Bashe Alipendelea kanda ya ziwa mahindi ya serikali

Kipindi mahindi yamepanda bei kanda ya ziwa anakotokea bashe wao walinemeeka na mahindi ya serikali yaliyouzwa kwa bei punguzo,
Kagera, mara, mwanza, kigoma, tabora, shinyanga, simiyu hiyo mikoa ilimwagiwa mahindi kama mvua.

Mikoa hiyo imekaa kisiasa hasa siasa za kanda ya ziwa magharibi ambapo bashe kwa sasa ndio kingpin wa siasa za mikoa hiyo.

Bashe aeleze kwa nini apendelee kanda yake na kidogo mahindi yalipelekwa kule anapojua wapo wasukuma wenzake.

Mahindi yalipelekwa pia ifakara, chunya, katavi ambapo anajua wapo wasukuma wenzake lazima huu upendeleo ukomeshwe haraka sana,
Bashe afhibitiwe hafai maana kapendelea sana watu wa ukanda wake.

Bashe kua kwake kingpin wa siasa za mikoa hiyo isifanye wengine waathirike, adhibitiwe haraka sana.
Wewe ugomvi wako ni Wasukuma tu! Hao wasukuma hayo mahindi wamegawiwa bure? Bashe wala sio msukuma japo nzega wasukuma ni wengi kuliko wanyamwezi!
 
Kipindi mahindi yamepanda bei kanda ya ziwa anakotokea bashe wao walinemeeka na mahindi ya serikali yaliyouzwa kwa bei punguzo,
Kagera, mara, mwanza, kigoma, tabora, shinyanga, simiyu hiyo mikoa ilimwagiwa mahindi kama mvua.

Mikoa hiyo imekaa kisiasa hasa siasa za kanda ya ziwa magharibi ambapo bashe kwa sasa ndio kingpin wa siasa za mikoa hiyo.

Bashe aeleze kwa nini apendelee kanda yake na kidogo mahindi yalipelekwa kule anapojua wapo wasukuma wenzake.

Mahindi yalipelekwa pia ifakara, chunya, katavi ambapo anajua wapo wasukuma wenzake lazima huu upendeleo ukomeshwe haraka sana,
Bashe afhibitiwe hafai maana kapendelea sana watu wa ukanda wake.

Bashe kua kwake kingpin wa siasa za mikoa hiyo isifanye wengine waathirike, adhibitiwe haraka sana.
Bashe Kamatia hapo hapo usisikilize makelele ya Hawa loosers wameona unaenda kuwa threats kwenye malengo Yao ya siasa Sasa wanajaribu kukutoa kwenye reli
 
Kipindi mahindi yamepanda bei kanda ya ziwa anakotokea bashe wao walinemeeka na mahindi ya serikali yaliyouzwa kwa bei punguzo,
Kagera, mara, mwanza, kigoma, tabora, shinyanga, simiyu hiyo mikoa ilimwagiwa mahindi kama mvua.

Mikoa hiyo imekaa kisiasa hasa siasa za kanda ya ziwa magharibi ambapo bashe kwa sasa ndio kingpin wa siasa za mikoa hiyo.

Bashe aeleze kwa nini apendelee kanda yake na kidogo mahindi yalipelekwa kule anapojua wapo wasukuma wenzake.

Mahindi yalipelekwa pia ifakara, chunya, katavi ambapo anajua wapo wasukuma wenzake lazima huu upendeleo ukomeshwe haraka sana,
Bashe afhibitiwe hafai maana kapendelea sana watu wa ukanda wake.

Bashe kua kwake kingpin wa siasa za mikoa hiyo isifanye wengine waathirike, adhibitiwe haraka sana.
POLE ndugu nahisi wanaotaka kukwamisha juhudi sahihi ya awamu ya sita knye secta ya kilimo ndo mnatumwa humu
Mahindi ya bei nafuu yanauzwa na TFRA sio waziri halafu yale ni mahindi ya akiba mkoa wowote wenye uhitaji unapewa . usisahau mikoa hoyo ndo ina watu wengi uwezekano wa kuhitaji zaidi ni mkubwa
 
Back
Top Bottom