Bashe, Kigwangalla vita kali Nzega. Bashe amsasambua Mh. Kigwangalla

Mh Kigwale,inabidi avuliwe Ubunge,apelekwe mahakamani kwa uovu alioufanya,anadhuruma mbaya.
 
Ahsanteni sana mliotukana na mliochangia, na wale mliohukumu, naomba mfahamu yafuatayo, kwamba I am a bold young man and I am never afraid of putting up a fight. Lakini sintomshambulia Bashe kwa kuwa amejibu ujumbe huo akiwa na hasira na kwa kuwa hoja zote hizo ni marudio ya mambo yale yale na ambayo, yote, kwa bahati nzuri nimeishayatolea ufafanuzi zaidi ya mara moja! Kwa wale wenye kiu ya kuujua ukweli au basi hata kutaka kunihukumu kwa kunisikiliza ili ubalance, basi utayapata majibu humu JF. Search either KIGWANGALLA au kigwangala na utapata orodha ya post zilizonitaja na uta-link hapa kuwapa faida wanaJF wengine!

Wakatabahu,
HK.
 
Jamani tuwe rational kidogo, hivi kwa darasa la saba kama kuna lolote lililotokea yeye Kigwangala alikuwa nafasi gani kulishawishi? Kwa umri huo ni wazi walioshiriki walikuwa ni watu wazima na yeye kama mtoto alipaswa tu kutekeleza. Lakini pia hatua kutoka primary hadi kuwa daktari ni kubwa sana, wengi tu walifaulu or rather kuchaguliwa std VII lakini hawakumaliza hata form two leo hii Hamis ni Daktari tunaweza kuhoji uwezo wake wa darasani ukizingatia mitihani migumu aliyofaulu?
 
Kwa bahati nzuri wote tunafahamu kwamba Hamis/Said almaarufu Kigwangalla ni member wa forum hii.

Mpaka pale atakapokuja kujibu, maneno ya Bashe yanasimama kama ukweli.
 
Ahsanteni sana mliotukana na mliochangia, na wale mliohukumu, naomba mfahamu yafuatayo, kwamba I am a bold young man and I am never afraid of putting up a fight. Lakini sintomshambulia Bashe kwa kuwa amejibu ujumbe huo akiwa na hasira na kwa kuwa hoja zote hizo ni marudio ya mambo yale yale na ambayo, yote, kwa bahati nzuri nimeishayatolea ufafanuzi zaidi ya mara moja! Kwa wale wenye kiu ya kuujua ukweli au basi hata kutaka kunihukumu kwa kunisikiliza ili ubalance, basi utayapata majibu humu JF. Search either KIGWANGALLA au kigwangala na utapata orodha ya post zilizonitaja na uta-link hapa kuwapa faida wanaJF wengine! Wakatabahu,HK.
.....Pole sana daktari....kama utakumbuka mwaka 2010 december ...nilikuambia namna hapa hapa ubaoni namna gani mshkaji anakukandia...kwenye vijiwe vya kishua..tunamsikiliza...,maandiko aliyoyatoa Bashe Leo yamedhibitisha na kwenda mbali zaidi...na yamedhihirisha ...hata kashfa nyingine zilizofuatia baaada ya 2010 dhidi ya HK....architect alikuwa Bashe...you can see that from his article herewith attached...To Bashe ,kitendo cha kujibu mwenyewe moja kwa moja si cha kiungwana..bora ile ya kusema kwa washkaji...hata ikifika huku ..ilikuwa haina nguvu sana ....lakini njia ya direct confrontation dhidi ya HK...Haijapendeza..wote nyie ni vijana....na mwaka 2015 sio mbali ,tuatapata jibu kuwa kweli nzega mbunge ni nani...na kudhibitisha kuwa kaama kweli aliyepo ni HOUSEBOY aliyekuwa akichunga nyumba kabla ya tajiri mwenyewe kuhamia....
 
Wanajamii sikilizeni kwa makini, haya yamekuja baada ya Hamis kuuliza swali la umeme ambalo Rostam, Bashe na Lowassa ndio Prime member................Haya yote CCM waliyajua hata kabla ya uchaguzi, alas they didnt realise kwamba Hamis was fighting from within.Hii yote ni ile vita ya mafisadi na ccm safiMtasikia mengi sana, ila kama mnaipenda Tanzania mtanielewaHamis amegusa mslahi ya wakubwa wa mafisadi and Bashe is their korokoroni
MTM, siungi mkono hoja yako. Elewa kuwa Bashe amejibu hoja za Mh. Hamisi alizopost kwenye wanabidii forum. Nawewe usijekuwa ni ile empire ya akina Liz walimfadhiri hamis aingie mjengoni kwa hira. Hata vivyo, utaona kuwa Bashe kajibu hoja kama zilivo orodheshwa na Mh, sioni mantiki ya kuoanisha majibu haya na scandal ya umeme la sivyo tutakuwa tunamhakikishia mh Hamis kuwa lolote atalbwabwaja juu ya Bashe halitajibiwa.
 
Ahsanteni sana mliotukana na mliochangia, na wale mliohukumu, naomba mfahamu yafuatayo, kwamba I am a bold young man and I am never afraid of putting up a fight. Lakini sintomshambulia Bashe kwa kuwa amejibu ujumbe huo akiwa na hasira na kwa kuwa hoja zote hizo ni marudio ya mambo yale yale na ambayo, yote, kwa bahati nzuri nimeishayatolea ufafanuzi zaidi ya mara moja! Kwa wale wenye kiu ya kuujua ukweli au basi hata kutaka kunihukumu kwa kunisikiliza ili ubalance, basi utayapata majibu humu JF. Search either KIGWANGALLA au kigwangala na utapata orodha ya post zilizonitaja na uta-link hapa kuwapa faida wanaJF wengine!

Wakatabahu,
HK.

Japo mie sio mshabiki wa siasa zenu ila maelezo ya Bashe yamejitosheleza na wala hayana hasira kama ulivyosema Mh.

Waonaje kama ukijibu hoja zake alizotoa moja baada ya nyingine kwenye jamvi hili once and for all? Huoni kama amekuzidi ki-hoja japo wewe ni msomi wa ngazi ya DR?

Kama waona ni ngumu kwanini usiende ku copy na uje u paste hapa tujisomee na hawa Great thinkers watoe rational judgement,
 
Ahsanteni sana mliotukana na mliochangia, na wale mliohukumu, naomba mfahamu yafuatayo, kwamba I am a bold young man and I am never afraid of putting up a fight. Lakini sintomshambulia Bashe kwa kuwa amejibu ujumbe huo akiwa na hasira na kwa kuwa hoja zote hizo ni marudio ya mambo yale yale na ambayo, yote, kwa bahati nzuri nimeishayatolea ufafanuzi zaidi ya mara moja! Kwa wale wenye kiu ya kuujua ukweli au basi hata kutaka kunihukumu kwa kunisikiliza ili ubalance, basi utayapata majibu humu JF. Search either KIGWANGALLA au kigwangala na utapata orodha ya post zilizonitaja na uta-link hapa kuwapa faida wanaJF wengine!

Wakatabahu,
HK.

Kumbe ni kweli wewe ndio ulimuanza Bashe na yeye ndio Kakujibu?

Hilo la kutafuta post zako za nyuma hututendei haki wala wewe mwenyewe hujitendei haki, hatuwezi kujua majibu yako sahihi ni yepi kutoka kwenye hoja za BAshe, Mi nadhani cha muhimu ni kuijibu barua ya Bashe hoja kwa hoja ili tuwe na uwezo wa kubalance ukweli, lakini kwa mwenendo huu na majibu yako ya kuanza kujitete na kujisifia inaonyesha wazi kuna tuuma za kweli alizozieleza bashe ambazo wewe huwezi kamwe kuzijibu
 
Jamani tuwe rational kidogo, hivi kwa darasa la saba kama kuna lolote lililotokea yeye Kigwangala alikuwa nafasi gani kulishawishi? Kwa umri huo ni wazi walioshiriki walikuwa ni watu wazima na yeye kama mtoto alipaswa tu kutekeleza. Lakini pia hatua kutoka primary hadi kuwa daktari ni kubwa sana, wengi tu walifaulu or rather kuchaguliwa std VII lakini hawakumaliza hata form two leo hii Hamis ni Daktari tunaweza kuhoji uwezo wake wa darasani ukizingatia mitihani migumu aliyofaulu?
Pamaja na kuwa alifanya mtihani mingine migumu (kama unavyodai) Hii haimuondolea kosa la kuchakachua nafasi ya kijana wa watu ambaye ameishia kusukuma mikokoteni. Kwamba Kigwangala alikuwa na uwezo darasani hilo halima mantiki hapa, Kwa wakati akiwa darasa la saba na kwa mtihani ule uliofanywa na Kigwangala na yule kijana msukuma mkokoteni, Kigwangala alifeli na kama angehitaji kuendelea kusoma kwa nini asingeenda private school. Hata kama akipata uprofesa kosa lake halifutiki.

Unaposema yeye alikuwa mtoto tuna alipaswa kutekeleza maelekezo ya watu wazima walioshiriki kuchakachua, hivi yeye alikuwa hajui jina lake mpaka anafika darasa la saba?

Huyu anatakiwa a-resign/afukuzwe ubunge na achukuliwe hatua za kisheria. Refer waziri wa Ujerumani kwa kuchukua maelezoya watu wengine bila kuwa quote kwenye dessertation yake imekuwa kashfa ya kuupoteza uwaziri.
 
Dr Kingwangalla,

Tuhuma nzito dhidi yako ni kuwa hukufaulu mtihani wa kwenda shule ya sekondari. Badala yake inadaiwa kuwa ulitumia jina la kijana aliyekuwa amefaulu, Hamis Andrea, kuendelea na masomo Shule ya Sekondari Kigoma. Yeye hakufahamu matokeo ya mtihani huo, lakini nyinyi mliofahamu mnadaiwa kutomfahamisha na kufanya mlivyofanya. If this is true, as Ndugu Bashe asserts, do you believe you acted honestly? Na misrepresentation of facts, je?

Unadhani mamlaka ya elimu ingekuwa na taarifa tuliyopewa hivi sasa ingelikutunukia shahada uliyonayo? Na Hamis Andrea je ambaye maisha yake yanaelezwa kuwa ni duni kutokana kitendo mlichokifanya? Ninadhani uzito wa tuhuma hizi mbili ni wazi; na, kwa hiyo, kama mbuge utapashwa, upende usipende, kiuzungumzia kwa kina elimu yako ya msingi hadi sekondari ili umma uelewe ulifikaje hapo ulipo.
Ahsanteni sana mliotukana na mliochangia, na wale mliohukumu, naomba mfahamu yafuatayo, kwamba I am a bold young man and I am never afraid of putting up a fight. Lakini sintomshambulia Bashe kwa kuwa amejibu ujumbe huo akiwa na hasira na kwa kuwa hoja zote hizo ni marudio ya mambo yale yale na ambayo, yote, kwa bahati nzuri nimeishayatolea ufafanuzi zaidi ya mara moja! Kwa wale wenye kiu ya kuujua ukweli au basi hata kutaka kunihukumu kwa kunisikiliza ili ubalance, basi utayapata majibu humu JF. Search either KIGWANGALLA au kigwangala na utapata orodha ya post zilizonitaja na uta-link hapa kuwapa faida wanaJF wengine!

Wakatabahu,
HK.
 
Bashe ni Kichwa kumbe!

Mkuu Bashe si mchezo, kumbe ni MFIPA wa Laela... rudi kwa mama yako Bashe tukuogeshe dawa utakate. tatizo kubwa alilonalo ni mafungamano yake na RA.

Kigwangala ni mshenzi ananuka harufu mbaya ya uuaji, yeye pamoja na mama yake.

USHAURI KWA BASHE: Ikiwezekana Shauriana na familia ya Hamis Andrea wafungue kesi ya wizi wa jina, kuiba haki ya mtoto wao kutosoma shule ili avuliwe ubunge. Na wamdai fidia. kisha BASHE nenda CHADEMA, tutakupigia kampeni mpaka kuku watakupigia kura. CCM is a very wrong place for an analytical thinker.
 
Bashe wewe ni kichwa! Very unfortunately kwamba you are in the wrong place! There is only one place where you will be able to fully express your honesty! CHADEMA! You sound so trustworthy and honest, but the place you are is fully wily foes, and magambas. Njoo CHADEMA u fullfill doto zako! Unasumbuliwa na akina mzee makamba wanaopiga makelele tu!
 
...... unafahamu hili kwa 2015 u will face me again if god wish,politically u have never been threat to me jimbo la nzega ninafahamu mtu pekee ambae ninaamini ni threat kwangu ni LUCAS LUMAMBO SELELII not you.
I loved this part, CCM mtavuana nguo sana kukata ubishi hilo jimbo ni la Lucas Selelii.
 
Dr Kingwangalla,

Tuhuma nzito dhidi yako ni kuwa hukufaulu mtihani wa kwenda shule ya sekondari. Badala yake inadaiwa kuwa ulitumia jina la kijana aliyekuwa amefaulu, Hamis Andrea, kuendelea na masomo Shule ya Sekondari Kigoma. Yeye hakufahamu matokeo ya mtihani huo, lakini nyinyi mliofahamu mnadaiwa kutomfahamisha na kufanya mlivyofanya. If this is true, as Ndugu Bashe asserts, do you believe you acted honestly? Na misrepresentation of facts, je?

Unadhani mamlaka ya elimu ingekuwa na taarifa tuliyopewa hivi sasa ingelikutunukia shahada uliyonayo? Na Hamis Andrea je ambaye maisha yake yanaelezwa kuwa ni duni kutokana kitendo mlichokifanya? Ninadhani uzito wa tuhuma hizi mbili ni wazi; na, kwa hiyo, kama mbuge utapashwa, upende usipende, kiuzungumzia kwa kina elimu yako ya msingi hadi sekondari ili umma uelewe ulifikaje hapo ulipo.

na huo ndiyo ulikuwa mchezo wa viongozi wa Elimu na wanasiasa miaka ya 1970,1980 and early 1990's katika mkoa wa Tabora.
 
Ahsanteni sana mliotukana na mliochangia, na wale mliohukumu, naomba mfahamu yafuatayo, kwamba I am a bold young man and I am never afraid of putting up a fight. Lakini sintomshambulia Bashe kwa kuwa amejibu ujumbe huo akiwa na hasira na kwa kuwa hoja zote hizo ni marudio ya mambo yale yale na ambayo, yote, kwa bahati nzuri nimeishayatolea ufafanuzi zaidi ya mara moja! Kwa wale wenye kiu ya kuujua ukweli au basi hata kutaka kunihukumu kwa kunisikiliza ili ubalance, basi utayapata majibu humu JF. Search either KIGWANGALLA au kigwangala na utapata orodha ya post zilizonitaja na uta-link hapa kuwapa faida wanaJF wengine!

Wakatabahu,
HK.

Kigwagalla, what ever you call yourself, you must admit kuwa you faked the name. Jina la Hamis Andrea si lako, your mother killed someone's future just for you. You will live with it for the rest of your life, unless unakiri hilo na kuomba msamaha and do something kwa mmiliki halali wa jina hilo.

Nilikuwa nakufagilia sana, mimi kama mmoja wa watu waliosoma Tabora miaka ya 80 na ambaye nilinusurika na uharamia kama alioufanya mama yako, nakuona unanuka harufu mbaya ya uuaji wewe na mama yako, na kwa standard za kiongozi makini, bora na mwadilifu hufai hata kuwa mjumbe wa nyumba kumi. Kitendo alichokifanya mama yako ni cha uuaji. Ukubali au ukatae. Fikiria kuwa mwanao akifanyiwa hivyo wewe binafsi ungejisikiaje?

Ni bahati mbaya kuwa chama chenu - CCM kimeshakuwa chama cha kishenzi, hakioni aibu kuwakumbatia watu kama wewe, hupaswi hata kuwa mwakilishi wa wana Nzega. yaani unamwakilisha mwana nzega uliyemwibia jina? take that position and think critically ikiwa kweli wewe una taaluma ya udaktari! you stink! hufai kabisa.
 
Ahsanteni sana mliotukana na mliochangia, na wale mliohukumu, naomba mfahamu yafuatayo, kwamba I am a bold young man and I am never afraid of putting up a fight. Lakini sintomshambulia Bashe kwa kuwa amejibu ujumbe huo akiwa na hasira na kwa kuwa hoja zote hizo ni marudio ya mambo yale yale na ambayo, yote, kwa bahati nzuri nimeishayatolea ufafanuzi zaidi ya mara moja! Kwa wale wenye kiu ya kuujua ukweli au basi hata kutaka kunihukumu kwa kunisikiliza ili ubalance, basi utayapata majibu humu JF. Search either KIGWANGALLA au kigwangala na utapata orodha ya post zilizonitaja na uta-link hapa kuwapa faida wanaJF wengine!

Wakatabahu,
HK.

mkuu bora ungejibu hoja au ungeipotezea hii thread ujue moja.Lakini hizo excuses unazokuja nazo wala hazitasaidia kuondoa tuhuma na madai mazito yaliyotolewa na Bashe dhidi yako.
Wewe ni mwanasiasa mchanga na bado huna mizizi mizito katika siasa za Nzega kulingana na maelezo ya Bashe.Nilidhani labda ingekuwa bora kwako kwa sasa kuanza kujijenga,kuwa simple na kuheshimu watu,kuliko kujifanya unajua kila kitu na kuanza kuwaletea nyodo hata wale waliokusaidia mpaka ukafikia hapo ulipo
just my opinion mkuu!
 
na huo ndiyo ulikuwa mchezo wa viongozi wa Elimu na wanasiasa miaka ya 1970,1980 and early 1990's katika mkoa wa Tabora.

Siyo Tabora tuu, nafikiri kanda ya Ziwa yote. Mikoa ya Shinyanga na Mwanza haya mambo yameumiza wengi sana. Maafisa wengi maofisini wanamajina ya watu wengine kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaa.
 
Kigwagalla, what ever you call yourself, you must admit kuwa you faked the name. Jina la hamis andrea si lako, your mother killed someone's future just for you. You will live with it for the rest of your life, unless unakiri hilo na kuomba msamaha and do something kwa mmiliki halali wa jina hilo. Nilikuwa nakufagilia sana, mimi kama mmoja wa watu waliosoma Tabora miaka ya 80 na ambaye nilinusurika na uharamia kama alioufanya mama yako, nakuona unanuka harufu mbaya ya uuaji wewe na mama yako, na kwa standard za kiongozi makini, bora na mwadilifu hufai hata kuwa mjumbe wa nyumba kumi. Kitendo alichokifanya mama yako ni cha uuaji. Ukubali au ukatae. Fikiria kuwa mwanao akifanyiwa hivyo wewe binafsi ungejisikiaje?
Ni bahati mbaya kuwa chama chenu - CCM kimeshakuwa chama cha kishenzi, hakioni aibu kuwakumbatia watu kama wewe, hupaswi hata kuwa mwakilishi wa wana Nzega. yaani unamwakilisha mwana nzega uliyemwibia jina? take that position and think critically ikiwa kweli wewe una taaluma ya udaktari! you stink! hufai kabisa.

Utingo nimeipenda hiyo
 
"Tutahoji moral authority juu ya mambo mengi unayoongea wakati wewe ni mmoja wa walio benefit na STIMULUS package 2009/10 ambazo hazikuwafaidisha wakulima zaidi ya kujinufaisha wewe binafsi kununua ma Range mjini na kuja kugombea ubunge Nzega kwa Fedha za walipa Kodi kupitia kampuni ya MSK"

Mh Kigwangalla hii kitu ya Stimulus Package umewahi kutoa majibu rahisi kipindi cha nyuma sasa imekuja tena. Kwa ukaribu alionao Bashe na Rostam nitaamini maelezo ya Bashe maana boss wake anaendesha CCM/Ikulu kwa remote control. Kuna kitu hakiko sawa with this MSK thing na hata usipokisema leo tutakijua tu tujipe muda.

And now that MSK has been black listed by the International Cotton Association because of contract defaults just waiting see how you going to handle it.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom