Bashe na Msukuma wakanusha kufukuzwa CCM

Bashe na Msukuma wakanusha kufukuzwa CCM

Katika ulimwengu huu wa siasa na utandawazi vyama lazma vibadilike kimtazamo na kimfumo ili kuweza kuendana na nyakati hizi za utandawazi

Hii kwa chama makini ni hatua muhimi sana na kwa wakati sahihi yaan ccm wnajipanga 2020 uchaguzi kabla hata wengine hajawaamka
Manake muda huu watakutana na mengi lakin muda unavyokwend watayamudu yote

Reformation
 
Back
Top Bottom