Marko 3 : 24
Na ufalme ukifitinika juu ya nafsi yake, ufalme huo hauwezi kusimama;
the last kick of dying Horse........
Yatatimia lini maneno ya unabii huu? na nini dalili za utimilifu wake??
Nchi inayoongoza kwa press conference za kujibu hoja zisizo na tija kuliko nchi nyingine wakati walikuwa wanauwezo wa kukaa na kuelezana ukweli, tunahitaji Taifa la kuvumialiana pale mtu anapokuwa na hoja tofauti na wewe maana itapunguza haya mambo ya kuita waandishi kwa ufafanunuzi, nilichojifunza taasisi nyingi watu huchukiana kisa wana mitazamo tofauti na ndio maana tuna shuhudia haya kila siku watu wanashindana kwenyeye vyombo vya habari hawafanyi mambo mengine. TUNASUBIRI UTUPAKULIE MAANA NI HAI YETU KUFAHAMU THOUGH WANABOA (na waandishi wetu hawatoki bure hapa)
Msomali v/s chinga.....wapasuane mpaka kieleweke!!
kwanini lakini haya malumbano ndani ya ccm??????????????
Ndio kaka hujui ? CDM ndio wenye nguvu,CCM KUSHNEY ! , huoni MADIWANI wamepiga bao CDM 22 CCM 5,Alafu BASHE nikweli ni mwepesi ndio sababu kule NZEGA kura ya maoni za Ubunge alikuwa wa mwisho,wa kwanza alikuwa ni KIGWANGALA WA PILI SELELII NA WA MWISHO BASHE,we kichwa , me nakukubali unatisha lazima una Phd, andelea kutumia MAKALIO kufikiria.Hivi ni kweli kwamba CCM tayari imekufa ! Eee bana eee! Duh ! Kweli hujafa hujaumbika , yaani mtu kama Bashe naye anaweza kufanya press conference kwa ajili ya ccm !
Huyu Bashe si ndo yuko Dodoma na akina Fred Lowasa na Beno Malisa wakimpigia chapuo Lowasa awe mwenyekiti wa CCM hatimaye awe rais? Kwahiyo ni vita tu ya urais, hamna kitu hapa.
Anayepigiwa chapuo la Uenyekiti si Lowassa ni Karume
Msomali v/s chinga.....wapasuane mpaka kieleweke!!
BASHE AMTAJA MEMBE KUHUSIKA KUANDAA VIPEPERUSHI VYA KUMHUJUMU RAIS KIKWETE
Alipoulizwa kama yeye ni kibaraka wa Lowassa, Bashe alikana, lakini alisema anamuunga mkono kwa kila jambo analofanya.
"Mimi sio kibaraka wa Lowassa, lakini atagombea urais mwaka 2015, nitampigia kampeni na nitampa kura yangu kwani ni mwanasiasa mvumilivu, mzalendo na kama asingekuwa mvumilivu ni wazi kwamba nchi ingekuwa katika sura nyingine, hata mimi nimejifunza mambo mengi kutoka kwake," alisema.
Source: Tanzania Daima