Hebu wewe mpe ushauri... Ikiwa polisi (usalama wa taifa) ndio wanaomtafuta wang'oe kucha afanyeje?Mambo ya Kibongo kweli yanakera. Sasa badala ya kuiarifu polisi anaamua kumwambia waziri wa mambo ya ndani, ili iweje? Au waziri ndiyo atamripotia polisi???
Hebu wewe mpe ushauri... Ikiwa polisi (usalama wa taifa) ndio wanaomtafuta wang'oe kucha afanyeje?
Mambo ya Kibongo kweli yanakera. Sasa badala ya kuiarifu polisi anaamua kumwambia waziri wa mambo ya ndani, ili iweje? Au waziri ndiyo atamripotia polisi???