PostGE2025 Bashe alikosea kitu gani?

PostGE2025 Bashe alikosea kitu gani?

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Novena inaendelea kufanya kazi japi kwa wanaomfahamu mrehemu wanasema hakuwa na afya njema sana.

Na ccm huwa wanapasiana mipira kwa hiyo wakianza kudondoka ni mnyororo pia.

Mungu amalze mahali.anapostahili kwa yale aliyoyashiriki kuyatenda
Novena ilimfanyaje bashe? na alikosea nini hadi hiyo novena imkoseshe uwaziri?
 
Bashe ni mbunifu? Kunyonya wakulima ni ubunifu? Kazuia watu binafsi waliokuwa wananunua mazao kwa bei nzuri moja kwa moja kutoka kwa wakulima badala yake kaja kwa janjajanja akiwa na boss wake Rostam wananunua mazao kwa wakulima kwa bei chee then wanawauzia hao watu binafsi waliokatazwa kununua moja kwa moja kwa wakulima. Huyu mtu ameichonganisha sana serikali na wakulima hafai hafai.Waulize wakulima wa ufuta,dengu,tumbaku nk watakwambia,huyu mtu anatakiwa afungwe kabisa
 
Fuatilia ile press ya wale masheikh wa Samia waliomsema Nchimbi na TEC utaelewa vizuri.
Screenshot_20251211_131911.jpg
 
Back
Top Bottom