Bashe karibu CHADEMA, una akili za ki-CHADEMA

Bashe karibu CHADEMA, una akili za ki-CHADEMA

Of course, Bashe ha-fit kabisa CCM sema nadhani hana imani na wana-Nzega manake Tabora kwa ujumla wake wamekunywa maji ya bendera ya CCM!!!

Hata CUF ya Lipumba enzi hizo ipo CUF kweli kweli; Tabora hawakuinga mkono hadi hivi majuzi possibly kutokana na nguvu ya UKAWA!!!

Chief Saidi Abdallah Fundikira pamoja na kuwa Chifu wao; lakini wana Tabora hawakutaka kabisa kumuunga mkono na UMD yake hadi mzee wa watu akaamua kurudi CCM alipojiona ndo basi tena!!!

In short, Kanda ya Kati ni wamebugia vya kutosha maji ya bendera ya kijani....

Nadhani hicho kinachomvunja nguvu Bashe... maji ya bendera yaliyonywewa na kuogwa na wana-Tabora!! Lakini nadhani anasahau tu kwamba anaweza kushindwa kuibadili Tabora mzima kama ilivyokuwa kwa Lissu kwa Singida mzima lakini anaweza kuibadili angalau Nzega kama alivyofanikiwa Lissu Singida Magharibi!!!
Tumuombe mwenyezi mungu ampe ujasili ili aweze kufikia maamuzi ya kuiwacha ccm ingawa siyo rahisi
 
Acheni kutamani wanachama wa CCM tengenezeni wenu...

Hiki ni kiashiria kuwa upinzani bado hawajakomaa na wanahitaji miaka 40 ili waanze kufikiriwa kupewa nchi....kuna haja gani ya kuwapa wao madaraka kama wanaamini kuchukue makada kutoka CCM????
Ndiyo maana tunamsema Bashe na siyo Kibajaji maana ndani ya ccm Bashe kaenda kwa kupotea njia
 
hakuna Mkubwa kuliko ccm at least not bashe, mchukueni hata Leo, chadema nacho chama chenye mashiko kwn? chadema ni team mafisadi
Mahakama ya mafisadi mlisha ianzisha tayari sasa twambie ni mafisadi wangapi kutoka cdm wameshafikishwa mahakamani?
 
Huu uhuru wa kikatiba kuhoji umejipa muda kweli kufikiri kama upo Chadema au vinginevyo? Nani alihoji ubadilishaji wa gia angani na akawa sio msaliti?
Hivi vyama wanavijua wanaoviongoza na sio vinginevyo. Nani alihoji kipengele cha ukomo wa uongozi ndani ya Chadema wakati wa kukibadilisha akapona?
Ukitaka kujua ccm na chadema kuna demokrasia subiri kwenye chaguzi za wakuu wewe jifanye unatangaza kugombea kama katiba inavyosema halafu utajua chama ni kina nani.
Leo walio jitahidi kuhoji mfalme wameishia kupandishwa kipira kwenda kuhojiwa
 
Ndiyo maana tunamsema Bashe na siyo Kibajaji maana ndani ya ccm Bashe kaenda kwa kupotea njia
Kaenda kutoka wapi wakati amekuwa CCM toka chipukizi????

Tengenezeni wakwenu...
 
Kama mnavyofahamu Mh.Bashe anedhalilishwa sana jana mjini Dodoma katika vikao vya CCM akituhumiwa kupinga mabadiliko ya Katiba ya CCM. Mh.Bashe aliwekwa ndani kwa amri ya ngazi za juu. Habari zilizoenea zinasema kwamba kosa ilikuwa kupinga mabadiliko ya katiba ya CCM. Hakuna taarifa tofauti zilizotolewa

Mh.Bashe amedhalilishwa kwa kutumia hali yake kikatiba na kidemokrasia lakini ajabu ameonekana sio mwenzao. Ni wengi wanaopinga mabadiliko haya isipokuwa uchumia tumbo na kuwekewa vikwazo ndio kinachowafunga midomo

Kwa tunaojua misimamo ya Bashe hili sio jambo la ajabu. Bashe ana akili za ki Chadema Chadema hivyo anatakiwa kwenda kwenye kundi la ndege anaofanana nao

Bashe amekuwa hivyo ndani na nje ya bunge. Bashe ametishiwa kufukuzwa kwa kosa la kusimamia demokrasia na Chadema ni chama cha Kidemokesia-Chama cha Demokrasia na Maendeleo

Kwa niaba ya makamanda ninasema Bashe CCM sio mahali pako,usisubiri uvuliwe uanachama,jiuzuru na ujiunge na makamanda wenzao wa Chama cha Demokrasia.Muulize Mh.Esta Bulaya utamu wa Chadema
Bashe is a man among men. He refuses to walk naked among madmen. Namkubali sana.
 
Ukosefu wa viroba unawawewesa sana. Chukue Sophia Simba
 
Kaenda kutoka wapi wakati amekuwa CCM toka chipukizi????

Tengenezeni wakwenu...
Nyie mna watu wa ndiyo ndiyo kama wewe tu lkn Bashe ndiye mbunge pekee anaye weza kusimama na kuhoji
 
Nyie mna watu wa ndiyo ndiyo kama wewe tu lkn Bashe ndiye mbunge pekee anaye weza kusimama na kuhoji
Nashukuru kumtambua Bashe kuwa anachapa kazi...ni Mbunge wa CCM huyo sio wa chama chako...na kwa taarifa yako tunao wabunge wengi wa aina hiyo...
 
lowasa kugombea ilipita kwa ridhaa ya UKAWA nzima from lipumba to makaidi na hata slaa alihusika ssa ni nani huyo aliebadili gia angani wakati ilikuwa makubaliano ya pamoja?? kosa likwapi??
Kama hujui Katiba ya Chama chako kaa Kimya..
Sasa huyo Lipumba ndio Nani ndani ya Chadema kiktiba. Hujui kama Chadema kuingia Ukawa Ilihitajika Ridhaa ya Mkutano mkuu, swaliuliitishwa?
 
Hujui kitu wewe,kaulizie kama hujasoma kokote,jambo hilo lilijadiliwa vikaoni na likakubalika na likakubalika pia mpaka UKAWA yote,na kwa taarifa yako wala sio Mbowe aliyeleta hiyo ajenda,tuulize tunaoingia vikaoni,
Mkuu utaratibu wa kupata mgombea ndani ya CHADEMA ukoje? Kwa hiyo EL alipitia mchakato wote kimya kimya?
 
Ndiyo maana tunamsema Bashe na siyo Kibajaji maana ndani ya ccm Bashe kaenda kwa kupotea njia
Alienda akitokea wapi? Mkuu mimi nakubali kabisa kwamba Bashe yupo CCM kiwiliwili tu ila kiroho yupo kwa mzee.
 
Mlimbeba Lowassa na hakuna jipya sembuse Hous boy wake Bashe? bebeni haraka maana kibaraka wa chadema ndani ya ccm
 
Back
Top Bottom