Lakini CCM wamemuweka ndani na kumtishia,2010 walimzushia uraia.kipi kibaya zaidi hapo,huu ni udiktetaEti akili za kichadema, mlimshindwa Zitto mtamuweza Bashe.. Changamoto anazotoa Bashe CCM, ingekua Chadema, angenuniwa na watu wote wa Chadema..
Sijui kama aya maandishi ameyaona huyu bakunja mleta madaHuu uhuru wa kikatiba kuhoji umejipa muda kweli kufikiri kama upo Chadema au vinginevyo? Nani alihoji ubadilishaji wa gia angani na akawa sio msaliti?
Hivi vyama wanavijua wanaoviongoza na sio vinginevyo. Nani alihoji kipengele cha ukomo wa uongozi ndani ya Chadema wakati wa kukibadilisha akapona?
Ukitaka kujua ccm na chadema kuna demokrasia subiri kwenye chaguzi za wakuu wewe jifanye unatangaza kugombea kama katiba inavyosema halafu utajua chama ni kina nani.
hapana zitto alikuwa kiongozi mkubwa sana chadema ssa kama anaingia kwenye vikao vizito vya chama na bado akitoka anataka kutofautiana na wenzake unataka chama kifanyeje????Eti akili za kichadema, mlimshindwa Zitto mtamuweza Bashe.. Changamoto anazotoa Bashe CCM, ingekua Chadema, angenuniwa na watu wote wa Chadema..
Punguza blah blah jaribu kua mkweli sio kujaza seva za JF kwa Hoja zisizo na maana... Wangapi wamezushiwa nchi na Chadema na maisha yanaendelea.. Yale mengine ni siasa.. Ndio mana ata Leo Bashe alipohojiwa wala hana wasiwasi... Anajua nini kilitokea zaidi ya nyinyi wazee wa matukio.. Nyie si ndio jana mlikua mnasema Mwenyekiti anafanya mabadiliko ya kuweka kipengele cha Kugombea Urais bila kupingwa, mlivyo BakunjaLakini CCM wamemuweka ndani na kumtishia,2010 walimzushia uraia.kipi kibaya zaidi hapo,huu ni udikteta
Umeeleza vizur sana aisee aksanteOf course, Bashe ha-fit kabisa CCM sema nadhani hana imani na wana-Nzega manake Tabora kwa ujumla wake wamekunywa maji ya bendera ya CCM!!!
Hata CUF ya Lipumba enzi hizo ipo CUF kweli kweli; Tabora hawakuinga mkono hadi hivi majuzi possibly kutokana na nguvu ya UKAWA!!!
Chief Saidi Abdallah Fundikira pamoja na kuwa Chifu wao; lakini wana Tabora hawakutaka kabisa kumuunga mkono na UMD yake hadi mzee wa watu akaamua kurudi CCM alipojiona ndo basi tena!!!
In short, Kanda ya Kati ni wamebugia vya kutosha maji ya bendera ya kijani....
Nadhani hicho kinachomvunja nguvu Bashe... maji ya bendera yaliyonywewa na kuogwa na wana-Tabora!! Lakini nadhani anasahau tu kwamba anaweza kushindwa kuibadili Tabora mzima kama ilivyokuwa kwa Lissu kwa Singida mzima lakini anaweza kuibadili angalau Nzega kama alivyofanikiwa Lissu Singida Magharibi!!!
Bashe sio kiongozi,mkubwa ndani ya CCM sababu CCM ina watu wengi, ila Bashe ana ushawishi na ana kundi kubwa tu.. Bashe ni zaidi ya Salum mwalimu wa Chadema, au Mnyika...hapana zitto alikuwa kiongozi mkubwa sana chadema ssa kama anaingia kwenye vikao vizito vya chama na bado akitoka anataka kutofautiana na wenzake unataka chama kifanyeje????
bashe analeta changamoto coz ni SISIMIZI tu ccm so hana sehem ya kupeleka mawazo yake zaidi ya bungeni so anapiga pin ila kma akiwa kiongozi afu wanakubaliana kwenye vikao kisha akitoka wanageukana its not right!!
yeah najua bashe ana uwezo mkubwa hilo sikatai ndio maana ni kipanga zaidi ya wanaccm wote bungeni ila akipewa uongozi mkubwa chadema perhaps nafasi ya mashinji inatakiwa wawe na sauti moja kma slaa na mbowe au mnyika na mwalim asiwe kma zitto ambaye anakubaliana na wenzake afu nje anakuwa na msimamo tofauti thats so annoyingBashe sio kiongozi,mkubwa ndani ya CCM sababu CCM ina watu wengi, ila Bashe ana ushawishi na ana kundi kubwa tu.. Bashe ni zaidi ya Salum mwalimu wa Chadema, au Mnyika...
Una uhakika Slaa na Mbowe walikua na sauti moja hawakuwa na tofauti, mbona walivurugana, mbona hawakua na sauti moja kuhusu Lowasa.. Punguzeni kua na Barakalawawe na sauti moja kma slaa na mbowe au
Kama sikosei mliwahi kumbagua kua siyo raia..leo mnapendekeza mje mluke pamoja kama ndege wafananao..mwingine mlimuita mwizi tena rafiki mkubwa wa huyo ni huyu huyu unaemsema leo kua aje cdm,yule nae mkatugeuka mkasema tena ni msafi alisingiziwa,sa sijui alisingiziwa na nani wakati ninyi wenyewe ndo mlimsema,muwe mnajionea aibuKama mnavyofahamu Mh.Bashe anedhalilishwa sana jana mjini Dodoma katika vikao vya CCM akituhumiwa kupinga mabadiliko ya Katiba ya CCM. Mh.Bashe aliwekwa ndani kwa amri ya ngazi za juu. Habari zilizoenea zinasema kwamba kosa ilikuwa kupinga mabadiliko ya katiba ya CCM. Hakuna taarifa tofauti zilizotolewa
Mh.Bashe amedhalilishwa kwa kutumia hali yake kikatiba na kidemokrasia lakini ajabu ameonekana sio mwenzao. Ni wengi wanaopinga mabadiliko haya isipokuwa uchumia tumbo na kuwekewa vikwazo ndio kinachowafunga midomo
Kwa tunaojua misimamo ya Bashe hili sio jambo la ajabu. Bashe ana akili za ki Chadema Chadema hivyo anatakiwa kwenda kwenye kundi la ndege anaofanana nao
Bashe amekuwa hivyo ndani na nje ya bunge. Bashe ametishiwa kufukuzwa kwa kosa la kusimamia demokrasia na Chadema ni chama cha Kidemokesia-Chama cha Demokrasia na Maendeleo
Kwa niaba ya makamanda ninasema Bashe CCM sio mahali pako,usisubiri uvuliwe uanachama,jiuzuru na ujiunge na makamanda wenzao wa Chama cha Demokrasia.Muulize Mh.Esta Bulaya utamu wa Chadema
bashe ni trojan horse kukiangamiza ccm bora amfuate bwana yake chadema. inadaiwa alifika dodoma na charter plane akiwa na viroba vya mihela kutoka kwa mabwana zake kuwahonga wajumbe. basheKama mnavyofahamu Mh.Bashe anedhalilishwa sana jana mjini Dodoma katika vikao vya CCM akituhumiwa kupinga mabadiliko ya Katiba ya CCM. Mh.Bashe aliwekwa ndani kwa amri ya ngazi za juu. Habari zilizoenea zinasema kwamba kosa ilikuwa kupinga mabadiliko ya katiba ya CCM. Hakuna taarifa tofauti zilizotolewa
Mh.Bashe amedhalilishwa kwa kutumia hali yake kikatiba na kidemokrasia lakini ajabu ameonekana sio mwenzao. Ni wengi wanaopinga mabadiliko haya isipokuwa uchumia tumbo na kuwekewa vikwazo ndio kinachowafunga midomo
Kwa tunaojua misimamo ya Bashe hili sio jambo la ajabu. Bashe ana akili za ki Chadema Chadema hivyo anatakiwa kwenda kwenye kundi la ndege anaofanana nao
Bashe amekuwa hivyo ndani na nje ya bunge. Bashe ametishiwa kufukuzwa kwa kosa la kusimamia demokrasia na Chadema ni chama cha Kidemokesia-Chama cha Demokrasia na Maendeleo
Kwa niaba ya makamanda ninasema Bashe CCM sio mahali pako,usisubiri uvuliwe uanachama,jiuzuru na ujiunge na makamanda wenzao wa Chama cha Demokrasia.Muulize Mh.Esta Bulaya utamu wa Chadema
Fisadi ni wazazi wako waliokuzaahakuna Mkubwa kuliko ccm at least not bashe, mchukueni hata Leo, chadema nacho chama chenye mashiko kwn? chadema ni team mafisadi
Kama mnavyofahamu Mh.Bashe anedhalilishwa sana jana mjini Dodoma katika vikao vya CCM akituhumiwa kupinga mabadiliko ya Katiba ya CCM. Mh.Bashe aliwekwa ndani kwa amri ya ngazi za juu. Habari zilizoenea zinasema kwamba kosa ilikuwa kupinga mabadiliko ya katiba ya CCM. Hakuna taarifa tofauti zilizotolewa
Mh.Bashe amedhalilishwa kwa kutumia hali yake kikatiba na kidemokrasia lakini ajabu ameonekana sio mwenzao. Ni wengi wanaopinga mabadiliko haya isipokuwa uchumia tumbo na kuwekewa vikwazo ndio kinachowafunga midomo
Kwa tunaojua misimamo ya Bashe hili sio jambo la ajabu. Bashe ana akili za ki Chadema Chadema hivyo anatakiwa kwenda kwenye kundi la ndege anaofanana nao
Bashe amekuwa hivyo ndani na nje ya bunge. Bashe ametishiwa kufukuzwa kwa kosa la kusimamia demokrasia na Chadema ni chama cha Kidemokesia-Chama cha Demokrasia na Maendeleo
Kwa niaba ya makamanda ninasema Bashe CCM sio mahali pako,usisubiri uvuliwe uanachama,jiuzuru na ujiunge na makamanda wenzao wa Chama cha Demokrasia.Muulize Mh.Esta Bulaya utamu wa Chadema
UONGO SIO DIL kama hujui kaa kmyaNzega Mjini wanaikubali Chadema na wanamkubali Bashe,ushahidi ni kwamba Diwani wa Nzega Mjini ni mwanadada wa Chadema,na jinsi Chadema/Ukawa ilivyochana uchaguzi wa serikali za mitaa hapo mjini.Kwa hiyo Bashe kugombea Chadema utakuwa double coincidence kwa wana Nzega
Ujumbe murua kabisa ulioshiba busara kwa ndugu yetu Bashe niliwahi kuweka uzi juu ya Bashe kupotea njia kwa kubakia ndani ya ccmKama mnavyofahamu Mh.Bashe anedhalilishwa sana jana mjini Dodoma katika vikao vya CCM akituhumiwa kupinga mabadiliko ya Katiba ya CCM. Mh.Bashe aliwekwa ndani kwa amri ya ngazi za juu. Habari zilizoenea zinasema kwamba kosa ilikuwa kupinga mabadiliko ya katiba ya CCM. Hakuna taarifa tofauti zilizotolewa