Bashe karibu CHADEMA, una akili za ki-CHADEMA

Bashe karibu CHADEMA, una akili za ki-CHADEMA

Ukawa hamna akili timamu, bashe akija chadema siatawapora akina swiss me na mussa allen cheo??
 
  • Thanks
Reactions: mmh
2020 si mbali hao viumbe cdm wakiwapokea wajue hakutakuwa na chama tena ,mkakati unaendelea vzr
 
Una uhakika Slaa na Mbowe walikua na sauti moja hawakuwa na tofauti, mbona walivurugana, mbona hawakua na sauti moja kuhusu Lowasa.. Punguzeni kua na Barakala
embu usitufanye wote hapa hatujui lolote.... mie ni chadema faithful so take it from me SLAA alikubali lowasa apewe urais ila mke wake ndio alikataaa ssa slaa angefanyeje??? amtose mke wake kisa siasa??? bestfriend wake mnyika na gwajima walishaongelea hili ssa wwe ni nani kujifanya unamjua slaa kuliko hao wawili
 
Kama mnavyofahamu Mh.Bashe anedhalilishwa sana jana mjini Dodoma katika vikao vya CCM akituhumiwa kupinga mabadiliko ya Katiba ya CCM. Mh.Bashe aliwekwa ndani kwa amri ya ngazi za juu. Habari zilizoenea zinasema kwamba kosa ilikuwa kupinga mabadiliko ya katiba ya CCM. Hakuna taarifa tofauti zilizotolewa

Mh.Bashe amedhalilishwa kwa kutumia hali yake kikatiba na kidemokrasia lakini ajabu ameonekana sio mwenzao. Ni wengi wanaopinga mabadiliko haya isipokuwa uchumia tumbo na kuwekewa vikwazo ndio kinachowafunga midomo

Kwa tunaojua misimamo ya Bashe hili sio jambo la ajabu. Bashe ana akili za ki Chadema Chadema hivyo anatakiwa kwenda kwenye kundi la ndege anaofanana nao

Bashe amekuwa hivyo ndani na nje ya bunge. Bashe ametishiwa kufukuzwa kwa kosa la kusimamia demokrasia na Chadema ni chama cha Kidemokesia-Chama cha Demokrasia na Maendeleo

Kwa niaba ya makamanda ninasema Bashe CCM sio mahali pako,usisubiri uvuliwe uanachama,jiuzuru na ujiunge na makamanda wenzao wa Chama cha Demokrasia.Muulize Mh.Esta Bulaya utamu wa Chadema
Hata huko CHADEMA hakuna Demokrasia kama unavyowanasibu.

Chama kimebadilika si kama kilivyokuwa awali.

Bila pesa hupati nafasi ya kuwawakilisha wananchi, waliokijenga chama kwa muda mrefu wanaachwa kwenye Chaguzi kwa njia za kibabe mathalani Bashe akifukuzwa CCM akaja CDM atapewa nafasi ya kugombea na kumsahau mpinzani aliyekuwepo Uchaguzi uliopita (CCM hawafanyi hayo). Yuko wapi Lembeli? Kawakosesha CDM Jimbo!

Kuna Wabunge walijulikana hawapiti baada ya kushinda chaguzi zilizopita (2010). Je, kulikuwa na Uchaguzi wa ndani kupitisha Wagombea? Hakuna zaidi ya kauli ya Mwenyekiti tu, hawa waacheni waendelee basi.

Mpeperusha Bendera ya Chama kwenye Urais je? Yaleyale, kupiga kura kwa kusimama kikanda pale Mwanza (Seriously!)

Mwisho nimalizie kwa Ushauri.

1. CDM ibadilike kwa kutendea Hali nafasi walizopata, tusiende mbali sana, Serikali za Mtaa. Kugonga mhuri tu unalipia kama ilivyokuwa awali chini ya CCM, Migogoro ya ardhi kutopungua na huduma zingine za kijamii.

2. CDM ijisafishe na skendo ya Ukabila na ukanda

3. Msingi wa kupata Wagombea iwe Demokrasia kweli, maana wanaopiga kura chamani ndiyo wapiga kura kwenye jamii pia wapiga kampeni.

4. Kupokea wanachama toka CCM sawa lakini wasipewe nafasi za juu. Hapa nikazie kidogo, hivi ukiambiwa leo Lowasa kuwa CDM ni mpango wa CCM kuwadhoofisha utakubali?

Tufanye siyo kweli, jiulize tena CCM inashindwa nini kumuandaa MTU atakayekuwa machachali kwa kuwapinga kisha akahama ili kuja kuwadhoofisha bila ninyi kujua (kuvujisha mbinu zenu kwa Wapinzani)?
 
Ndio m
Hujui kitu wewe,kaulizie kama hujasoma kokote,jambo hilo lilijadiliwa vikaoni na likakubalika na likakubalika pia mpaka UKAWA yote,na kwa taarifa yako wala sio Mbowe aliyeleta hiyo ajenda,tuulize tunaoingia vikaoni,
Ndio maana Dr. Slaa nae alibadilisha gia angani. LOL!!!
 
embu usitufanye wote hapa hatujui lolote.... mie ni chadema faithful so take it from me SLAA alikubali lowasa apewe urais ila mke wake ndio alikataaa ssa slaa angefanyeje??? amtose mke wake kisa siasa??? bestfriend wake mnyika na gwajima walishaongelea hili ssa wwe ni nani kujifanya unamjua slaa kuliko hao wawili
Maamuzi ya Slaa kung'atuka yalitoka kwa mke wa Slaa, Gwajima, Mnyika au Slaa mwenyewe?
 
somo gumu kwa chadema, nani alihamia ccm kutoka cdm akafikia kuwa kiongozi ccm? especially kamati kuu? cdm mnachekesha kweli
 
Kipindi kile alichoambiwa sio raia ndio ilikua wakati muafaka lkn alibaki ccm sidhani kwa sasa kama atatoka!
 
Kama mnavyofahamu Mh.Bashe anedhalilishwa sana jana mjini Dodoma katika vikao vya CCM akituhumiwa kupinga mabadiliko ya Katiba ya CCM. Mh.Bashe aliwekwa ndani kwa amri ya ngazi za juu. Habari zilizoenea zinasema kwamba kosa ilikuwa kupinga mabadiliko ya katiba ya CCM. Hakuna taarifa tofauti zilizotolewa

Mh.Bashe amedhalilishwa kwa kutumia hali yake kikatiba na kidemokrasia lakini ajabu ameonekana sio mwenzao. Ni wengi wanaopinga mabadiliko haya isipokuwa uchumia tumbo na kuwekewa vikwazo ndio kinachowafunga midomo

Kwa tunaojua misimamo ya Bashe hili sio jambo la ajabu. Bashe ana akili za ki Chadema Chadema hivyo anatakiwa kwenda kwenye kundi la ndege anaofanana nao

Bashe amekuwa hivyo ndani na nje ya bunge. Bashe ametishiwa kufukuzwa kwa kosa la kusimamia demokrasia na Chadema ni chama cha Kidemokesia-Chama cha Demokrasia na Maendeleo

Kwa niaba ya makamanda ninasema Bashe CCM sio mahali pako,usisubiri uvuliwe uanachama,jiuzuru na ujiunge na makamanda wenzao wa Chama cha Demokrasia.Muulize Mh.Esta Bulaya utamu wa Chadema
Sajirini kina Simba na makapi wengine! Bashe yuko eneo sahihi na si mnafiki wa kunadili gia angani.
 
Kinachonifanya nimkubali bashe huwa hamumunyi maneno,cku Zote huwa msema kweli
 
Nyie mnaongea tu bashe hamjamjua vzr tena akija ukawa nauhakika hata saa moha hawezi kuitoboa maana atazinguana na mbowe kwa kukatalia uenyekiti
 
Bashe sio kiongozi,mkubwa ndani ya CCM sababu CCM ina watu wengi, ila Bashe ana ushawishi na ana kundi kubwa tu.. Bashe ni zaidi ya Salum mwalimu wa Chadema, au Mnyika...
Hiyo dictionary yako ya uongo inaitwaje? Unamfananisha mnyika na vitu vya kijinga. Shame on u fisiem
 
Bashe mwenyewe mbona simuoni kupinga chochote. Hebu msikilize hapo

Maamuzi ya Slaa kung'atuka yalitoka kwa mke wa Slaa, Gwajima, Mnyika au Slaa mwenyewe?
basi tufanye slaa alitimuliwa na mbowe enheeee nkuulize mgombea urais wa chama ni lazima slaa aridhie??? yaani kamati kuu ikiamua kumpitisha lowasa ila slaa hataki ndo askilizwe slaa??? duh
 
Back
Top Bottom