OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 52,034
- 114,433
Kama mnavyofahamu Mh.Bashe anedhalilishwa sana jana mjini Dodoma katika vikao vya CCM akituhumiwa kupinga mabadiliko ya Katiba ya CCM. Mh.Bashe aliwekwa ndani kwa amri ya ngazi za juu. Habari zilizoenea zinasema kwamba kosa ilikuwa kupinga mabadiliko ya katiba ya CCM. Hakuna taarifa tofauti zilizotolewa
Mh.Bashe amedhalilishwa kwa kutumia hali yake kikatiba na kidemokrasia lakini ajabu ameonekana sio mwenzao. Ni wengi wanaopinga mabadiliko haya isipokuwa uchumia tumbo na kuwekewa vikwazo ndio kinachowafunga midomo
Kwa tunaojua misimamo ya Bashe hili sio jambo la ajabu. Bashe ana akili za ki Chadema Chadema hivyo anatakiwa kwenda kwenye kundi la ndege anaofanana nao
Bashe amekuwa hivyo ndani na nje ya bunge. Bashe ametishiwa kufukuzwa kwa kosa la kusimamia demokrasia na Chadema ni chama cha Kidemokesia-Chama cha Demokrasia na Maendeleo
Kwa niaba ya makamanda ninasema Bashe CCM sio mahali pako,usisubiri uvuliwe uanachama,jiuzuru na ujiunge na makamanda wenzao wa Chama cha Demokrasia.Muulize Mh.Esta Bulaya utamu wa Chadema