Bashe na Msukuma wakanusha kufukuzwa CCM

Bashe na Msukuma wakanusha kufukuzwa CCM

Wewe uliyepost ni mpotoshaji, nimemwona akihojiwa na alichokisema meno kwa meno. Sitayarudia aliyoyasema lakini kwa watakaoangalia replay baadae wataelewa upotoshaji wako uko wapi. Kuongeza maneno maneno huwa kunawasaidiaje?
 
Siku zote ukiwa mwoga wa jambo fulani ni dhahiri kwamba juna mahali ulifanya mambo kinyume na utaratibu, iweje leo ccm wanamwogopa lowasa kama simba wakati wao ndo wamemlea?
 
naona CCM stress zenu mnaziamishia chadema

Zidumu fikra za mtukufu mwenyekiti.
Mwenyekiti wa chama Mdebwedo? yaani chama ambacho hata ukikohoa kikaoni unahojiwa we! kwa nini unakohoa wakati mwenyekiti anazungumza? lazima ujibu ccm oyee!
 
Wewe uliyepost ni mpotoshaji, nimemwona akihojiwa na alichokisema meno kwa meno. Sitayarudia aliyoyasema lakini kwa watakaoangalia replay baadae wataelewa upotoshaji wako uko wapi. Kuongeza maneno maneno huwa kunawasaidiaje?
Vipi mbona mapovu?
 
Jamani swali mbona wanachama wa upinzani ndo mnaofutulia sana habari za ccm. Vipi utamfuatilia demu au dume kama humpendi. Yani naona nataka sitaki. Ama sivyo achaneni na ya dodoma tuleezeni mh mbowe anasema au dr mashinji. Yani kweli akili ni nywele kila mtu ana zake. Mtu akinyimwa unyumba na mkewe anakuja jf anatukana rais. Akilewa anakuja anatunga habari. Yani hakuna hoja ni kashfa au lugha mbovu ahhhh
 
Back
Top Bottom