Bashe, Kigwangalla vita kali Nzega. Bashe amsasambua Mh. Kigwangalla

Baada ya Matusi ya Kigwangallah nimeona nirudishe mjadala huu
Kwa aliyoongea Kigwangallah ni wazi serikali ya awamu hii imekua kama kokoro lililobeba ylwanaohitajika na wasiohitajika!!!

Sijui ni sifa na vigezo gani hutumika kwa huyu bwana mtumbua majipu!!!

Inashangaza waziri mzima unaponda kiongozi ambaye hakuongoza migomo kwahiyo yeye aliyejisifu alishiriki mgomo ule atakua tayari Leo kuongoza mgomo mwingine?

Namfahamu huyu kijana tangu akiwa WAMA! Ni sifuri kichwani... Mhuni na mwenye mkono mrefu...

Napata shida kuamini aina hii ya viongozi ndo itufikishe mbali!!!
 
Hata mimi nimeshangaa kuona anajisifu kua yeye na ulimboka ndo waliongoza mgomo na hapohapo anamponda mashinje kua alikua muogaa.wakati inasemwa kua chadema ilikua nyuma ya mgomo wa madaktari mbona kigwa hakujitokeza hadjarani kukana uhusika wa cdm.
 
Hata mimi nimeshangaa kuona anajisifu kua yeye na ulimboka ndo waliongoza mgomo na hapohapo anamponda mashinje kua alikua muogaa.wakati inasemwa kua chadema ilikua nyuma ya mgomo wa madaktari mbona kigwa hakujitokeza hadjarani kukana uhusika wa cdm.
TOFAUTISHA MGOMO WA 2005 NA MGOMO WA 2012, CDM HAISHUTUMIWA KWA MGOMO WA 2005 INASHUTUMIWA KWA MGOMOWA 2012 , JITAHIDI KUSOMA NA KUFUATILIA MATUKIO , USIKURUPUKE KAMA NGURUWE UKALA NA KINYESI CHAKO!
 
Naam hao ndio wana nzega waliomkaaanga Mzee Sereliii kisha nao ikala kwao.Kwa watu wanaotoka kwa sisi tulioko huku mikoani miaka ya tisini kufaulu mtu kwenda sekondari hatakuchukulia kuwa wewe unaakili sana kupita wenzio,bali tulizingatia tu kuwa UMEBAHATIKA na hiyo ni kutokana na uchache wa nafasi za kujiunga na Shule ya Sekondari.Uliza mtu yoyote anayetoka MIKOANI ili liko wazi.Ni mambo tunaishi nayo na niyakawaida,mtaani kwenu kijana wa dalasa la saba kamaliza shule siku ya matokeo yametoka kawapa taarifa amefauru pongezi zenu kwake ni kumwabia UNABAHATI,na si usemi wa kuwa ANAAKILI.

Pili mikaoani kuna wengine wanafauru kwa kweli kichwa kinachemka lakini wazazi wake hoehae,yaani hela ya kumtimizia mahitaji yake aende shule kwa zama za KIGWA miaka ya tisini naa ilikua kama laki moja na nusu gharama zote,wewe ni kasheshe kwani kuna familia ukoo mzima wajiunge wachange kukupa pesa bado nusu yake isingetosha.

Tuludi kwenye Logic, mpaka hapo elimu aliyofika DK KIGWA,si kweli alikuwa mbumbu, bali kichwa kilikua kinachemka na kama alitumia jina la mtu mwingine rejea kwenye mazingira niliyoyasema awari,anayosababu kubwa tu ya kusimamia anastahiki.Ndio maana alishauriwa kwenda kuhalalisha jina hilo.

Ukitizama mtililiko wa barua ya Bashe nafikili matayarisho yake yaweza kuwa yalitumia miezi kupata hicho tunachokisoma hapo,usisahau pia kuwa nyuma yake kuna waandishi wa habari kampuni ya Habari Cor [Rai, Mtanzania].Kiuwaandishi baru inamtiririko mzuri sana wakukupa uweufahamu juu ya Taarifa ongelewa.Ukifika kwenye logic why all this,?Mpaka kwenye uraia wa Bashe majibu ya waziri, majibu ya ofisi kuu kuna jambo?

Anatuomba tuoji Baba ya KIGWA, ninavyojua mimi Wasukuma wanatumia majina ya upande wa mama hakuna shaka yoyote.Msukuma anaweza kukuuliza wewe mtoto wa nani? anamaanishi umatjie jina la mama yako yani kwa kiswahili ingekua. Kama mama yako wewe ni Maria au Asha basi ungemjibu Mimi ni wa Mariam, au Mi ni Wa Asha, Ndio maana unasikia Ngw'ana Shija n.k. Na usukumani inatokea pia Msukuma anaweza kuzaa Nyumba moja, akaachika akaolewa tena nyumbani nyingine akazaa akaachika, akatoka akaenda tena eneo jingine akaolewa akazaa tena.Hivyo anaweza kuwa na idadi ya watoto tisa kwenye familia tatu tofauti vijiji tofauti, ni wazazi wazuri ndio maana Mikoa ya Uskumani ina idadi kubwa sana ya watu ikiongozwa na Shinyanga.

Kwa hivyo uko usukumani mwanamke anaweza pia kuamua kuishi pekee na jamii ikampokea kama alivyo na wasiwe na shida kuhusu mumewe, wala kubughudhi wna jina lao wanamwita "NSHIMBE" yaani asiye na mume.Hivyo sioni sababu ya kujua Mzazi wake wa kiume.Tena kwa hilo wasukuma nawaheshimu sana wametanguliwa kuishi kinywamwezi [USA], Manake uko ukifuatilia wale watu maalufu sana USA wengi wao wamelelewa na MAMA ZAO.Mfano Robert Kelly,Rambo na Tupac n.k.

Hata kihistoria ya dunia inatambua uwezo wa Mwanamke akiwa pekee katika kulea familia Marais, Majemadari na Wakuu bora wengi wa Majeshi wa enzi, na miaka, wengi wao wamelelewa na mama zao [Lugha ya sasa ya kibongo tunasema Single Parent].

Mwandishi mahiri wa vitabu na Daktari bora wa upasuaji operation zenye kuitaji umakini Nchini Marekani Ben Carson, M,D ni moja ya Mazao ya malezi ya mzazi mmoja.

Hivyo kuitaji kujua Baba yake kwa utamaduni na mazingira ya usukumani ni kuwatukana wananchi wanzega ukiwemo wewe mwenyewe Bashe ulieshiriki kumnadi.

Ukitizama sana Mbuyu umekaribia kungoka,manake mpaka WAMA wamechomekwa ili DK KIGW akili kuwa anafanya kazi uko,basi kwa waelevu [Intellectuals],moja jumlisha moja ni mbili,ni vita.DK KIGW anageuzwa tool,wanataka kuthibitisha hayo wanayofikiri wengine watayapokea kirahisi.Bashe mwajili wake RA, akimtuma kwenye mission atakataa?

Na hili la wizi wa pesa za Stimulus Package, tafuta ushahidi njoo utushawishi na hoja nzuri tutakusupport.Ila haya mengine kwangu mimi sina nafasi ya kukupa.Ila bado naamini ofisi kuu iliposeam wewe sio raia bado naamini hivyo.

Wasomali, Waarabu na wahindi wengi sana ninaowajua mimi,wengi wao ambao mimi nimekua nao kitaa na kusoma nao wamekua wakiishi chini ya vivuli viwili, mnakua nae kitaa mkisoma wote shule ya msingi ama sekondari,mkimaliza shule ile mnaanza age ya kusaka maisha, mwenzenu anapotea kuibuka mnasikia yuo Canada,Uingereza au Saudia Arabia raia.

Kuna Mwarabu mmbongo tumesoma wote kaenda kusalimia ndugu zake urabuni huko,akawa anavuka nchi moja kwenda nchi nyingine kupitia njia za panya,jamaa wakamkamata.Kati ya hao askari kumbe mmoja ni bwana mdogo tulisoma nae mshikaji aliyekamatwa ambae ni mkubwa kiumli kuliko mkamataji akawachukua kwenye gari kutoka kwa askari wenzie,mkamatwaji hamkumbuki mkamataji kama unavyojua ni rahisi kwa mdogo kumkumbuka mkubwa.Halipo hakikisha wapo salama akamuita mshikaji kwa jina lake la utani la Shuleni zama hizo.Pata picha ugenini kisha mtu anakuita jina la Shule la utani.Mshikaji hakuelewa kinachoendelea hofu ndio ikatanda ikabidi jamaa kumuondoa hofu akamwambia mi fulani, tumesoma wote, Tanzania.

Pata picha huyo ni askari nchi za watu huko,tutaamini vipi jamani nyie ndugu zetu?Maisha ya kuishi mguu ndani yanatupatiaga walakini juu ya uraia wenu.
Nzega si usukumani tafadhali.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom