu hiyo, lakini ya hivi karibuni ni ya M/kiti wake kukimbilia mahakamani kuomba kinga ya kutokukamatwa au kuwekwa kizuizini, badala ya kupambana na aliyemtuhumu njia zilizo sahihi.

CCM inavifundisha vyama vingine, siasa za kistaarabu na kumchukulia hatua mwanachama yeyote anayekiuka taratibu na kanuni za chama, km waliotemwa jana, bila kujali umaarufu wake.
 
Wakuu,

Nimepata kusikia audio Musukuma akihojiwa kuhusu taarifa zilizosambaa jana kuwa yeye na wengine niliowataja kwenye title hapo kuwa wamefukuzwa uanachama.

Nimejaribu ku share iyo audio but imeshindikana kuja. Nitanukuu maneno ya Musukuma

"Uongo Mtupu, wameandika mimi na Bashe na malima tumefukuzwa uanachama, hapa nilipo nimepiga kijani na mi ni mwanachama na kesho watazungumza, itaonyeshwa live. Ni maneno tu ya propaganda. "
Achunge ulimi wake....
 
Hakuna chama chenye viongozi waoga kama CHADEMA. Yako matukio mengi yanayothibitisha kauli yangu hiyo, lakini ya hivi karibuni ni ya M/kiti wake kukimbilia mahakamani kuomba kinga ya kutokukamatwa au kuwekwa kizuizini, badala ya kupambana na aliyemtuhumu njia zilizo sahihi.

CCM inavifundisha vyama vingine, siasa za kistaarabu na kumchukulia hatua mwanachama yeyote anayekiuka taratibu na kanuni za chama, km waliotemwa jana, bila kujali umaarufu wake.
CCM ni wastaarabu wamepangika kwa kweli
 
Back
Top Bottom