Bashe karibu CHADEMA, una akili za ki-CHADEMA

Bashe karibu CHADEMA, una akili za ki-CHADEMA

Tengenezeni wa kwenu kuanzia chipukizi...na kuwashawishi wasio na vyama kama mimi niwaunge mkomo...
Eti eeeh ssa mnazuia mikutano ya nni?? unafkiri ile mikutano ilikuwa kwa ajili gani?? hta kule mavyuoni tulifanya sana ili tupate manpower ya products kma kina silinde na mnyika ila nyie mmeuzia so sad...... afu leo hii ndo mnataka ionekane hatuna uwezo wa kuzalisha products zetu wenyewe??? kaz kweli kwlei
 
ccm ni chama tawala kaondoka Lowasa na chama ndio kimeimarika itakuwa Huyo Mogadishu.
 
Acheni kutamani wanachama wa CCM tengenezeni wenu...

Hiki ni kiashiria kuwa upinzani bado hawajakomaa na wanahitaji miaka 40 ili waanze kufikiriwa kupewa nchi....kuna haja gani ya kuwapa wao madaraka kama wanaamini kuchukua makada kutoka CCM????
Upinzani wa kweli utatokea ccm hilo lilishasemwa siku nyingi
 
Karibuni wakuu tumshauri kijana mwenzetu achukue maamuzi magumu kuondoka CCM.
Vijana wenzie wenye fikra kama zake in wachache huko aliko.Aje aungane na wenzake huku.......
 
CCM mmeacha kuwashwa washwa sasa mnapiga ramli.

Ulimpigia debe Nyalandu???? Tulieni mlambe dawa.
 
Karibuni wakuu tumshauri kijana mwenzetu achukue maamuzi magumu kuondoka CCM.
Vijana wenzie wenye fikra kama zake in wachache huko aliko.Aje aungane na wenzake huku.......

Bashe aondoke CCM aende wapi sasa.... hakuna chama cha siasa kinachoweza kumu- accomodate kwa upana na rationale ya mawazo yake. Afadhali abaki tu CCM, akienda huku watamvuruga na kampeni za ovyo ovyo za kata vunua
 
Bashe aondoke CCM aende wapi sasa.... hakuna chama cha siasa kinachoweza kumu- accomodate kwa upana na rationale ya mawazo yake. Afadhali abaki tu CCM, akienda huku watamvuruga na kampeni za oval ovyo za kata vunua
ina maana ccm ndiyo saizi yake?
acha utani .........
 
Karibuni wakuu tumshauri kijana mwenzetu achukue maamuzi magumu kuondoka CCM.
Vijana wenzie wenye fikra kama zake in wachache huko aliko.Aje aungane na wenzake huku.......
ahame aende wapi?
sio lazima wote watoke CCM.Wengi wanapaswa kubaki mule.wachache ndio watoke.tena pale inapohitajika
 
Lengo lako si kushauri Ni kukatisha tamaa. Na kama lengo Ni kushauri ungesema tumshauri MSUKUMA. Tanzania ya Leo si ya 76
Akili ni nywele.Huenda ndiyo ulivyoelewa
 
Karibuni wakuu tumshauri kijana mwenzetu achukue maamuzi magumu kuondoka CCM.
Vijana wenzie wenye fikra kama zake in wachache huko aliko.Aje aungane na wenzake huku.......
Mnaowashauri viongozi wa CCM wahamie CHADEMA hamwatakii mema. Na kwa kuwa ni watu wazima, wakaaminiwa na wanaCCM kupewa uongozi, watakuwa hawajitambui. Wamejulikana kwa kuwa CCM. Wakihama tutawasahau kama hao waliowatangulia kuhamia CHADEMA. Yuko wapi Lowassa, Sumaye, Kingunge, Masha, Mahanga, nk.
 
Kwa uwezo wa comrade bashe hawez kuhama CCM mana huko upinzan hamna uwanja wa kumtosha katika kucheza na hoja zake ko bora abaki chama kubwa
 
Asepe tu, binafsi sipendi ndumi la kuwili.
Bashe, Nape, Membe, Mwandosya mwaweza kwenda tu
 
Katika ulingo wa siasa 24hrs ni muda mrefu sana.
 
Back
Top Bottom