Bashe na Msukuma wakanusha kufukuzwa CCM

Bashe na Msukuma wakanusha kufukuzwa CCM

Jamani swali mbona wanachama wa upinzani ndo mnaofutulia sana habari za ccm. Vipi utamfuatilia demu au dume kama humpendi. Yani naona nataka sitaki. Ama sivyo achaneni na ya dodoma tuleezeni mh mbowe anasema au dr mashinji. Yani kweli akili ni nywele kila mtu ana zake. Mtu akinyimwa unyumba na mkewe anakuja jf anatukana rais. Akilewa anakuja anatunga habari. Yani hakuna hoja ni kashfa au lugha mbovu ahhhh
Watapelekwa mirembe wengi sana na viroba ndo vilikuwa vinawasaidi kutokwa povu sa hv watatokwamaji midomon mwao
[HASHTAG]#Ccm[/HASHTAG] mbele kwa mbele
 
Ikulu makaburi hayafukuliwi, kwenye chama inafukuliwa mpaka mifupa LOWASA weee!!!! LOWASAAAAA!!!
 
Bashe historia itakukumbuka daima kwa ulichotaka kukifanya maana kinachofata ni katiba ya nchi wale walioudhulia asilimia 99 na point zake watakukumbuka tu na wananchi kwa ujumla na watasema raiti kama tungemsikiliza lakini wakati utakua ushapita asante kwa kuisimamia CCM uliyoiamini
 
Bashe,kwa namna ulivyo na uwakilish wako ktk bunge la bmt hukupaswa kubakia ccm! kwan hata wakikufukuza ingawa najua hawawez fanya hvyo,hamia upinzan hafu gombea kuptia upinzan ccm lzma iwe chali! wanakubp hao!
 
Wafukuzwe tufanye uchaguzi mdogo ili tupime ubavu, tumemiss mbilinge za kampeini
 
Chadema endeleeni kushadadia ya CCM msijenge Sacoss yenu, hapo mjue timu ya mauaji inapangwa na mjiandae kupigwa 2020
 
Nashangaa vijana wa upande wa pili kushangaa CCM mtu anayeenda kinyume na maadili ya chama na kudai CCM haina demokrasia,wakati huo wao walifukuza watu kisa tu kuchukua fomu ili kushindana na mwenyekiti wao.
hahahaha think twice

Waliimba nyimbo zote mbaya kwa Zitto .Kumbe ni Chadema tu Ndiyo inaruhusiwa kuwajibisha viongozi.Badala ya kumuunga mkono jirani mnamuombea njaa.Ama kweli Bila ccm makini nchi itayumba
 
Back
Top Bottom