siasa za Tanzania,,,aidha zinaweza kukupa stress au kukuondolea stress inategemea na msim,,,,,na unaweza kuandika dissertation za Ph.D zaid ya miamoja,,,,wanasiaa na wafuasi ni kama pipa na mfuniko
sawa mkuu ila ukijaribu kufatilia michango yangu humu huwezi jua mimi ni mfuasi wa chama gani na wala cjaja kuwakilisha chama chochote humu, nimekuja kuelimika sanasana unaweza kujua mimi ni muumini wa dini gani, ila hicho kicheko ni cha mashoga.Mkishashindwa hoja mnaleta viroja, kicheko hicho hakina jinsia maalum hapa jamvini kinatumika na wote, ila wewe Buku 7 mkosa hoja unataka kuleta za kuleta.
Huyu sio bashe ila ni msomali
sawa mkuu ila ukijaribu kufatilia michango yangu humu huwezi jua mimi ni mfuasi wa chama gani na wala cjaja kuwakilisha chama chochote humu, nimekuja kuelimika sanasana unaweza kujua mimi ni muumini wa dini gani, ila hicho kicheko ni cha mashoga.
Kuna mbumbumbu zaidi yako LUkosi?
Hivi Mbumbumbu ni nani kati ya Lukosi na adolay ambaye anamjua Hussein Bashe na Mohamedi Bashe?Kuna mbumbumbu zaidi yako LUkosi?
Hivi Mbumbumbu ni nani kati ya Lukosi na adolay ambaye anamjua Hussein Bashe na Mohamedi Bashe?
Ni kwa mwenye akili za KICHAA ndiye anayejiunga CHADEMA leo
ni KIPOFU ndio anaiona inanyemelea Madaraka 2020 na hasa kwa Jimbo la Nzega
Kwa Ikulu ni bado sana, malizeni matatizo ya ndani na mkishindwa muulizeni Mrema alivyokoswa koswa kumalizwa na kina Marando kule Tanga, km sio kuvuliwa kibaraghashee na kufichwa chini ya meza, aliyekuwa na kibandiko alirushwa ghorofani na MUNGU mkubwa yupo hai lakini kiuno. ....
Bado safisheni MASHUSHU na wenye tamaa ya MADARAKA km Biashara kwao
Tuache uongo
Mkuu kwani ulifikiri siasa ni nini? siasa ndiyo kila kitu katika mfumo wowote wa maisha so lazima Tuukunali na tubadilike tuache siasa za zamani za kulialia ntuingie kwenye siasa za mapinduzi hii siasa ya kufuata watu imepitwa na wakati ni kujiangalia sisi kama sisi tunapambanaje kwenye hizi taasisi za kisiasa na kuleta mabadiliko.
Kulialia siasa ni mchozo mchafu tutasubiri sana ili siku moja iwe mchezo msafi.
Pure udaku.umaarufu mbaya!!Kama magazeti ya Udaku: BASHE AVUA GAMBA nikadhani hussein Bashe kumbe siyo!
Mkuu kwani ulifikiri siasa ni nini? siasa ndiyo kila kitu katika mfumo wowote wa maisha so lazima Tuukunali na tubadilike tuache siasa za zamani za kulialia ntuingie kwenye siasa za mapinduzi hii siasa ya kufuata watu imepitwa na wakati ni kujiangalia sisi kama sisi tunapambanaje kwenye hizi taasisi za kisiasa na kuleta mabadiliko.
Kulialia siasa ni mchozo mchafu tutasubiri sana ili siku moja iwe mchezo msafi.
karibu kamanda kwenye mpango wa mungi